Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Aisee Tunaamdamana Oktoba 29 , kama mtaungana na na Watesi wetu basi, Capt Tesha na wenzake watatusaidia. Haingiii Akilini, Wanajeshi wa JWTZ wamefia huko Kongo, Comoro, Sudan Kwa sababu ya...
5 Reactions
3 Replies
267 Views
  • Featured
Jaji Mkuu wa Tanzania, George Mcheche Masaju, amesema changamoto ya rushwa bado ipo ndani ya taasisi muhimu za utoaji haki, akisisitiza kuwa nidhamu na uwajibikaji ndiyo nguzo kuu zitakazosaidia...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Kesi ya uhaini, Jamhuri dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu A. Lissu inatarajiwa kusikilizwa mfululizo kuanzia Jumatatu, saa 4 asubuhi 06.10.2025 hadi 24.10.2025 na kuendelea kuanzia...
4 Reactions
8 Replies
537 Views
Mgombea ubunge wa Mkinga kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Twaha Mwakioja amewaahidi wananchi iwapo wakimpa ridhaa ya kuliongoza jimbo hilo, atatatua kero ya umeme kwa baadhi ya vijiji ndani ya...
0 Reactions
0 Replies
180 Views
Kichwa Cha habari hii nime Quote from Albert Einstein. Nawasalim wote, amani ya bwana iwe nanyi. Kwa Sasa dunia inakabiliwa na wimbi kubwa la ugonjwa wa korona. Eee Mwenyezi MUNGU tuokoe sisi...
1 Reactions
13 Replies
990 Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi, amewataka Watanzania kudumisha mshikamano na kulinda umoja wa kitaifa kwa kuheshimu...
0 Reactions
15 Replies
879 Views
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X (zamani Twitter) Mwanaharakati Maria Sarungi ameandika kuhusu tukio la kukamatwa kwa kijana anayedaiwa kuwa muumini wa dini ya Kiislamu akiwa amevalia mavazi...
10 Reactions
44 Replies
2K Views
Wakili Deogratias Mahinyila aliye upande wa jopo la Mawakili wa Tundu Lissu na Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA Taifa (BAVICHA) akiongea na Wanahabari nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar Es...
1 Reactions
6 Replies
523 Views
Askofu Gwajima amesema "Mimi nimetumwa na Mungu kwenye hii Nchi na safari hii ndio mtajua kwamba Mungu amenituma, Mungu huwa anatuama watu kwa kusudi maalumu, na Mungu akiwatumwa watu huwa...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Baada ya TAMKO la Capt. C. J. Tesha kuwa amemuandikia CDF Jeshi lichukue nchi kabla mambo kuharibika. Tumeona pia Kaimu msemaji wa JWTZ akiongea kwa CODEX kuhusu tamko hilo. Zipo taarifa kutoka...
18 Reactions
71 Replies
4K Views
Tokea kuanza wa Kampeni za Uchaguzi,waandishi wengi wamekuwa wakivaa sare za wagombea wa vyama hususan CCM na Bodi ya waandishi wa Habari wala haisemi kitu Juu yao. Waandishi ndiyo tumaini la...
0 Reactions
7 Replies
616 Views
Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ameeleza kuwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakati wa uhai wake alimwelekeza kujifunza uzalendo wa Taifa...
1 Reactions
19 Replies
623 Views
Serikali yetu inapenda kukana Tatizo kuwa halipo. Ila wananchi wanataka mabadiliko na wasipoyapata kwenye amani watayatafuta kwenye mazingira tofauti Jiulize wingi wa vyumba chakavu nchini na...
1 Reactions
2 Replies
194 Views
Mzee bila shaka ulitumia muda mwingi sana kwenye Vyombo vya habari kuhubiri MABADILIKO MABADILIKO . Ulipuuzwa, na wakakuambia Mzee umeshastaafu, kama kwa kutulia. Mzee Butiku kama ni mema ya...
4 Reactions
6 Replies
268 Views
Hizi taasisi japo hazina nguvu kali za kidola zimehusika sana kuvuruga mchakato wa mabadiliko, kufifisha na kurudisha nyuma hata jitihada kidogo za kutetea raia, siku moja kama tutafanikiwa...
13 Reactions
40 Replies
1K Views
Chama changu CCM kimenisikitiisha sana. Kwanini wameshindwa kutoka hadharani kulaani kauli za uchochezi za kuvunja amani ya Nchi za Kapteni Tesha? Yaani hata Murilo Kaufyata!? Ni huzuni Huyu...
1 Reactions
1 Replies
206 Views
Siamini wala sioni jeshi la Tanzania likiwa na nia wala malengo ya kupindua nchi. Hakuna mwanajeshi mwenye huo moyo wala hiyo tamaa. Jeshi letu na wanajeshi wetu wamejengwa kwenye misingi ya...
8 Reactions
25 Replies
903 Views
Kuna uwezekano 80-90% uchaguzi ukasogezwa mbele kwa kutokea kifo cha mgombea urais . So wale jamaa waliopewa magari wa vyama vidogo kuweni makini ikiwezekana jificheni kaeni mbali Sana
15 Reactions
19 Replies
852 Views
Wakuu, Hivi hizi hela hawa jamaa wanazotumia kwenye hizi propaganda zao si ni kodi zetu Watanzania? Mbona kama mfumo umepaniki sana?
0 Reactions
7 Replies
463 Views
Nini Hatima ya Waliotekwa na Kufungwa na kuuwawa?. Nini Hatima ya Vyama vya siasa hasa CHADEMA ? Ni Hatima ya Tundu LISSU ?. Nini Hatima ya Walio, wanao na watakaoendelea kuikosoa Serikali...
0 Reactions
2 Replies
251 Views
Back
Top Bottom