Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kutokana na kifo cha aliyekuwa mgombea wa ubunge wa Jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Daudi Ntuyehabi, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesitisha shughuli za...
0 Reactions
1 Replies
188 Views
Mgombea ubunge jimbo la Kigoma Kusini kupitia CCM, Nuru Kashakali, ameahidi kuchimba kisima cha maji kwa fedha binafsi katika kijiji cha Katete, kata ya Ilagala, pamoja na kuboresha huduma za afya...
1 Reactions
1 Replies
162 Views
Watoto hawa wa ndege walioachwa kwenye viota vyao—wanangoja wazazi wao waje na kuwaletea chakula. Lakini Kwa bahati mbaya, wazazi hawakurudi, waliuawa. Kumbuka, kila wakati unapotofautiana au...
4 Reactions
13 Replies
818 Views
Katibu Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi na Mbunge mstaafu Dkt. Bashiru Ali Kakurwa amewatoa hofu Vijana na Watanzania kwa ujumla, akiwaeleza kuwa Mgombea Urais wa Chama hicho Dkt. Samia Suluhu...
0 Reactions
6 Replies
348 Views
Paul Makonda akihutubia mkutano wa kampeni tarehe 08 Oktoba, 2025, Mkoa wa Mwanza amesema, "Nimekuja kuwauliza, Kosa la Dkt Samia ni lipi mpaka usinyanyuke kwenda kupiga kura siku ya tarehe 29?!"
0 Reactions
7 Replies
373 Views
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Arusha Mjini Poul Makonda amesema kuwa kikundi kilichokuwa kinamtukana Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania wa awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Maguli wakati...
2 Reactions
7 Replies
462 Views
Sheria hii ilitumika kuufungia mtandao wa JamiiForums pamoja na vyombo vingi sana vya habari, Sababu kuu ikitajwa kuwa ni kuandika na kurusha habari bila kuzingatia mzani na kufanya utafiti...
1 Reactions
1 Replies
168 Views
Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema uamuzi wa Serikali kutoa hati za mashamba ya karafuu kwa wananchi ni sehemu ya mkakati maalum wa kuhakikisha zao hilo linaendelea kuwa nguzo kuu...
0 Reactions
1 Replies
207 Views
Hiki alichoita " Kijitabu" Ndio kilichomuweka pale, sasa kwakuwa sasa anajiona yeye ni mkubwa kuliko katiba, basi agundishwe kivitendo maana na ukubwa wa Katiba. Yawezekana ndio maana hata...
9 Reactions
18 Replies
559 Views
Mbunge mteule wa Viti Maalumu kupitia kundi la Vijana, Ng’asi Damas Kamani, amempongeza Mgombea wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa hatua kubwa alizochukua katika...
1 Reactions
1 Replies
202 Views
Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala Ndogo ya Dar es salaam imepanga Oktoba 9, 2025 kusikiliza maombi ya Wakili Peter Kibatala juu ya madai ya kutekwa kwa Mwanasiasa Humphrey Polepole. Wakili...
2 Reactions
17 Replies
652 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limesema linafanya uchunguzi tukio la kuuawa kwa Daud Mtuyehabi, aliyekuwa mgombea Ubunge kupitia Chama cha Wananchi (CUF) Jimbo la Siha. Tukio la kujichukulia...
1 Reactions
8 Replies
520 Views
Kiasili najua Mashabiki wa Simba ni Waoga na wameshazoea Kupelekeshwa na Mbabe Yanga na najiuliza tu huu Ujasiri wa Shabiki mmoja wa Simba aliyeko ng'ambo kututaka Mashabiki wa Simba tuigomee...
1 Reactions
13 Replies
390 Views
Huyu mtu ni Mtanzania Kwao niwapi? Mwenye CV yake atupe Ila Nina mashaka na uraia wake Kama alivyosema CDF
10 Reactions
63 Replies
3K Views
Bora Ukimwi sio siasa inavyo ondoka na wengi
1 Reactions
1 Replies
241 Views
Ukweli usiopingika nikua Raisi aliepita Mh Dr Jakaya Kikwete alikuwa rais bora na mwenye malengo yenye tija kwa taifa zaidi ya rais alieshika hatamu Dr John Magufuli ambaye amekua mwiba kwa...
18 Reactions
69 Replies
8K Views
Heshima uliyojijengea miaka 85 ya umri wako umeiharibu ndaninya dakila 10 za press yako. Ulaaniwe milele na Nyerere akupige kofi huko aliko. Nyote semeni AMEN.
1 Reactions
3 Replies
222 Views
Anonymous (e667)
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Paul Makonda amekuwa katika yadhifa za uongozi kwa muda mrefu sasa, kwa nafasi ambazo ameshika, anafahamu kwamba kuna mambo yanayohitaji mipaka. Kabla...
4 Reactions
13 Replies
645 Views
Mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Makunduchi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wanu Hafidh Ameir, amesema uamuzi wa Chama cha ACT Wazalendo kutoweka mgombea wa urais mwaka huu ni ishara tosha ya...
1 Reactions
6 Replies
333 Views
Anonymous (fd2f)
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaendelea na kampeni katika mikoa mbalimbali, na kwa sasa wametia mguu wao huku Kanda ya Ziwa. Ukiachana na mambo kadhaa yanayoacha tafakuri kuhusu mwenendo mzima wa...
0 Reactions
1 Replies
307 Views
Back
Top Bottom