Makinda yaliyofia kiotani.. Ujumbe kwa watekaji

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,136
Reaction score
871,456
Watoto hawa wa ndege walioachwa kwenye viota vyao—wanangoja wazazi wao waje na kuwaletea chakula. Lakini Kwa bahati mbaya, wazazi hawakurudi, waliuawa.

Kumbuka, kila wakati unapotofautiana au kuumiza mtu, unauwamiza wengine kwa njia isiyo ya moja kwa moja wale wanaomtegemea.

Usijiruhusu kuwa sababu ya ndoto za mtu kupotea, au kuwa sababu ya huzuni kwake kwa sababu tu hukubaliani naye!

Tumia maneno yako kwa uangalifu, kwa sababu yanaweza kuwa na athari kubwa kwa maisha ya mtu mwingine. Badala ya kuwavunja moyo wengine, at least wasaidie , na watie moyo!. Jitahidi Kuwa chanzo cha furaha kwa wengine, sio chanzo cha huzuni yao.
Kumbukeni damu ya mtu hunuka.
FB_IMG_1757982094256.jpg
 
Sasa kati ya hao wote hakuna aliyefuzu sanaa ya mapigano akamtaiti jamaa na kutia pingu ili kuepusha mengi kuliko kumgeuza Ngoma.!?

Hivyo vyuo vya ukakamavu walivyofunzwa kabla ya kuvaa hayo matambara viliwahitimisha kuwa raia mmoja anadhibitiwa na askari kumi.! Sasa hapo nani mkakamavu.!
 
Thanks😷😷😷😷😫🏃🏿🏃🏿🏃🏿😀
 
Watoto hawa wa ndege walioachwa kwenye viota vyao—wanangoja wazazi wao waje na kuwaletea chakula. Lakini Kwa bahati mbaya, wazazi hawakurudi, waliuawa.

Kumbuka, kila wakati unapotofautiana au kuumiza mtu, unauwamiza wengine kwa njia isiyo ya moja kwa moja wale wanaomtegemea.

Usijiruhusu kuwa sababu ya ndoto za mtu kupotea, au kuwa sababu ya huzuni kwake kwa sababu tu hukubaliani naye!

Tumia maneno yako kwa uangalifu, kwa sababu yanaweza kuwa na athari kubwa kwa maisha ya mtu mwingine. Badala ya kuwavunja moyo wengine, at least wasaidie , na watie moyo!. Jitahidi Kuwa chanzo cha furaha kwa wengine, sio chanzo cha huzuni yao.
Kumbukeni damu ya mtu hunuka.View attachment 3473072View attachment 3473073
Kuna dalali za kutokea vurugu nchini na MHUSIKA kukimbilia kwao katikati ya bahari.

Nawaza tu kwa sauti
 
Hawa polisi wa bongo hawana nguvu alafu kazi yao kuomba omba bia tu bar. Yani wanaomba hao Polisi wa bongo fucking
 
Back
Top Bottom