Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kutoka viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam tunakusogezea kuona jinsi msafara uliomleta Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu alivyoingia Mahakamani hapo mapema...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Kumbe nani angependa kwa maovu yake, akawe wa kufilisiwa, kwenda jela au kumwaga mbio, wakati alikuwa akilamba asali? Thubutu! Kwamba si kila atakayeonekana kuwa amsha waliolala watakula naye...
3 Reactions
14 Replies
723 Views
Utetezi wa Tundu Lissu kwenye kesi yake ya Uhaini, leo Septemba 9, 2025 === Leo Septemba 9, 2025 Kesi imeanza Mhe. Lissu ameingia. Katuga amesimama na kutambulisha jopo lake na mshitakiwa...
43 Reactions
145 Replies
14K Views
Ukifuatilia kesi bandia ya Serikali dhidi ya Tundu Lissu, unapata ujumbe mmoja ulio dhahiri kabisa kuwa, "Mawakili wa Serikali wana uwezo mdogo sana wa akili na Taaluma! Maswali Muhimu ya...
14 Reactions
43 Replies
2K Views
Mgombea ubunge Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amefanyiwa dua ya kumwombea kushinda uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025. Dua hiyo ambayo pia imeombea amani katika uchaguzi...
2 Reactions
14 Replies
878 Views
Kwanza naanza kwa kusema rais magufuli unakosea sana kwa kusema kwamba ikulu umeitafta mwenyewe, sentensi hii inawaumiza sana watu waliopigana kufa na kupona, Kuna watu muhimu ambao bila wao leo...
24 Reactions
167 Replies
38K Views
Amkeni watanzania, anaewaambia achana na siasa anataka uendelee kuwa na maisha ya chini, unaweza kutafakari tu kwa akili ya kawaida kuwa mbunge hamna kigezo chochote kigumu zaidi kujua kusoma na...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Endelea kupumzika kwa Amani Kamanda Mohamedi Mtoi , classmate wa vidudu (chekechea) and Secondary. Ile kama kweli ilikua Ajali ya kawaida basi Mungu anajua...
8 Reactions
40 Replies
3K Views
Kwa yeyote anayefuatilia hii kesi, atakubaliana nami kuwa Lissu amewazidi vibaya sana kwa hoja mawakili la serikali mpaka kufikia hatua ya hawa mawakili wake serikali kuiomba Mahakama itumie...
18 Reactions
35 Replies
2K Views
GT. Naanza na fans wa CCM 1. Mafisadi/Wezi 2. Mama ntilie 3. Boda boda na machinga 4. Wakulima/wafugaji wa kujikimu 5. Wasiokuwa na kazi maalumu (wazururaji) Audience wa Chadema 1. Wasomi 2...
12 Reactions
19 Replies
890 Views
Akizungumza wakati akizindua Kampeni za Chama cha Mapinduzi Kigoma Mjini leo Septema 9, 2025, Clayton Chipando Maarufu Baba Levo ambaye ni Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini amehusisha kutajwa...
1 Reactions
5 Replies
661 Views
Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na tabia ya baadhi ya sauti zisizo na sura kutumia mitandao ya kijamii kama jukwaa la kusambaza uzushi kwa lengo la kuleta taharuki, hofu na kupunguza imani ya...
10 Reactions
71 Replies
6K Views
Kwanini tuna wachungaji, mashehe, wanasiasa na matapeli wengine kama hao barani Afrika kuliko mabara yaliyoendelea kiuchumi? Je, wingi wa makundi haya unatufundisha au kututahadharisha na nini...
2 Reactions
3 Replies
247 Views
Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema mafanikio yaliyopatikana katika sekta mbalimbali nchini yametokana na usimamizi imara wa mapato ya serikali...
8 Reactions
28 Replies
1K Views
Mkuu wa wilaya Hai, Mkoani Kilimanjaro, Hassan Bomboko, ameonyesha wazi kutokubaliana na mbunge wa Jimbo hilo, Saashisha Mafue, ambaye ameteuliwa kugombea tena ubunge. Kutengua uteuzi huu unakuja...
2 Reactions
8 Replies
913 Views
Mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Singida Magharibi, Elibariki Kingu amefunguka kuwa "Kuna watu wanakuzodoa, eti CCM imekosea kukuteua, nampa Polepole taarifa CCM, tulisema tunakuhitaji"
2 Reactions
7 Replies
492 Views
Wazee wa Mila katika eneo la Kalenga Mkoani Iringa wameeleza matumaini makubwa waliyonayo kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwamba tayari wamemkubali kuendelea na wadhifa wake baada ya Uchaguzi...
1 Reactions
12 Replies
605 Views
Nikiwemo mimi nilimuona Makongoro Nyerere angefaa kwa kipindi kile kuwa rais wa nchi yetu maana kila mtu alijua Magufuli hata Tano bora hasingefika, kwasababu watu wanamuogopa, Ninasema hivyo...
3 Reactions
101 Replies
11K Views
Kesi ya madai iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Bodi la Wadhamini na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na...
1 Reactions
2 Replies
385 Views
Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake kwa mujibu wa mawzo yake kwakuwa ana utashi wake binafsi so naomba nitoa mtizamo wangu na sitatoa maoni ili kumfurahisha mtu humu ndani ya Forum ni maoni...
35 Reactions
2K Replies
270K Views
Back
Top Bottom