Mmemsikia Nchimbi! Akiendelea kufanya unafiki wake!
==================
“Katika kipindi cha miaka hii minne na nusu, serikali ya CCM imeweza kusimamia usalama na amani ya nchi yetu. Imeimarisha...
Technically Probability ni mbili watu kuwa wengi au watu kuwa wachache ingawa realistically wanaweza kuwa wachache; Let alone Siasa za sasa ni wachache sana hupiga Kura, lakini trend inaonyesha...
Ningependa kuwa uliza Polisiccm na Waendesha mashtaka, kuna kauli ngapi za Wana CCM na uvccm ambazo zinaingelea uvunjifu wa Amani na Sheria lakini hakuna hatua zinazo chukuliwa dhidi yao
"Watu wanatekwa watu wanauawa, watu wanaporwa mali zao kikundi cha watu wachache sana kinajenga ukwasi na utajiri mkubwa na wingi wa fedha kutoka katika vyanzo visivyojulikana ndio wamejaa mjini...
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),. Tundu Lissu, inaendelea leo, Jumatatu Oktoba 06.2025 katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar...
Leo Oktoba 6, 2025 katika mwendelezo wa usikilizaji wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu, Jeshi la Polisi limewazuia, Mwakilishi wa Balozi wa Marekani na Mwakilishi kutoka Newsland kuingia...
Ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi leo Jumatatu, Oktoba 6, 2025, katika viunga vya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam, wakati kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu kusikilizwa...
Polepole ni mfano: Bila mifumo bora hakuna aliye salama zaidi ya familia 3 za Kikwete, Mwinyi na Samia kwasasa. Pamoja na mkubwa wao Rostam Aziz
Piganianieni mifumo bora hakuna anayejua kesho...
Kigoma kunazidi kuchangamka leo wananchi wanataka kumpeleka chawa bungeni baadae watalia hela zote za miradi zikipelekwa kwenye kujenga Maghorofa ya Baba Levo :Alien: :Alien: :Alien: :Alien...
Mwanachama wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amesema matamanio yake makuu ni kuona anaruhusiwa kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuonesha utofauti wa kampeni baina ya vyama...
Ndugu Polepole popote ulipo tunakuombea uwe salama uliwahi kuwa imara ndani ya CCM leo hao hao CCM wamekuteka ki kulacho ki kiungoni mwako.
"upinzani wakiendelea kuweka visingizio kwenye kazi ya...
Kama tunavyojua leo tarehe 6/10/2025 kesi ya uhaini ya Tundu Lissu inaanza kusikilizwa mfululizo kwa jamhuri kuanza kuwasilisha ushahidi wa mashikata yao..
Mara baada ya mahakama kuanza, Tundu...
Ila uchawa umefika kiwango kisichokubalika! CCM tayari wameshakusanya bilioni 100, basi michango mingine hiyo ni gani tena?
Uchawa huu mwingie hauna tija yoyote. Ingekuwa bora kama pesa hizo...
Hali ya mvutano imetokea baina ya mawakili wa Jamhuri na baadhi ya mawakili wa upande wa Tundu Lissu, pamoja na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wakigombea sehemu ya kukaa...
Habari wanaJF,
Kwanza kabisa suala hili la Polepole limenisikitisha sana ila Kuna maswali najiuliza huyu ambaye anajulikana Kama Mafwele ametajwa kwenye masuala ya utekaji mengi kwanini...
Kumbuka uliwekwa hapo kwa bahati mbaya tuu baada ya kifo cha afande wetu mpendwa Amiri jeshi mkuu JPM (A.M.P) hatukuwa na mpango wa kuwa na Rais mwanamke kamwe ! Umemaliza awamu ya tano B, TOKA...
Japo wote ni chama kimoja, kinachoendelea kinaonyesha kuwa macc siyo binadamu hasa yanapoingiliwmaslahi yao au kufichuliwa uovu wao.
Kama kweli kilichotokea kwa Humphrey Polepole kilimhusisha...
Mgombea Uwakilishi wa Jimbo la Kiwani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Hemed Suleiman...
Oktoba 4, 2025, Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), John Heche alizungumza na wananchi wa Kijiji cha Bukokwa kilichopo Halmashauri ya Buchosa, mkoani Mwanza, katika mkutano wa hadhara uliohusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.