Samia usiogope magereza ya the hague kuna milo mitatu sio kama bongo

Hopkinsvile

Member
Joined
Jan 17, 2026
Posts
91
Reaction score
315
mpendwa Samia kama utapata bahati ya kwenda the hague kwenye detention yao
unauhakika wa kula milo mitatu tena iliyo pangiliwa kitaalumu kwa virutubisho vizuri.
Hata kipindi cha break ukiwa mahakamani utapewa msosi na huku usalama wako ukiwa
umehakikishiwa sio kama huku Samia kipenzi unavyomfanyia Lisu na mahabusu wengine.
Nasema ukibahatika kwa sababu usipoenda ICC itakuwa ni bahati mbaya kwako.
 
Nina uhakika utanenepa hutakuwa na stress tena za watanganyika
 
mpendwa Samia kama utapata bahati ya kwenda the hague kwenye detention yao
unauhakika wa kula milo mitatu tena iliyo pangiliwa kitaalumu kwa virutubisho vizuri.
Hata kipindi cha break ukiwa mahakamani utapewa msosi na huku usalama wako ukiwa
umehakikishiwa sio kama huku Samia kipenzi unavyomfanyia Lisu na mahabusu wengine.
Nasema ukibahatika kwa sababu usipoenda ICC itakuwa ni bahati mbaya kwako.
Labda ICC ya Kantalamba au Nanjilinji ndiyo unaiongelea.

Wale wahalifu walistahili kuchezea risasi la sivyo nchi ilikuwa inawaka moto
 
Ila Samuya kachokaaa.....na aliyemdanganya aende Ethiopia Kujichoresha ni nani..??

tukianza kwa kumnukuu SSH mwenyewe aliwahi sema, UKIFANYA WATASEMA USIPOFANYA WATASEMA . . .

angeingia mitini napo mashambulizi yangekuwepo tu
 
mpendwa Samia kama utapata bahati ya kwenda the hague kwenye detention yao
unauhakika wa kula milo mitatu tena iliyo pangiliwa kitaalumu kwa virutubisho vizuri.
Hata kipindi cha break ukiwa mahakamani utapewa msosi na huku usalama wako ukiwa
umehakikishiwa sio kama huku Samia kipenzi unavyomfanyia Lisu na mahabusu wengine.
Nasema ukibahatika kwa sababu usipoenda ICC itakuwa ni bahati mbaya kwako.
nonsense
 
Kifupi comrade samiah ameingia mkenge kiboya sana!

Nina mashaka sana na IQ ya wazanzibari waliomshauri samiah Hadi akagombea kienyeji enyeji Hadi wahuni wakamwingiza kingi kiasi hiki!

Maagizo aliyopewa na the state yalikua mepesi sana Wala yasingemuumiza kihivyo Hadi akakosa urais!!

Yeye angeitisha katiba mpya yenye option yaserikali mseto pale 2022 kama the state walivyomwambia kwenye Uzi was (operation imesisitishwa the state wamesema apewe muda) kwamba "Mwakani (2022) kuwe na mwendelezo wa uandishi katiba mpya!na pale angecheza kama pele NUSU Mkate uwepo kwenye katiba mshindi was pili was urais anakua waziri mkuu na mgombea mwenza anakua wazirimwenye dhamana!!

Ingemsaidia kusimamisha mgombea was chadema hasta wa mchongo mwenye ushawishi halafu matokeo yangechakatwa TU kimedani!!Hebu mfanye hata heche john kuwa mgombea mgombea mwenza awe salum mwalimu!!

Hiyo inge neutralize hasira za October na wala no reform no election isingepata nguvu cozwatz wangekuana shauku ya kuona namna serikali mseto itakavyo kua!!

BINAFSI NINGEKUA ABDUL NISINGEKUBALI MAMA YANGU MZAZI AIINGIE MKENGR KAMA HUU!!

SASA HI I TUNGEKUA TUNAJADILI WAZIRI MKUU WA UPINZANI ANAVYOHENYESHA WATENDAJI WA SERIKALI!!

NAAMINI KWENYE NEUTRALIZATION zaidi kuliko RIGIDITY KAMA ILE!!

KAZI NA UTU,TUNASONGA MBELE!!
 
KAZI NA UTU,TUMASONGA MBELE!!
Ndio hivyo! Ameshaingia cha gents
 
Na ninani alimuingiza mkenge...???
 
tukianza kwa kumnukuu SSH mwenyewe aliwahi sema, UKIFANYA WATASEMA USIPOFANYA WATASEMA . . .

angeingia mitini napo mashambulizi yangekuwepo tu
Ngoja nikwambie kwasasa hivi ... no body cares about that Bibi.....hakuna anayemtambua kama Rais zaidi ya Chawa wake....
 
Back
Top Bottom