Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tunakuomba sana Mzee Butiku utukome. Mlishindwa kuwadhibiti Mafisadi na sasa wamewameza hadi nyie huku wakiharibu maisha yetu sisi Watanzania wengi na vizazi vyetu vinavyokuja. Tunakuomba acha...
7 Reactions
67 Replies
2K Views
Butiku ni mbaya yule mzee na tuangalie namna ya kumweka kwenye maombi ya kumnanikisha ba shetani. Amekosa hata aibu. Huyu ni mmoja ya Yudas wa Kizazi hiki. Huyu ndo aliyetia location ya HP. Huyu...
0 Reactions
6 Replies
250 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba ametoa wito kwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuhakikisha kuwa kura za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 zinahesabiwa na...
0 Reactions
2 Replies
234 Views
Wanabodi, Nimekutana na clip hii ya huyu kijana akiwa amevaa nguo za JKT akisema kuwa kama Jeshi lenyewe linaunga mkono maandamano na asijitokeze yoyote kuwaumiza wananchi kwenye maandamano hayo...
18 Reactions
55 Replies
3K Views
Soma pia: Makonda uso kwa uso na Gambo kwenye mabanda Arusha, ona kilichotokea mbele ya Waziri Ndejembi
1 Reactions
0 Replies
216 Views
Kuna tetesi kuwa Humphrey Polepole alikuwa anajua majibu ya maswali mengi waliyokuwa wanajiuliza kuhusu kifo cha Magufuli na yaliyoendelea nyuma ya pazia, sababu yeye ndiye alikuwa mtu wa karibu...
15 Reactions
36 Replies
4K Views
Humphrey Polepole akizungumza na wananchi kupitia mitandao ya kijamii ameweka wazi kuwa waandishi waandamani wengi wamepewa mlungula na Serikali ili wasiongee mambo ya msingi, akitolea mfano...
0 Reactions
2 Replies
345 Views
Nadhani Mzee Butiku kapaniki tu maana anajua mtiti aliokabiliana nao kaka yake mwaka 1964 jeshi lilipoasi. Lakini hawa hapa ni Wanajeshi mashuhuri kabisa sasa aje hapa Butiku aseme wao kuwa na...
5 Reactions
31 Replies
952 Views
Neno la Mungu (Biblia) linaonya kusema; Mithali 29:1 SUV "...Aonywaye mara nyingi akishupaza shingo, Atavunjika ghafula, wala hapati dawa..." Rais Samia na wenzako serikalini na ndani ya chama...
5 Reactions
7 Replies
450 Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba amesema Chama chao kiliamua kushiriki Uchaguzi Mkuu ili kuonyesha uzalendo na kudumisha amani na mshikamano kama Taifa moja Prof...
1 Reactions
2 Replies
271 Views
Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma, leo Oktoba 6, 2025, itasikiliza shauri la kikatiba lililofunguliwa dhidi ya Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kupinga Luhaga Mpina...
0 Reactions
0 Replies
245 Views
Akizungumza kwa njia ya mtandao Oktoba 5, 2025 , Humphrey Polepole alieleza mambo yanayoendelea nchini kuwa kuna watu wanaopiga kelele kuhusiana na wizi, ufisadi, rushwa, dhuluma, ujambazi na...
0 Reactions
1 Replies
296 Views
  • Featured
"Kijana ambaye ni mpenda rushwa, mwizi, fisadi, tapeli, mvivu, mtumia madawa ya kulevya, asiyejifahamu, nk, aina hii ya vijana wana mchango mdogo sana katika taifa na hata kwenye chama." -...
10 Reactions
27 Replies
2K Views
Polepole Septemba 30, 2025 aliendelea kusisitiza kuwa uteuzi wa Dkt. Nchimbi kama mgombea mwenza wa Rais Samia, ulikumbwa na kashikashi ambazo zilipelekea kutaka kumtoa. Lakini wale anaowaita CCM...
0 Reactions
0 Replies
270 Views
Akiongea na wananchi kupitia mitandao ya kijamii, Humphrey Polepole amesema vyombo vikubwa vya habari vimetishwa na kupigwa marufuku kuzungumza mambo ya msingi kwenye kampeni na uchaguzi...
1 Reactions
1 Replies
256 Views
Wanamtandao walimchafua taswira yake kwa ajili ya masilai yao binafsi, walitumia kila njia I'li kumpoteza kabisa,. Binafsi nimejiridhisha kuwa alikuwa na hofu ya Mungu juu ya watanzania...
17 Reactions
46 Replies
1K Views
Mzee huyu ameonyesha huruma kwa vijana wanaopanga wakingoja tarehe 29 kwa hamu, akiwashauri kujiandaa kutafuta njia mbadala endapo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitashinda uchaguzi. Akizungumza...
1 Reactions
8 Replies
330 Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Geita, Manjale Magambo,amewahimiza wananchi kupiga kura, Oktoba 29 Akizungumza katika mkutano wa kampeni uliofanyika kata ya...
0 Reactions
1 Replies
174 Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu leo Jumatatu, Oktoba 6, 2025, amefikishwa Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam ambapo kesi yake ya uhaini inayomkabili...
1 Reactions
0 Replies
376 Views
Wagombea ambao kila mara wanasisitiza vijana wakajiajiri wao Wanahonga ili wakaajiriwe Bungeni wapate Mshahara 18m (bila kodi)kwa mwezi, kiinua mgongo sio chini ya 400m na posho kama zote. 1...
1 Reactions
4 Replies
341 Views
Back
Top Bottom