Nchi hii kila kitu ni ujingaujinga tu

Nchi hii kila kitu ni ujingaujinga tu

Lee Van free

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2024
Posts
2,685
Reaction score
8,349
Inasikitisha sana Kwa kweli kwa nchi ilipofikia.
Imekua nchi ya mfano kwa miaka mingi.

1) Ilikuwa nchi ya mfano kwa kupigania haki ya watu wengine duniani kote walikokua wanaonewa na watawala wa wa hovyo.

2) Sasa imekuwa nchi ya mfano wa mambo ya hovyohovyo na ya kijingajinga hapa duniani.

3) Sasa hivi kila kitu ni ujingaujinga tu.

- Uchaguzi ni wa kijingajinga TU

angalia chaguzi zote zinavyoendeshwa,mfano Oct2025

- Serikali ya ni ya kijingajinga TU

Angalia serikali inavyoendeshwa kuanzia matamko, hotuba na matendo ya Vyombo vya Dola.
Mfano mdogo TU,mtu anatangaza hakuna mikutano ya siasa,anakuja mwingine anaondoa katazo hilo.
Mmoja anasema tudai katiba mpya,wengine wanasema hatuhitaji katiba mpya.
Mmoja anasema nchini kuna magaidi,bila kujali athari.
Mwingine anasema hakuna magaidi

- BUNGE ni la kijingajinga TU

Bungeni huko ndio kama Kilabu Cha pombe za kienyeji,maisha ya huko ni mipasho TU. Mmoja anasimama bungeni anasema nchi hii Kuna Yuda Eskarioti, mwingine anasema hakuna Yuda

- Mahakama ni ya kijingajinga TU

MAHAKAMA kiasili ni sehemu takatifu, lkn hapa Sasa, ndio usiseme kabisa.
Dunia nzima inashangaa.
Majaji na wanasheria wa serikali wala hawajulikani wanataka Nini katika KESI za kisiasa.

Mwaka juzi Kuna mtu alishitakiwa kwa "ugaidi",alipotoka mahkamani akaenda ikulu kunya chai,kahawa na kashata na kupiga picha na wenyeji wa huko.

Mwaka huu Kuna mtu anashitakiwa peke yake kwa "uhaini"kutaka kupindua serikali.
Mipango ya kupindua aliifanya kwenye mkutano wa hadhara Tena kukiwa na waandishi wa habari, na nje Kuna polisi wakilinda mkutano.

Huyu mtuhumiwa ktk njama zake anatuhumiwa peke yake Hana Jeshi, wala kikundi Cha waasi.
Hana bunduki wala kisu.

IImefika wakati wananchi huko Nje ya nchi watakua wanaogopa kijitambulisha kama wao ni wananchi wa nchi hii.

Miaka kadhaa ijayo katika nchi nyingine watakua na vipindi mashuleni na vyuoni kusoma historia ya Taifa lililoongoza duniani kwa mambo ya kijingajinga.
 
Umeandika kwa hisia pole sana😢
Hakuna haja ya kuendelea kulaumu

Tujidhatiti kutokomeza huu ujinga
Ni kweli ndg Nina hisia Kali sana za uchungu.
Vivi umewahi kufikira ni mamilioni mangapi ya TZS yalitumika kwenye:
-Sh Uchaguzi wa 2025 kuanzia matangazo,kampeni,usafiri kwa ajili ya udiwani,ubunge na urasi?
  • Ah ngapi kwa ajili ya kuzima maandamano?
  • Sh ngapi zinatumika mahakamani Kwa KESI ya ugaidi na uhaini
-Sh ngapi zinatumika kuzima fukuto la mauaji ya MO 29 kuanzia lobbying na tume za hovyo kama za Mzee Chande?
Unajua gharama hizi zote zinamalizwa ndani ya katiba mpya TU?
 
  • Hapa si watasema walifanya halambee
    Wakachangisha pesa kwa wanachama
    Si unakumbuka hata yanga walichangia lakini mpka leo kuna wapuuzi bado wanasherekea hizi team
    • Ah ngapi kwa ajili ya kuzima maandamano?
    • Sh ngapi zinatumika mahakamani Kwa KESI ya ugaidi na uhaini
    -Sh ngapi zinatumika kuzima fukuto la mauaji ya MO 29 kuanzia lobbying na tume za hovyo kama za Mzee Chande?
    Unajua gharama hizi zote zinamalizwa ndani ya katiba mpya TU?
    Kila kitu kipo wazi mambo yanapangwa chumbani lakini yanatekelezwa sebuleni

    Issue ya mo 29
    Ilikua ni Alam kwamba kila anaepinga serikali iliyopo madarakani ajue kabisa
    Wao pia wamejipanga kwa namna yoyote

    Ni sawa na kusema unavyokuja ndiyo navyokupokea

    Sasa nini kifanyike?
    Pale ambapo adui yako akisema kama unataka njoo utanikuta !

    Nauliza tena nini kifanyike
    Maana adui anasema njoo utanikuta .
 
Nchi haina ujinga bali ccm ndio njinga njinga na inataka wote tuwe wajinga kama wao ndio maana kuna mvutano nchini kwa kutotaka ujinga.
 
Inasikitisha sana Kwa kweli kwa nchi ilipofikia.
Imekua nchi ya mfano kwa miaka mingi.

1) Ilikuwa nchi ya mfano kwa kupigania haki ya watu wengine duniani kote walikokua wanaonewa na watawala wa wa hovyo.

2) Sasa imekuwa nchi ya mfano wa mambo ya hovyohovyo na ya kijingajinga hapa duniani.

3) Sasa hivi kila kitu ni ujingaujinga tu.

- Uchaguzi ni wa kijingajinga TU

angalia chaguzi zote zinavyoendeshwa,mfano Oct2025

- Serikali ya ni ya kijingajinga TU

Angalia serikali inavyoendeshwa kuanzia matamko, hotuba na matendo ya Vyombo vya Dola.
Mfano mdogo TU,mtu anatangaza hakuna mikutano ya siasa,anakuja mwingine anaondoa katazo hilo.
Mmoja anasema tudai katiba mpya,wengine wanasema hatuhitaji katiba mpya.
Mmoja anasema nchini kuna magaidi,bila kujali athari.
Mwingine anasema hakuna magaidi

- BUNGE ni la kijingajinga TU

Bungeni huko ndio kama Kilabu Cha pombe za kienyeji,maisha ya huko ni mipasho TU. Mmoja anasimama bungeni anasema nchi hii Kuna Yuda Eskarioti, mwingine anasema hakuna Yuda

- Mahakama ni ya kijingajinga TU

MAHAKAMA kiasili ni sehemu takatifu, lkn hapa Sasa, ndio usiseme kabisa.
Dunia nzima inashangaa.
Majaji na wanasheria wa serikali wala hawajulikani wanataka Nini katika KESI za kisiasa.

Mwaka juzi Kuna mtu alishitakiwa kwa "ugaidi",alipotoka mahkamani akaenda ikulu kunya chai,kahawa na kashata na kupiga picha na wenyeji wa huko.

Mwaka huu Kuna mtu anashitakiwa peke yake kwa "uhaini"kutaka kupindua serikali.
Mipango ya kupindua aliifanya kwenye mkutano wa hadhara Tena kukiwa na waandishi wa habari, na nje Kuna polisi wakilinda mkutano.

Huyu mtuhumiwa ktk njama zake anatuhumiwa peke yake Hana Jeshi, wala kikundi Cha waasi.
Hana bunduki wala kisu.

IImefika wakati wananchi huko Nje ya nchi watakua wanaogopa kijitambulisha kama wao ni wananchi wa nchi hii.

Miaka kadhaa ijayo katika nchi nyingine watakua na vipindi mashuleni na vyuoni kusoma historia ya Taifa lililoongoza duniani kwa mambo ya kijingajinga.
Siku zote wajinga wakishika madaraka ni hatari sana.
 
Ujinga ukikomaa zaidi huzaa upumbavu!
 
Back
Top Bottom