Imani ya Deep state imekuwa sana. Maana ya Taifa kuwa chini ya watu wasiojulikana(deep state) liko nje ya uwezo wa Raisi.
Inaaminika ata tawala za ulaya zipo chini ya deep state.
Kwanini nasema...
Hii ni kumbukizi ya mwisho ya Mzee Butiku kuhusu Wahuni.
Hapa ni kabla ya kubadili gia angani. Alisema vijana Vijana waondoe uoga, baada ya kuondoa uoga kaingia mitini.
Aliowaita wahuni sasa...
Wakuu,
Aprili 7, 2017 Bashe aliandika haya kupitia ukurasa wake wa Twitter (X), "Sote tusimame tuseme hapana kwa mfumo huu unaoanza kuota mizizi. Kama mtu ana makosa ufatwe utaratibu wa kisheria...
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Samia Suluhu kwenye kampeni zake huko Buhongwa, Mwanza amesema, "CCM inaomba mtupe kazi, tukafanye kazi, tujenge utu wa Mtanzania, tuuheshimishe utu wa...
I am deeply concerned about the escalating pattern of enforced disappearances targeting critical voices and passive critics who speak out on matters of democracy, human rights, and good...
Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema chama hicho kitafanya kampeni katika kila kona ya nchi endapo Mahakama Kuu itatoa maamuzi yatakayoruhusu...
Katika tukio la ovyo ni hili lakuambiwa washa tochi mchana halafu mnawasha kweli hii nature ya watu wa Sengerema manzingua sana mnawasha tochi mchana huu kweli au ni usiku huko Mwanza?.
Oky...
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewataka wananchi...
Viongozi wa dini mkoani Mwanza wameitaka Serikali kuacha kupuuza maoni yanayotolewa na viongozi wa dini na badala yake kuyafanyia kazi, ili amani na usalama viendelee kudumu nchini
Wakizungumza...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema serikali itaangalia uwezekano wa kujenga gati au kuchimba sehemu maalum ya bandari katika Kisiwa cha Kojani...
Ni katika nafasi ya KATIBU wa itikadi na uenezi.
Kila LA kheri Mh polepole kwenye majukumu mapya ya chama
=======
Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) kimemteua Ndg Humphrey Polepole kuwa...
Chama cha Wafanyakazi wa Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA)-TRAWU, Mkoa wa Mbeya, kimetishia kugoma kufanya kazi kwa madai ya kutolipwa stahiki zao kwa zaidi ya miezi mitatu sasa
Mwenyekiti...
Wakuu,
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere (MNF), Joseph Butiku, amewataka Watanzania kupuuza taarifa zilizotolewa jana Oktoba 4, na mtu aliyejitambulisha kama Kapteni Tesha wa Jeshi...
Deus Bugaiywa, Mchambuzi wa masuala ya Siasa na Maendeleo leo Oktoba 7, akizungumza kupitia Clouds TV amesema;
"Vijana wanasema wanatoboa kimaisha lakini huwezi kutoboa kimaisha kama hakuna...
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Vijana na Wanawake (TAFEYOCO), Elvis Makumbo, amewashauri vijana kulinda amani iliyopo nchini na kuepuka vishawishi vilivyopo kwenye mitandao ya kijamii...
Polepole alikua anasema wahuni ndo kosa lake Je ni kweli wahuni wapo walikua wanachukia anayoyasema?
Kwa hiyo maneno ya Polepole yalikua yana Ukweli sio propaganda za kisiasa. Kama ni kweli...
Kwa hali hii iliyopo,Na kwa experience ya miaka minne iliyopita, Hata endapo ikatokea mgombea huyu wa CCM akapita kimagumashi, itakuwa vigumu mno kutoboa miaka mitano, lazima kutakuwa na chaos...
Hii leo Mgombea wa urais kupitia CCM ametua mwanza na ndege ya nchi, Naomba kufahau hii ndege ilikuwa na safari ya kwenda Mwanza kukiwa na abiria wengine au yeye binafsi na wafuasi wake? hii ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.