CCM inakubali kuendeshwa kihuni

CCM inakubali kuendeshwa kihuni

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
17,969
Reaction score
45,797
Mambo ya ajabu kabosa yanaendelea. Yaani Bashite na yeye amegeuka kuwa Godfather ndani ya CCM kiasi cha kutuma na kusimamia majina ya watu wake mbalimbali kupitishwa ikiwemo Kigamboni, Kawe, Nyamagana na kwingineko...serious kabisa hawa wazee wamezidiwa na Bashite na mfumo unaangalia na kukubali kumkabidhi power hiyo

Ngoja tuone Polepole plz Kamilisha suala letu la July 2025

Britanicca!!
 
Mambo ya ajabu kabosa yanaendelea. Yaani Bashite na yeye amegeuka kuwa Godfather ndani ya CCM kiasi cha kutuma na kusimamia majina ya watu wake mbalimbali kupitishwa ikiwemo Kigamboni, Kawe, Nyamagana na kwingineko...serious kabisa hawa wazee wamezidiwa na Bashite na mfumo unaangalia na kukubali kumkabidhi power hiyo
ngoja tuone Polepole plz Kamilisha suala letu la July 2025

Britanicca!!
Ila ilikuaje akapona SA au alienda Dubai? Kete nyingine mtamwamsha Magu amuweke Sabaya, DAB ni Sabaya kwenye muonekano mwingine ingawa Sabaya alivuka mstari kidogo
 
Mambo ya ajabu kabosa yanaendelea. Yaani Bashite na yeye amegeuka kuwa Godfather ndani ya CCM kiasi cha kutuma na kusimamia majina ya watu wake mbalimbali kupitishwa ikiwemo Kigamboni, Kawe, Nyamagana na kwingineko...serious kabisa hawa wazee wamezidiwa na Bashite na mfumo unaangalia na kukubali kumkabidhi power hiyo
ngoja tuone Polepole plz Kamilisha suala letu la July 2025

Britanicca!!
Polepole yuko peke yake, Samia yuko na Kikwete, majeshi yote, atawezaje kuwashinda wahuni?
Mungu amlinde na kumtukuza
 
Mkuu sasa Polepole atafanya jambo gani la kuwazuia hawa mabwana ilihali na yeye kajificha Mashariki ya mbali?

Mpaka sasa sijaona impact ya Polepole baada ya ile Press na hata hiyo press ya July 31 sidhani kama kutakua na jipya zaidi ya Yeye kuvuliwa uanachama na hadhi ya uBalozi.
 
Je, Atatangaza kuchukua fomu ya kugombea U-CEO ndani ya chama Cha majani mabichi.
 
Mambo ya ajabu kabosa yanaendelea. Yaani Bashite na yeye amegeuka kuwa Godfather ndani ya CCM kiasi cha kutuma na kusimamia majina ya watu wake mbalimbali kupitishwa ikiwemo Kigamboni, Kawe, Nyamagana na kwingineko...serious kabisa hawa wazee wamezidiwa na Bashite na mfumo unaangalia na kukubali kumkabidhi power hiyo
ngoja tuone Polepole plz Kamilisha suala letu la July 2025

Britanicca!!
Ramli zitawaua!
 
Mkuu ww kwasasa umegeuka kuwa mpiga ramli tu.
 
Mkuu sema TU ukweli ni kitu gani kimekukera sana ndani ya CCM ? Kutoka moyoni kabisa Yan
 
Back
Top Bottom