Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika kukumbushana hapo kabla nilisema haya..... https://www.jamiiforums.com/threads/siasa-mamboleo-mdomo-unapojaribu-kulidanganya-sikio.2123568/ Lakini sasa naona kuna mengine ya kushangaza...
0 Reactions
0 Replies
218 Views
Kilanja mkuu anajuwa utekaji huu maana wengi wamepotea hakemei wala IGP hamwajibishi , kilanja mkuu anaona haya yako sawa kabisa! Aisee hatar sana
1 Reactions
7 Replies
337 Views
Mwamba apambanie familia yake halafu tena aje atupambanie wanyonge? Bora aendelee kuwekeza kwenye apartments na bonds ili akimaliza AWAMU Yake awe na cha kuonyesha familia
3 Reactions
7 Replies
422 Views
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na makundi ya vijana wa CCM kisiwani Pemba katika Mkutano huo wa kampeni uliofanyika Ukumbi wa Mikutano Wete, Mkoa...
0 Reactions
0 Replies
188 Views
Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Peter Mavunde ametoa wito kwa watanzania wote kuitunza amani iliyopo, na kutotumia sababu za muda mfupi kuvuruga amani ambayo ni...
0 Reactions
0 Replies
154 Views
Mkikaa kimya wakati kijana wenu katekwa, ina maana mmemsaliti. Na huenda nyie ndio mmetoa taarifa za uwepo wa Polepole TZ. Hasa mzee Butiku, Watanzania tunafikiri Wewe ndiye umemsaliti Polepole...
0 Reactions
1 Replies
246 Views
Kuna dhana isemayo, mtoto wa mjini lazima awe ni mjanja ambaye anazijua fitina zote za kimaisha vinginevyo anaweza kujikuta anakimbia mji kwa sababu ya kukosa mbinu na ujanja wa kumwezesha...
54 Reactions
199 Replies
35K Views
Ni kawaida kuwakumbuka wastaafu wote na kuwaombea afya njema kuanzia Mwl Nyerere, Ewe Mwl Julius Kambarage Nyerere Rais wa Kwanza wa Tanganyika hadi Tanzania umekua mtumishi mwema kutoka Butiama...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Nasema rais wetu ana ubinadam kwa sababu nimegundua mara nyingi linapokuja suala linalogusa maslahi ya wananchi waliowengi hua yuko tayari kusikiliza hata kama wabunge wa chama chake...
0 Reactions
69 Replies
5K Views
Wewe unayeteka watu nakwambia hautachaguliwa kwa matendo Yako haya. Na hizi damu za watu wasio na hatia wana wa Mungu zitakulilia mpaka mwisho wa uhai wako. Huwezi kuteka watanzania hivi halafu...
1 Reactions
7 Replies
333 Views
Wakuu, Kama Kuna Jambo Polepole kalifanyia Taifa hili, na Atabakia kwenye Historia ya Watu Muhimu nchini, ni Hilo la yeye kujiuzulu. Sasa hapa ieleweke, Tatizo sio yeye kujiuzulu, NI TITLE YAKE...
24 Reactions
42 Replies
4K Views
Ndio Furaha yako ?! . Naona kale ka Asili ka 'Kizanaki' , ukigeugeu na Kujipendekeza ndiko kamekuharibia. Hautakubalika tena na Watanzania , Wala hautaheshimiwa Tena na Watanzania , TUMEKUFUTA...
7 Reactions
21 Replies
716 Views
Kama Humphrey Hezron Polepole atafanikiwa kuonana akina Ben Saanane na Mdude Nyagali naomba awambie yafuatayo; Mosi, kabla hujafa hujaumbika. Pili, mambo yanabadilika. Tatu, aliyeko juu mngoje...
5 Reactions
18 Replies
906 Views
WaTanzania hawataweza kubadili mwelekeo wa taifa lao kupitia kwenye sanduku la kura tarehe 29 Oktoba; kwa sababu wamenyimwa HAKI hiyo. Kwenda kupiga kura vituoni siku hiyo ni kwenda kuhalalisha...
1 Reactions
6 Replies
303 Views
Guys I am informed there’s a guy shooting randomly near Stanbic Bank, anyone with more news? Inadaiwa kuna watu wameuawa. Ni Karibu na Makao Makuu ya Stanbic. ======== Mtu mmoja ambaye...
35 Reactions
2K Replies
231K Views
Wakuu Jana ndiyo nimekutana na mtu nyeti kwenye taasisi ya kulifanya taifa kuwa salama katika mazishi kijiji kimoja Kule Kilimanjaro Kulizuka malumbano wengine tunatiki wengine tunatoka...
4 Reactions
23 Replies
956 Views
Wanabodi, Mimi miongoni mwa wale watembezi ambao hutembea na Joni Mtembezi, ila hutembea nae siku za Ijumaa jioni na Jumamosi siku nzima!, siku za Jumapili ni mwendo wa ule muujiza wa Masiha...
34 Reactions
91 Replies
6K Views
Hadi jioni hii Polepole yuko polisi Mabwepande/Mbweni. Wamemuumiza sana. Ila yuko hai. Wanataka kumhamisha Kwenda mtwara . Hawajui tunajua wakifanya movement. Mafwele & co will pay heavily for...
108 Reactions
178 Replies
10K Views
Tangu zimeanza kampeni za chama tawala CCM sijasikia katika sera zao kuhusu kupambana na kumaliza tatizo kubwa la watu kutekwa na hata kuuwawa. Ambapo hadi sasa kuna matukio mengi ya utekaji na...
0 Reactions
6 Replies
194 Views
Za chini chini vikao vya viongozi wa kuu wa jeshi vinaendelea baada ya kauli za tesha. Kama makapteni watampigia kura nyingi kwenye kuunga mkono tamko la shujaa tesha mkuu wa majeshi wala raisi...
47 Reactions
68 Replies
3K Views
Back
Top Bottom