1. Wa kwanza ni Mzee Emilio Mzena, huyu aliongoza mwaka 1961 hadi mwaka 1975. Ndiye Mkurugenzi wa TISS aliyeongoza idara hii kwa miaka mingi zaidi kuliko wengine (miaka 14).
Wengine ni kama...
https://www.facebook.com/share/v/19BrKdjimT/
Kuna clip inatembea ikimwonyesha Prof Ichumbaki akieleza kile wananchi wengi wamekuwa wakisema , kuwa CCM ya sasa imeshindwa kuisimamia Serikali, na...
Ni wazi,
bila CCM mambo hayanogi.
Halafu muhimu zaidi sasa,
kila wawakilishi wa CCM wakipata fursa ya kuzungumza, nyoyo za hadhira na wadau wote wa kongamano husika zinaongoka na kutakasika...
Hayo yameelezwa na KM wa CCM Dkt.John Nchimbi wakati wa ziara yake ya Mikoa 6 akiwa Njombe.
DK Nchimbi ameonekana kushangazwa na kufurahishwa na Wingi wa miradi na maendeleo yaliyofanyika na...
Ndugu wana jamiiforum natumaini mmekuwa mnafuatilia ushahidi wa Mh. Heche. Yaani nimetokea kuwaogopa sana CCM. Na kujiuliza maswali mengi, kama kweli ni binadamu kamili au unapokuwa CCM unageuka...
Mbezi Stendi ya Malamba, Darajani, jengo la Abiria Stendi ya Magufuli na Gereji yake kunanuka mikojo
Nimepita Mbezi Luis maarufu kwa jina la Mbezi Mwisho, nikitokea Kinyerezi, nimeshuka Stendi ya...
Mwenyezi Mungu aiepushe nchi yetu na mabaya yote yaliyopangwa na hawa vijana.
Nchi yetu imeshaona maendelea yanayoweza kupatikana uongozi ukiwa makini kama uongozi wa Magufuli,na uongozi huu wa...
Hali inaonyesha patakuwa na tetemeko na hofu kuu ktk taifa lakusadikika. Wazee wa Taifa hilo watasimama kukabiliana na kesho ya kizazi kijacho. Itakuwa nivita kali isio tumia silaha wala mabomu...
If you wish to discern the profound national schism fissura nationalis scrutinize the page that disseminated the mortuary announcement vis-à-vis the communiqué regarding Tata Warioba's collapse...
DKT. MWIGULU: AFRIKA IJENGE UWEZO WAKE WA KUSIMAMIA NA KUZALISHA HUDUMA ZA AFYA
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameitaka Afrika kujenga uwezo wake wa ndani wa kugharamia, kusimamia na...
Hoja iko wazi kabisa.
Japo ni kizungumkuti sanaa na uchawa, kama wawili hawa wangeweza kupambanishwa, ungemchagua nani kati yao ?
Nini sababu ya kumchagua au kutomchagua?
Anafaa wapi na katika...
Akizungumza leo Septemba 7, 2026, kwenye Mkutano wa wa Kitaifa wa Kutafakari Hali ya Kisiasa Nchini uliondaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Jaji Mstaafu, Joseph Sinde Warioba amesema...
Tukio linalodaiwa kutokea maeneo ya Mwenge, Dar es Salaam, ambapo askari wa usalama barabarani anadaiwa kuchomoa ufunguo wa gari la dereva baada ya kutokea mabishano, linaibua maswali muhimu ya...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linapenda kutoa taarifa kuhusu kifo cha askari namba. H.1796 Koplo Mwita, aliyekuwa akishikiliwa kwa ajili ya uchunguzi katika kituo cha Polisi Wilaya ya Tanga...
Pichani ni David Nkindikwa ni Mwanachama wa CCM lakin mitandaoni huwa anajiita Mwanaharakati Mzalendo.
Soma Pia: Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi...
Shahidi wa nne katika kesi ya uhaini namba 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ambaye ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama...
Hii si mara ya kwanza,
Kabla JK hajajitokeza kwenye shughuli yoyote lazima zitangulie kwanza taarifa za ugonjwa au msiba fake.
Wito kwa wanaharati akina Hilda, Maria na wengine: Wawe makini na...
Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa 9KKMK) leo tarehe 9 imeandika barua kwenda kwa Baraza Kuu la Wiaslamu Tanzania (BAKWATA),Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ,Jumuiya ya Kikristo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.