Kumbuka uliwekwa hapo kwa bahati mbaya tuu baada ya kifo cha afande wetu mpendwa Amiri jeshi mkuu JPM (A.M.P) hatukuwa na mpango wa kuwa na Rais mwanamke kamwe ! Umemaliza awamu ya tano B, TOKA...
Japo wote ni chama kimoja, kinachoendelea kinaonyesha kuwa macc siyo binadamu hasa yanapoingiliwmaslahi yao au kufichuliwa uovu wao.
Kama kweli kilichotokea kwa Humphrey Polepole kilimhusisha...
Mgombea Uwakilishi wa Jimbo la Kiwani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Hemed Suleiman...
Oktoba 4, 2025, Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), John Heche alizungumza na wananchi wa Kijiji cha Bukokwa kilichopo Halmashauri ya Buchosa, mkoani Mwanza, katika mkutano wa hadhara uliohusu...
Kwa wale wataalam wa ruti za Dar ukitoka Tazara, kuelekea Airport ya Mwalimu Nyerere, unakutana na kambi ya Jeshi la Anga (Airwing) kabla hujafika Mamlaka ya Anga pale Banana jamaa anaweza akawa...
Watu wote waliohusika ktk usaliti huu juu ya Humphrey Polepole na kutwa na hao watalipia kizazi hadi kizazi chao, Mtu ambae alikuwa mzalendo anapigania haki ya watanzania wanyonge halafu wewe...
Wanao furahia mfumo wa sasa Tanzania ni wajinga. Mfumo ambao haufuati sheria yeyote hata kama zipo ni mfumo wa ajabu sana.
Kesho akija Rais mwingine anaweza kuamua kutaifisha chochote kwa...
Wazalendo wa jeshi ni watendaji kama Captain kuliko majenerali mafisadi. Rushwa ndiyo imewafanya hawa askari watendaji kuchukuwa nchi.
Mfumo bora kwa nchi ni demokrasia tatizo hiyo demokrasia...
Ukute waliosema hawatasimama maovu yakitawala wameshanunua sofa kitambo wamekaa kabisa, na hawana habari!
Au yawezekana haya ya sasa bado sio maovu, kuna makubwa zaidi ya haya?
Hizi drama ni za kupitisha muda tu Kusubiria siku ya Uapisho November 2025. Ndugu mnyonge endelea Kusaka pesa za kulisha familia yako.
Hakika HP kataitiwa mwanzo-mwenga Hana pa kutoboa
Kupitia ukurusa wake wa Instagram Makamu Mwenyekiti CHADEMA ameandika haya.......
"Kukosoa serikali sio jinai, kukosoa mienendo ya serikali na uongozi sio kosa lolote kwenye Nchi hii...
Mtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake.
Kulikoni huyu anaongea akiwa...
Ndugu wa Balozi amehojiwa na tumemsikia. Kuna maneno na yanayozungumzwa mitandaoni hasa hili la 'chip' ambayo ndio theory yangu inapokuja.
Je, ni kweli Balozi ana bug katika mwili wake au ni...
Jeshi la Polisi limemwelekeza aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole afike katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) atoe maelezo na ushahidi kuhusiana...
Hili ndio swali ninalojiuliza hasa baada ya kusoma maelezo ya Maria Sarungi kwenye mtandao wa X .
Katika andiko lake kwa lugha ya kingereza zaidi ya muda wa lisaa limoja lililopita, amegusia kuwa...
Jana Pole pole ameingia sehemu ya tatu ya mafunuo yake ya ccm kwa wananchi wa Tanganyika.. Ni wazi kabisa anainyonga ccm kikatili mno... Na hii ndio faraja ya Watanganyika...
Kisu kimekaribia...
Habari ya asubuhi kwenu nyote.
Hili taifa limekuwa na mzaha mzaha pamoja na kuchukulia mambo ki wepesi sana. Nimekuwa nikiperuzi mitandao ya kijamii mbalimbali huko nimekutana na jumbe za watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.