KWAKO CDF NAKUANDIKIA KWA HERUFI KUBWA UTACHAGUA MWENYEWE CHA KUFANYA !!.
NAJUA UNAJUA , MWANAJESHI MMOJA PEKEAKE HAWEZI KUMUONDOA MADARAKANI RAIS FISADI.( Asomaye na Afahamu).
NAJUA UNAJUA KWA...
Kipindi cha kifo cha mwenda zake tuliambiwa jamaa waligoma msiba usitangazwe mapema kwanza ili watu wajipigie pesa uko BOT
Na kwa sasa jinsi joto linavyopanda hawa wahuni hawafanyi yao kweli...
Mataifa kadhaa Duniani yamepitia nyakati ambazo Tanzania inapitia kwa sasa, ambapo mifumo yote ya haki za wananchi huangamizwa na watawala.
Kwenye utawala wa kidikteta, hakuna mifumo ya haki...
Machifu 200 wa mikoa tisa ya Kanda ya Kusini, wanatarajiwa kufanya matembezi maalumu mkoani Mbeya, kwa lengo la kuliombea taifa, ili uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025, ufanyike kwa amani na...
Mhandishi Kabendera ameandika mambo mazito na magumu sana ila ameniliza amenitoa machozi na sasa nina taka kuamini Tabiri zangu Mungu alikuwa na Mimi.
Kifo cha Ben Saanane kiukweli kimnishituwa...
WAUMINI wa Dini ya Kiislamu wameshauriwa kutoshiriki maandamano yanayohamasishwa kwenye mitandao ya kijamii yaliyopangwa kufanyika Oktoba 29, mwaka huu, na badala yake wajitokeze kupiga kura kwa...
Salaam, Shalom!
Ameanza kwa kusema kuwa SI Kila nchi ni sawa na ingine, Kenya SI Uganda na Uganda SI Tanzania.
Israel ni nchi kama tu zingine, lakini ni nchi special, nchi takatifu sababu...
Kule Bulyanhulu jana kuna utekaji wa vijana 3 umefanyika
Jana pia pale Ikungi kiongozi wa Chadema alitekwa.
Leo Njombe katekwa Katibu wa Bavicha.
Jeshi letu pendwa JWTZ, Kiapo chenu kikuu ni...
Lolote lile litakalifanyoka na Vijana wa JWTZ wanaokerwa na Utekaji, Uuaji, Ufungwaji wa Makanisa, Majaribio ya Kuua Viongozi wa Dini ya Ukristo, kubagaWa Kwa Rasimali za Nchi n.k ,lolote lile...
Kuna magari mengi sana yanaelekea kwenye makazi ya CDF muda huu. Haijafahamika mara moja kama ni viongozi wa kiserikali ama ni wanajeshi.
Sasa wewe lala upitwe!
Tuna miezi miwili hatupati maji mtani kwetu. Lakini toka ziara ya Mh Raisi ianze kutangazwa kuwa anakuja Mwanza maji hayakati.
Ni siku tatu sasa maji yanatoka siku nzima. Najiuliza maswali mengi...
Kwa wana CCM wote
Kwa machawa wote
Kwa Bi Samia na familia yake
Ujumbe kwenu leo ni huu.
Na Jeshi ni askari wa vyeo vya chini. Askari wanaojua na kuelewa vizuri maana ya Kiapo cha Kuwalinda...
Watu wengi wanaamini kuwa yule ni Kapteni wa JWTZ.
Alichokisema kwa ujumla ndio malalamiko ya watu kila siku mitaani. Ufisadi, famiilia za wanaCCM wachache kuiba na kutafuna mali za umma.
Je, ni...
Tundu Antipas Lissu, alifunguliwa kesi ya uongo ya uhaini na Samia.
Samia akatumia mahakama na kina Katuga kumkomesha Lissu, mpaka Sasa ni mwezi 7 Lissu yupo jela.
Nakumbuka Kuna Askofu Mmoja...
Mgombea ubunge wa Jimbo la Temeke kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Sheikh Ponda Issa Ponda, amesema kuwa iwapo atachaguliwa kuongoza wananchi wa jimbo hilo, atahakikisha mfumo wa elimu unapewa...
Siku zote mapambano ya ukombozi huanza usiku wa manane. Na ndiyo maana madikteta yote yakiona mambo yanawaendea vibaya, hatua ya kwanza huwa ni kuwazuia watu kutembea usiku.
Uhuru wa Tanganyika...
Mafao ya wenza wa Viongozi ilikua ni Ishara mbaya na ya dharau sana kwa wananchi umlipe Waziri Mkuu Mstaafu halafu ulimpe na mke wake hizo ni dharau sana kwa wananchi hiyo ilitosha kuandamana na...
"Nendeni mkawaambie kwamba ni nchi gani duniani inawapa watu wake mikopo isiyo na riba?. Wakaangalie, mara nyingi wanapenda ku- google vitu ambavyo vinavunja amani, wa- Google sasa vitu ambavyo...
Wagombea wenza wa viongizi wakuu wagombea ubunge wafutiwe mafao yote ya wenza wasipewe tena sababu yaliwekwa kuleta amani kwenye nchi
Sasa kama wengine hawaridhiki wake wa mawaziri wakuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.