Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA kutoka jimbo la Siha jana ametema nyongo bungeni baada ya kuelezea namna viongozi wa CHADEMA walivyopanga njama za kumuuwa Lisu kwa kumpiga risasi na amesema kama...
16 Reactions
755 Replies
85K Views
Watu wa kusini mwa Tanzania, kama vile Lindi, Mtwara na Ruvuma wako kimya sana utazani wao kila kitu kiko sawa. Kwenye maswala ya uchumi wako kimya, amkeni basi angalau na nyie mjulikane kama...
17 Reactions
76 Replies
1K Views
Hii ndio hali halisi ya mambo ilivyokuwa kwa Upande wa Mawakili wa serikali Pichani ni wakili Msomi Nassoro akiguswa na Nondo za Wakili wa Utetezi Tundu Lissu, katika kesi ya Uhaini inayomkabili...
41 Reactions
75 Replies
6K Views
Wakuu! Ule Mkutano na Vyombo vya Habari wa Humphrey Polepole ndio leo – Julai 18, 2025 saa 5:00 asubuhi. Awali, mkutano huu ulikuwa umepangwa kufanyika Julai 17, lakini Polepole alitangaza...
15 Reactions
235 Replies
21K Views
Kwa mtazamo wangu Samia na genge lake la watekaji,wauwaji, mafisadi na ma-cartels ya mafuta nimegundua kuwa ccm ni genge ambalo limefikia damu ya kunguni kiasi kwamba hakuna mtu anayetaka...
9 Reactions
25 Replies
384 Views
WanaCCM mtandao ambao walishaligeuza taifa letu shamba la bibi watazidiwa nguvu. Wazalendo wa kweli watashinda. Mtifuano huu unakwenda kuliponya taifa letu.
4 Reactions
5 Replies
196 Views
Mandela alishitakiwa kwa sheria na makosa halisi kwa mujibu wa katiba ya kibaguzi ya wakati huo. 1962 kosa la kuchochea mgomo wa wafanyakazi. Kesi ilichukua miezi 3 tu ikaisha akafungwa miaka 5...
5 Reactions
10 Replies
192 Views
Kwa mfano we cheki, mwenyekiti wake taifa kukutwa ana kesi ya kujibu tofauti na walivyotarajia kwa kujiiga kifua sana tu kwamba hakuna lolote n.k, na kwahivyo wameumbuka hadharani na hiyo maana...
2 Reactions
54 Replies
284 Views
Ujinga wa viongozi wa Africa ... https://www.instagram.com/p/DcOXDOTihBv/?img_index=2&igsi=MTgyY3NmdDhoenlrdA==
7 Reactions
15 Replies
391 Views
Salaam zangu kwako ni hizo. Nilikupenda sana kama mpigania uhuru kumbe MPIGANIA TUMBO. WARUDISHE BEN SAANANE , Mawazo na wengine waliokufa wakiamini ulikuwa mwenzao na kujitoa uhai wao in order...
17 Reactions
53 Replies
931 Views
Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi ( CCM) Taifa imempitisha aliyekua Mkurugenzi wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania (NEC), Dkt. Wilson Mahera Charles kiwa Mgombea ubunge katika Jimbo la...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Dr. Wilson Mahera Charles, alikuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume ya Taifa ya Uchaguzi kipindi cha Magufuli, Samia alipoingia akampa cheo cha Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na...
27 Reactions
120 Replies
8K Views
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman, ametaja mambo matatu aliyosema yakitekelezwa ndipo kita kitaingia katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK). Mambo hayo pamoja...
1 Reactions
3 Replies
139 Views
Kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu inaendelea Jumatatu Agosti 24 ambapo mshtakiwa anajitetea mbele ya mahakama. Lissu: Ukiangalia miaka kabla ya 2020 tume imekuwa...
7 Reactions
14 Replies
465 Views
Watanzania acheni kushabikia siasa za hovyo...kauli za lissu ndo zimeathiri Kila kitu kwa watumishi na wananchi wa kawaida. Naweza kusema lissu amekuja kuharibu ustawi wetu alaaniwe na Kila...
1 Reactions
23 Replies
289 Views
Katika mazingira yenye wingi wa taarifa kutoka vyombo vya habari na tofauti za mitazamo, mafanikio halisi na miradi mikubwa ya maendeleo hubaki kuwa kigezo cha kuaminika zaidi cha kutathmini asili...
0 Reactions
0 Replies
206 Views
  • Redirect
Mamlaka za Zambia zilifunga Mahakama Kuu huko Lusaka, Ndola na miji mingine tarehe 24 Agosti 2026 ili kuzuia kiongozi wa upinzani Brian Mundubile kuwasilisha ombi la kupinga ushindi wa Rais...
0 Reactions
Replies
Views
Hii ni leo Agosti 22, 2026 wakati Rais Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 leo, tarehe 22 Agosti 2026...
20 Reactions
130 Replies
2K Views
Kwanini huyu hasiitwe kamati ya Maadili kuuliza kwanini haendi mahakamani na kwenye mikutano ya serikali anaenda? Muda wa kwenda kumuona Mwenyekiti wa chama hana ila kwenda kwenye sherehe za...
1 Reactions
10 Replies
187 Views
Amekuwa Wakili wa Mamluki walioishitaki Chadema akiwemo Lembrus Mchome anayepinga kufukuzwa Mndeme amekuwa ofisi ya Katibu Mkuu na alipelekwa bungeni ofisi ya KUB Kimsingi, Wakili ana wajibu wa...
13 Reactions
51 Replies
644 Views
Back
Top Bottom