Kama mnavyojua tumepata Msiba wa Afrika Mashariki. Mheshimiwa Raila Amolo Odinga. Je Nani anatuwakilisha huko? Atafutwe Mstaafu mmoja au wawili wakatuwakilishe huko Bondo.
Kwa jina la Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema, mwingi wa fadhila.
Amani ya Bwana iwe pamoja nanyi wapendwa katika Kristo,
Assalaam Aleykum Warahmatullah Wabarakatuh kwa ndugu zetu wa Kiislamu...
Hoja za Humphrey Polepole zimekaa kiweledi na ni hoja halisi zinazotokana na Katiba ya chama chao na Miongozo mbali mbali ya chama hicho.
Polepole ni "muasi" msomi na mtu aliyewahi kuwa kiongozi...
Kuibuka kwa Humphrey Polepole, Balozi, Mbunge mstaafu na Katibu mwenezi wa CCM mstaafu na kuikosoa serikali yake na uongozi unaoongoza serikali hiyo vikali sana katika wakati huu usiotarajiwa ni...
Inayoitwa tume huru ya uchaguzi inatuona sisi ndezi!
Yaani eti kati ya vitu vyote vya kuweka uwanja sawa kwa wagombea imeona kugawa magari ndiyo njia mwafaka! Kwa nini inapata kigugumizi kuamua...
Mara tu ya Bunge kuvunjwa rasmi Agosti 2025, Mawaziri wote pamoja na Spika walipoteza vyeo vyao vilivyotokana na Ubunge. Hii ya watu kukiita Spika, Waziri Mkuu, Naibu Waziri Mkuu, Waziri Mkuu...
Kwa raisi kikwete walivuna ugonjwa wa mnyauko,
Kwa rais Magufuli walivuna tetemeko la Ardhi wakaishia kuboreshewa shule na magereza?
Kitoto Cha 2000 uwezi nielewa ngojea nirudie hivi!
Kwa raisi...
Hebu muwe serious jamani prominent figure ni nani ambaye mtamkabidhi nchi baada ya mama yetu msikivu, mwenye utu na asiye na makandokando kurudi Kizimkazi?
Wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu nchini Tanzania wametangaza kuwa mabalozi wa amani na usalama wa Tanzania wakati huu ambapo Taifa linajiandaa kushiriki kwenye Uchaguzi Mkuu wa Tanzania ili kila...
JE, UKO TAYARI Dokezo!
Ujumbe kwa nafsi yako ✍🏿
1.
Madikteta kwa kawaida hukamata taasisi zifuatazo za serikali, polisi, mahakama, jeshi, vyombo vya habari na tume ya uchaguzi n.k. hizi...
Ni baba wa taifa,wengine wanamwita mkombozi wa kweli barani afrika,wapo wanao mwona kama gwiji wa siasa za kipekee na zilizo simamia utu wa mweusi duniani kote,nasisi wachache tunamwita nabii...
Pasco wa JF, naomba jibu lako,
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema, CCM siyo mama yangu, siku wakiiacha ile misingi tuliyoanzisha kwayo, nitaiacha -- JK Nyerere (Siku ya kumwaga Kawawa- Mungu...
Ndio kujenga nchi ni Jambo ngumu sana hutaki kukaa kwenye Meza ya Mazungumzo Je, hawa wanaotaka kuandamana hoja yao nini?
Mazungumzo yaliwahi kufanyika na kujua wao wanataka nini?
Tujenge...
Ikiwa leo ni siku tunakumbuka kifo cha Baba wa Taifa hili hatuna budi kumuenzi kwa kuyafuata yale aliyokuwa akiyapigania
1. Kupambana na Rushwa na Ufisadi (Uhusani kwenye uchaguzi tuwakatae...
Jina la Madaraka Nyerere(pichani) sio geni miongoni mwa watanzania. Ukiachilia mbali ukweli kwamba yeye ni mtoto wa sita wa Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (kitu ambacho...
Mwalimu Julius kambarage Nyerere Mimi ni #kijanamzalendo mwenye uchungu na taifa langu na serikali yangu ambae sijawahi kukushuhudia ukiwa madarakani Bali nilichokiwahi kukisikia kuhusu wewe juu...
Wanabodi,
Kuna uwezekano uelewa wa Watanzania walio wengi kuelewa mambo makubwa, ni uelewa finyu, uelewa mdogo, uelewa duni au uelewa wenye mushkeli?. Maana kuna siku niliwahi kuandika makala...
1. Mwanasiasa Mkongwe nchini. Anafaa kuteketeza Sera mpya ya Mambo ya Nje iliyozinduliwa hivi karibuni.
2. Haya yatawezekana tu akimng'oa Archbishop Dr Rashid Josephat Gwajima (PhD) Jimbo la Kawe.
Aluta...
Siku 13 zimebakia. Jambo letu linaenda kukamilika kikamilifu. Tunaenda kuonyesha ulimwengu Legacy ya Nyerere. Ukombozi.
Ambia wanachadema, Sukuma gang, na Wakristo wote wenye smartphone...