sumu-ya-panya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 638
- 581
Ile pesa uliyopokea kwenda shangilia CCM na kujaza idadi nikukumbushe ile 5000, na 10000 ndio imeruhusu ardhi inywe damu za ndugu zako,ardhi na mbingu zimeshuhudia ,umekubali kuvaa kijani , na uifunike uchi wa ardhi kwa damu za ndugu zako ,UMELAANIWA,,,,UMELAANIWA ,,,,UMELAANIWA....kwa kafara za damu ya ndugu zako ili Alikununua awe mkuu, Siku ya mwisho utajibu, nafsi yako ikiwa mbele ya Muumba wako na damu ndugu yo ikiwa mshitaki...
Polis utajibu nini mbele ya baba Muumba,
Polis utajibu nini mbele ya baba Muumba,