Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa tulipofika suala la Jeshi la Wananchi kama Taasisi pekee inayoungwa mkono na Wananchi kuchukua nchi kwa kipindi cha mpito haliepukiki. Ili kusiwe na mkwamo wa kisheria na masuala ya...
7 Reactions
23 Replies
843 Views
Waandamaji ni lazima kufunga barabara magari ya polisi yasipite waje kwa miguu hii itasaidia kupunguza vifo maana asilimia kubwa wanaofyatua risasi ni wale wanaoshambulia kutumia magari Barabara...
6 Reactions
2 Replies
267 Views
Inawezekana kwa Sasa CCM ndio inaongoza kuwa na Wanachama Wajinga Duniani. Kamati kuu na Halmashauri kuu tokeni mseme Samia akae pembeni nchi ipone, msibashiri kuwa atabaki madarakani awaue...
9 Reactions
9 Replies
406 Views
CCM ilishajifia kitambo tangu mwaka 1995 ilizoea kushinda kwa kutumia vyombo vyao vya Dola na kupandikiza mimamluki mi Double Agents. Kwenye vyama vikubwa vya upinzani nchini pamoja na kusajili...
2 Reactions
1 Replies
264 Views
Eti wanataka wampe Nchimbi hapana tunataka mtu wa serikali ya mpito asiye na chama chochote ili tuweze kuandika katiba. Hatuwezi kumtoa Mama na kuacha mwana mtandao mbaye wenyewe ndiye wamtakae...
12 Reactions
9 Replies
589 Views
Viongozi wote tuliowaamini wakishirikiana na wezi na mafisadi kama akina Rostam Aziz na wengineo wamemaliza utajiri wa nchi, hawana uchungu na nchi yetu, wakati wananchi wa kawaida wanateseka...
5 Reactions
10 Replies
400 Views
Katika hari ambayo inaendelea tanzania. Maandamano yanazid kutanuka kimipaka. Nawalaumu washauri wa mama na naamini hawampendi au hawamtaki kabisa ndio manaa wanashauri haya 1. Kufungwa kwa...
1 Reactions
4 Replies
333 Views
Wakuu habari. Nimewaza na kuona kuwa kosa atakalo fanya kwanza CDF na wakuu wengine wa jeshi la wananchi ni kutotumia nafasi hii kuwakomboa watanzania kutoka kwenye uongozi usiofata sheria na...
6 Reactions
6 Replies
537 Views
Hayawi hayawi yanakuja kuwa. Zimebaki siku tatu tu siku ya siku kuwadia. Wachache wetu tuliwaambia kuwa mnajipa matumaini hewa tu. JWTZ kamwe haliwezi kuipindua serikali ya CCM kwa sababu: 1...
15 Reactions
37 Replies
2K Views
Uchaguzi haukuwa huru na wa haki nchi itawaka moto hii samia akitangazwa hatutokubali
6 Reactions
4 Replies
323 Views
Hatuombi mabadiliko bali ni lazima yafanyike mtake msitake kama mtu anafikiri sisi tunaomba ngoja muone moto utawaka Tunataka nchi yetu tutakinukisha
2 Reactions
1 Replies
182 Views
Yaani kuna wachawi wanaroga wananchi wa inchi nzima halafu mnakuwa kama maiti zirizo lala hakuna wa kuhoji wala kuuliza, wale wazee wenzangu mliokuwepo wakati wa utawala wa nyerere mtakuwa...
1 Reactions
5 Replies
205 Views
Maandamano na Mauaji: Tanzania Katika Msukosuko wa Kisiasa Katika wiki ya uchaguzi mkuu wa 2025, Tanzania imeingia kwenye kipindi kigumu cha kisiasa. Maandamano makubwa yameripotiwa katika miji...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Sikutegemea kwamba chini ya Uongozi wa Afande Mliro, kuna kamanda atakosa msaada wa wenzake na kuamua kutelekeza kituo, Silaha, nna kuvua sale ya dola kuanzia buti Suruali na Mkanda n kutokkomea...
11 Reactions
23 Replies
1K Views
Hili swali hata mtoto mdogo angelijibu kwamba inchi ilikuwa imebakiwa na masaa tu ya kulipuka,kiburi utekaji,dharau mahakamani hasa kesi ya Tundu Lissu na ufisadi ulishawachosha wanainchi lakini...
5 Reactions
12 Replies
462 Views
Hivi, hao jamaa ni binadamu kama sisi au? Licha ya kwamba kwa ujumla wetu sisi ni makondoo, ila nawaambia hata katika makondoo huwa wapo walio dakika tano mbele. Hao wanaoongoza kuteka na kutesa...
25 Reactions
82 Replies
3K Views
Tukiikomboa nchi, ni marufuku kufungia aina yoyote ya Media, badala yake tutazitumia kwa maslahi mapana ya Taifa
2 Reactions
0 Replies
196 Views
Back
Top Bottom