Wiki hii imeanza kwa wafuasia wa Lissu na Heche kumshambulia vikali mwasisi wa CHADEMA mheshimiwa Freeman Aikael Mbowe baada ya yeye kuhudhuria sherehe za uzinduzi wa bwawa la umeme la Nyerere...
Mzee Aboud Jumbe amefariki dunia muda si mrefu. Ni baada ya kuugua muda mrefu. Amefia nyumbani kwake Mjimwema Kigamboni. Marehemu alizaliwa Juni 14, 1920.
=======
UPDATE:
JamiiForums...
Wanabodi,
Hii ni safu yangu mpya inayoitwa PNA, kirefu chake ni PPR News Analysis. Tamka (P.N.A)
Hapa nitakuwa nawawekea News Analysis ya habari kubwa yoyote yenye maslahi kwa taifa.
PNA ni...
Nisingeishi China nisingeamini hii.
Wachina katika mikutano yao ya Chama: walikuwa wanasimuliana stori za namna hii;
Mtu anasema, kwa mfano,
kwamba alikuwa anaendesha gari,gari ikaharibika...
Mkimuona Mbowe popote pale, awe kwenye Mradi wa Serikali, awe añaupiga picha na Samia, Awe kwenye chombo chochote cha habari, MPUUZENI, MSIMUONGELEE KWA NAMNA YOYOTE ILE.
Hana jipya, keshajifia...
Mufti Mkuu na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Dkt. Abubakar Zubeir bin Ally, amewakosoa vikali viongozi wa dini (masheikh na waalimu) kwa kukaa kimya wakati viongozi wa nchi—wakiwemo Rais, Serikali na...
Nakumbuka kauli ya JK na hapa namnukuu "Wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani" kauli hiyo ni ya kijasusi na yenye mlengo wa kuwafanya wanachama na viongozi wandamizi kutoaminiana.
Leo gazeti...
Habari wana wa Mungu jf popote mlipo, amani Bwana ikawe juu yenu.
Mungu akanionesha yeyote aliye nyuma kuhujumu mwana wa Mungu Lissu sio muda atakufa mdomo wazi.
Mwachieni mapema sana...
Leo wakati napitia magazeti ya zamani nimekutana na habari kwamba Aboud Jumbe alikamatwa na kuwekwa katika kifungo cha nyumbaji na Rais Mwl.Julius K. Nyerere.
Nimejaribu kufukua ili kujua sababu...
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa imemteua Ndg. Emmanuel Nchimbi kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Nchimbi anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Daniel...
Kama atakutwa na hatia ya uhaini na kupewa msamaha wa Rais atakuwa na sifa za kugombea udiwani, ubunge, urais na cheo kingine chochote. Kama lengo ni kumzuia kugombea urais tumnyonge au tumwache...
Kuna kila dalili ya Ema The Boy kung'atuliwa ila ni namna na wakati sahihi wa kumng'atua ndiyo Kizungumkuti. Inadaiwa katumiwa rafiki yake Jasusi Kutoka TISS, Ema kamjibu kawaambie waliokutuma...
Mbowe alizoea kuishi kwa siasa za kilaghai siasa kupitia damu za watu na kutengeneza wealth. Alivyokuja mwamba Magufuli akaona kumbe upinzani wanapiga kelele then unawaita Ikulu unawapa bahasha...
Leo ni siku ya kuzaliwa mtume Muhammad S. A.W,kiongozi wa kiislamu.
Tutaangazia kidogo kuhusu msimamo wa Mtume Muhammad ktk swala la kutoa haki ktk vyombo vya mahakama.
Upi ulikuwa msimamo wake...
Yote hii ni matakwa ya watu watano tu chamani yatimizwe, CCM yote kwa sasa iko kwa watu watano tu!na sio timu tena!
Wengine wote wanaburuzwa tu, hawana cha kuamua wala chakulaani, ni watu wanao...
"Mtu mwenye akili akikushauri jambo la kipumbavu nawe ukafanya, atakudharau"- J.K Nyerere
Mwaka 2023 nchi nzima iligawanyika sana.
Watu wanamtetea MAMA na mradi wake wa DP World.
Vinara wa huu...
Kumekua na kelele nyingi kuhusu huu muhimili wa mahakama kupokea maelekezo kwenye kesi ambazo serikali inakua na interest .
Tuliona kwenye kesi ya Mbowe pamoja na kukutwa na kesi ya kujibu lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.