Mbona kama Samia ameapishwa na Gwaride lenye mapungufu ya kimamlaka.
Pia hawa Askari wa Gwaride walilazimishwa au ilikuwaje?
CCM msipuuzie hili, nchi iko chini ya Jeshi now, wamemnyima mamlaka...
1. Turkmenistan – Saparmurat Niyazov (1990)
Asilimia: 98.29%
Hali ya nchi wakati huo:
Turkmenistan ilikuwa bado sehemu ya Umoja wa Kisovyeti (USSR), lakini ikaanza kuandaa mfumo wa uchaguzi wa...
Mara zote nimekuwa nikiwashauri baadhi ya wanasiasa kwamba, watanzania wa miaka ya 90 sio hawa wa miaka ya 2000. Watanzania wa sasa wamekula 'matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya.' Mema...
Miilli ya Watu imezagaa mitaani, Polisi wanajifanya hawaoni walla hawajui... Hawa wameuawa Mbezi karibu na nyumba ya Mkurugenzi wa Usalama wa taifa Bw. Suleiman Abubakar Mombo. Binadamu mnakuwa na...
Mbunge wa Jimbo la Segerea, Mhe. Bonnah Ladislaus Kamoli Mungu akupe maisha marefu hv kuna kata gani jimbo la segerea hujawapa maendeleo kiufup mama chukua maua yako
Kupata matukio na taarifa...
Mazingaombwe ni sanaa; ni fani ya sanaa. Mazingaombwe pia hutumia ujuzi wa sayansi kufanikisha lengo lake - kufanya watu waamini kisichokuwepo kipo na ambacho kipo hakipo. Sanaa hii hujulikana...
Akizungumza Novemba 3, 2025 baada ya kuapishwa kwake, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan alitoa kali kwa wale waliohusika na vurugu zilizojitokeza baada ya Uchaguzi Mkuu...
"Tumesikitishwa na kuhuzunishwa na matukio ya uvunjifu wa amani, upotevu wa maisha na uharibifu wa mali za umma na mali za watu binafsi. Kilichotokea hakiendani na taswira na sifa za kitanzania na...
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan(SSH), awali ya yote na kwa moyo wa dhati kabisa nikupongeze kwa kuapishwa kuwa Rais wa 6 wa JMT. Watz wanajua huu ni mpanho wa Mungu.
Wewe ndiye ulikuwa Makamu...
Wanabodi,
Kila nipatapo fursa, huja na makala za Kwa Maslahi ya Taifa, leo makala yangu ni makala ya dhana dhanifu, kuhusu Tanzania ya 2025 -2030.
Makala ya leo kwanza inafundisha kujua types...
Miye sijui kwa kweli! Watu wataona meno na wamedhamiria. Niko bwejuu najificha walahi sijui. Redcross wasema wameshinda. Wanasema hiyo ilikuwa awamu ya kwanza. Kumerauka! Zamu yao..... Mwendo wa...
Ni dhana inayoaminika kuwa, kama ukitaka suluhu ya kweli na ya kudumu kwa matatizo yako basi ujiepushe na kutafuta majubu rahisi kwa maswali magumu.
Kuelekea Oktoba 29, kundi linalohamasisha...
Kwanza napenda kusema kuwa nimeshangaa sana kwa uchaguzi wa Rais kuisha na kutangazwa wakati Wabunge na madiwani hawajajulikana. Zaidi ya Baba Revo kumbwaga Zitto sijasikia jina la Mbunge au...
Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo kwa humu jf, nimeweka hoja na swali "Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!, Kwa Aliyoyafanya, Anastahili Pongezi na Shukrani...
Samia itakuwa aibu kwetu na kwako, kama wananchi au askari wako wakikutoa kama mwizi.
Kwa heshima, watu wako watakufikishia hizi karibuni kutakuwa na majibizano ya Risasi kama CCM itaacha...
Rais Hakainde Hichilema wa Zambia
Baada ya shughuli ya kumuapisha rais mteule Samia Suluhu Hassan kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mgeni kutoka taifa la Zambia mheshimiwa Rais...
Mambo ya aibu we are being portrayed.
Uchaguzi wote uko kwetu.
Just tune in!
https://m.youtube.com/watch?
v=NSG0IRfLsHk
https://m.youtube.com/watch?v=2XATW3VLL2E
Ile pesa uliyopokea kwenda shangilia CCM na kujaza idadi nikukumbushe ile 5000, na 10000 ndio imeruhusu ardhi inywe damu za ndugu zako,ardhi na mbingu zimeshuhudia ,umekubali kuvaa kijani , na...
Kutoka BBC | Novemba 2, 2025
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuapishwa rasmi Jumatatu Novemba 3 Jijini Dodoma.
Kulingana na taarifa ya serikali iliyotangazwa kupitia runinga...
RC Chalamila leo alipata nafasi ya kupokea simu za wananchi huku akiwapoza kuwa haki ya usalama wa jiji ni shwari.
Aidha, amesema Polisi na Vyombo vya Usalama hawajaua mtu katika maandamano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.