Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mgombea wa kujiteua wa CCM, Samia Suluhu Hassan anahitaji msaada tena wa bure na haraka. Tokana na kuabudiwa kichawa na kizwazwa, anajiona kama muungu mtu. Ni ajabu hakujifunza kwa muungu wake...
4 Reactions
8 Replies
433 Views
Abdi Ismail Samatar Kwa nini madikteta wa Kiafrika na wanademokrasia walishindwa pale madikteta wa Asia na wanademokrasia walifanikiwa Na Abdi Ismail Samatar 07 Mei 2025 Abdi Ismail Samatar...
2 Reactions
15 Replies
680 Views
Makundi ya mamluki yenye silaha za moto Dar es salaam, Arusha, Tunduma n.k (mfano Janjawed, waganda n.k) yanaendeleza mauaji mitaani na barabarani mitaa ya sinza, ilala n.k. Ni wazi Samia ameamua...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Kama pamoja na nguvu kubwa inayotumika kuwatisha wananchi bado wananchi wanatoka kila kukicha maana yake ni kuwa risasi hazijawavunja mioyo. Nakumbuka maneno ya mwandamanaji mmoja miaka ile kule...
22 Reactions
18 Replies
898 Views
Kama una cctv ambayo imechukua picha zozote za maandamano, tafadhali hamisha hizo picha haraka na kuzitunza. Wanataka dunia isijue kilichotokea. Kama una ndugu Unajua ana cctv mfikishie ujumbe...
0 Reactions
3 Replies
346 Views
Kuanzia siku ya uchaguzi hadi leo Taifa limekumbwa na taharuki kuu kwenye eneo la kiusalama . Hakuna kinachoumiza moyo kama raia kupigwa na risasi walizozinunua kwa Kodi zao wenyewe ,haukuna...
2 Reactions
21 Replies
807 Views
Maelfu ya watanzania kutoka Mbezi jijini wanaelekea Ikulu muda huu. Madai ya waandamnaji, Matokeo ya uchaguzi yafutwe, KATIBA MPYA, Waliotekwa waachiliwe huru, Tume huru ya uchaguzi na utawala wa...
13 Reactions
34 Replies
2K Views
VIFARANGA KWA MAELFU VYACHOMWA MOTO AWAMU YA SITA! UCHOKOZI WA RAIS SAMIA! 1.0 Utangulizi 1) Rais Samia Suluhu Hassan alimkashifu Hayati John Pombe Magufuli hadharani kwa eti kuchoma moto...
5 Reactions
24 Replies
5K Views
Katika maisha ukifanya kitu chochote kiwe kizuri au kibaya jua kutakuwa na consequences. CCM waliiba kishamba yaani kishamba uchaguzi wa 2019,2020 afu wakarudia the same mistake 2024. Kwa uporaji...
6 Reactions
29 Replies
1K Views
CCM, kwa sasa, inaweza kuwakilisha vitu vingi mfano: Chama cha mauaji Chama cha machawa Chama cha manywinywinywi Chama cha mafisadi Chama cha Matapeli Chama cha maimla Chama cha mamluki Chama cha...
1 Reactions
2 Replies
224 Views
Oktoba 29 hadi 30, walionekana waandamanaji waliokuwa wakipinga zoezi la uchafuzi uliokuwa ukiendelea. Kulikuwa na ushahidi wa watu, hasa vijana waliofanya jambo hilo, picha zipo na mwonekano...
2 Reactions
11 Replies
551 Views
Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye Nipashe ya leo. Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo huwa na swali, likifuatiwa na hoja, kisha jibu...
18 Reactions
38 Replies
5K Views
KWIKWI YA KUTANGAZA MATOKEO YA WASHINDI WA MAJIMBO YA UBUNGE, TATIZO NI NINI ? Tugeukie ubunge matokeo ya ubunge , baraza la wawakilishi, madiwani. Ni takribani siku 4 zimepita bado matokeo ya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Please please ndugu saidieni. Maeneo mbalimbali ya Ilala Boma shule na sehemu zingine za Dar vijana wanakusanywa barabarani na kufungwa mikono kisha wanapigwa risasi. Pia kuna taarifa vijana...
1 Reactions
35 Replies
1K Views
Inawezekana Kuna mambo hatuyajui kijeshi yamewakwamisha wachafuzi pale Dodoma.
0 Reactions
0 Replies
202 Views
Wale wenye dini zenu mtaashuhudia viongozi wenu wa dini au wengine mnawaita wa kiroho watakavyojazana kwenye uapisho wake kumuombea na kuwaaminisha kwamba yeye ni chaguo au mpango wa mango pamoja...
2 Reactions
26 Replies
817 Views
You can’t lead a nation by the power of security agents — true leadership comes from winning hearts, not instilling fear. Silent voices are powerful tools! Wounds speak louder than words!
1 Reactions
4 Replies
285 Views
Kichwa cha habari kiko wazi. Wako wapi magabacholi mbona hatuwaoni mitaani nao wakiandamana au weshafanya yao kama kawaida yao. Nao, tukimalizana na wanasiasa, tuwatembelee wajue hawajui na warudi...
0 Reactions
9 Replies
486 Views
Mwenyekiti wa sasa ni João Manuel Gonçalves Lourenço, wa Angola
0 Reactions
8 Replies
405 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…