Mwigulu kachuja mapema sana. Hasikiliziki hana mvuto

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,615
Reaction score
32,110
Nipo huku SA. Hawa jamaa wamekuwa waduanzi sana. Wanatusimanga kwa maneno ya hovyo utadhani baba yao naye ana kitu cha maana.

Wanasema mama yenu ana IQ ya 40. Nawatizama nawatukana kimoyo moyo mbwa hawa. Jana tumekaa na boya moja tunajadiliana anasema nyie mliwahi kuwa na Baba mtandao mchafu ukamwondoa. Since then mmekuwa kama kuku aliyekatwa kichwa. Hamweleki.

Sasa likaja suala la kuzungumzia siasa. Maana huko juu tulikuwa tunazungumzia familia akisema mama yenu nami nikimjibu baba yenu.... Basi tukaachana na mambo ya family maana alinikwaza kusema mama yenu ana IQ ya 40. Just imagine? 40? Akutukanaye hakuchagulii tusi. Nlimwambia na yeye baba yao ana IQ ya 100. Kumrudishia matusi.

Kwenye siasa sasa. Nikamwona Mwigulu. Aiseee.... Hajui hata alifanyalo ni wa kumsamehe. Hana mvuto hajui kuongea ana bore hana nguvu ya kimatamko. Hovyo kabisa. Hata mwaka hajamaliza watu wamemweka kwenye ignored list. Hatari sana. Nimepambana na huyu Diplomats wa Kisouth Africa kwa nguvu na uchungu mwingi. Maana analeta dharau. Nikasema moyoni nita deal na dada zake haina shida
 
Angalie wasicheze na chanel o huko
 
kwa mwigulu ni sawa aisee jamaa bora angebaki wizara ya fedha na PM angekuwa Paul Christian Makonda
 
Hizo ndio tabia za diplomats aina ya Lusungo
 
Na wewe nawe chenga sana. Yaani unaleta takataka zaidi sababu tu una date na huyo mtu? Mmekutana wote vilaza. Unataka mabwana zako wapewe nafasi nyeti?
Sasa mkuu kama ulidate nae wewe akakuacha unadhani kila mtu ana tabia kama zako za kudate na wanaume wenzie? unasema munch wa annabelle kuwa ni punga kumbe na wewe ni walewale mlichukuliana mabwana ha ha ha
 
Mimi nazungumzia mambo ya maana ya sisi wanaume wewe unaleta mambo ya kiannabelle. Umenishangaza sana foffana unaleta habari za mapenzi kwenye issue za kitaifa?
 
kwa mwigulu ni sawa aisee jamaa bora angebaki wizara ya fedha na PM angekuwa Paul Christian Makonda
Ushangae wewe sasa. Nimesikitika kuna watu elimu hawana kabisa. Huyu dogo nlikuwa namwona afadhali afadhali lakini kumbe ndo yale yale matakataka
Kuwa nyumbu ndo kuwa na Elimu? Unachekesha😂😂😂 nini maana ya Elimu?
 
Nipo huku SA. Hawa jamaa wamekuwa waduanzi sana. Wanatusimanga kwa maneno ya hovyo utadhani baba yao naye ana kitu cha maana.

Wanasema mama yenu ana IQ ya 40. Nawatizama nawatukana kimoyo moyo mbwa hawa. Jana tumekaa na boya moja tunajadiliana anasema nyie mliwahi kuwa na Baba mtandao mchafu ukamwondoa. Since then mmekuwa kama kuku aliyekatwa kichwa. Hamweleki.

Sasa likaja suala la kuzungumzia siasa. Maana huko juu tulikuwa tunazungumzia familia akisema mama yenu nami nikimjibu baba yenu.... Basi tukaachana na mambo ya family maana alinikwaza kusema mama yenu ana IQ ya 40. Just imagine? 40? Akutukanaye hakuchagulii tusi. Nlimwambia na yeye baba yao ana IQ ya 100. Kumrudishia matusi.

Kwenye siasa sasa. Nikamwona Mwigulu. Aiseee.... Hajui hata alifanyalo ni wa kumsamehe. Hana mvuto hajui kuongea ana bore hana nguvu ya kimatamko. Hovyo kabisa. Hata mwaka hajamaliza watu wamemweka kwenye ignored list. Hatari sana. Nimepambana na huyu Diplomats wa Kisouth Africa kwa nguvu na uchungu mwingi. Maana analeta dharau. Nikasema moyoni nita deal na dada zake haina shida
Siku zote ukweli una tabia ya kuuma, chukaze tu chief.
 
Back
Top Bottom