Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge Mteule wa jimbo la Tabora mjini kupitia CCM Hawa Subira Mwaifunga amewashukuru wakazi wa Tabora mjini kwa imani yao na mapenzi makubwa waliyoyaonyesha kwake baada ya kushinda na kutangazwa...
0 Reactions
1 Replies
188 Views
Huyu anaitwa Kelvin Lameck alikuwa mwandishi wa radio inaitwa Baraka FM. Ameuawa akiwa kazini kufuatilia maandamano wakati wa Uchaguzi. Kifo chake kimeacha simanzi kubwa miongoni mwa familia...
11 Reactions
18 Replies
1K Views
Tusiomboleze wenzetu kwa maneno, tufanye vitendo Wamekufa kwa sababu yetu, walitaka sisi wote tuishi kwenye nchi nzuri yenye uchaguzi huru na wa haki, uhuru wa vyombo vya habari, utawala wa sheria...
1 Reactions
1 Replies
156 Views
Alichokifunga Mungu mwanadamu hawezi kukifungua. Huyu keshapigwa pin mazima, hawezi kufanya lolote hadi apishe hiyo ofisi. Baada ya Kaini kumwua ndugu yake Abeli, Biblia (katika Mwanzo 4:8–16)...
3 Reactions
6 Replies
478 Views
Taarifa zilizosikika ni kwamba mmoja wa 'wauaji' toka Uganda, alidondosha kitambulisho mitaa ya Dar. Naomba kwa yeyote anayeweza kupata kitambulisho hicho, yeye mwenyewe au ndugu, au jilani...
5 Reactions
3 Replies
359 Views
Miaka ya nyuma kwenye Uchaguzi kule Zanzibar kulikuwa na kikundi kinaitwa Janjaweed ambacho kilikuwa kinafanya haya haya yaliyofanyika Dar kwenye maandamano. Nafikiri waliamua kutumia style za...
4 Reactions
15 Replies
480 Views
Katibu wa familia na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mara, Mwalimu Chacha Heche, ametoa taarifa kuhusu hali ya kaka yake, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara, John Heche, ambaye kwa siku 13...
3 Reactions
6 Replies
466 Views
Rais Samia amesema Uchaguzi umeisha hivyo tusimame pamoja kama Nchi. Kavishukuru vyombo vya Dola kuhakikisha virugu hazizuii watu kupiga kura. Watu walipiga kura za kishindo.
2 Reactions
9 Replies
471 Views
Hongera nyingi sana kwa askari wa JWTZ kwa ukomavu mliouonyesha kwenye maandamano ya wananchi, Mmeonyesha kweli ninyi ni Jeshi la wananchi wa Tanzania. Hongereni sana kwa kazi iliyotukuka...
4 Reactions
2 Replies
290 Views
She won the election by 98%, no rigging, wow! Women! If it was 57% we can understand, so only 2% were on the street or....? https://vm.tiktok.com/ZMAGHLk8m/
1 Reactions
6 Replies
401 Views
Watanzania bado tunaendelea kubeba maumivu ya yaliyotokea. Lakini kushindana na mwenye silaha hakutaleta suluhisho, bali Maumivu zaidi. Waliotenda mauaji walifanya hivyo si kwa uungwana wala...
1 Reactions
5 Replies
192 Views
Kuna sababu makada wa CCM hutambulika kama wakereketwa au wafurukutwa. Sababu hiyo ni ari ya kutafuta ushindi wa chama chetu kwa wivu mkubwa. Ni wazi, kazi kubwa ya kuinadi ilani na wagombea wa...
0 Reactions
16 Replies
423 Views
Sikuwahi kudhani kuwa itafika kipindi mimi nitoke nikutane na maiti nirudi mchana nikute bado zipo nirudi jioni nikute bado zipo na kesho yake bado nikutane nazo. Hiki ndicho nilichoshuhudia...
43 Reactions
138 Replies
6K Views
Tarehe 29.10.2025 umma ulimkataa mgombea wa ccm kwa maandamano makali yaliyopelekea watu kupoteza uhai hadi sasa watu wanalia kila kona ya nchi, maandamano hayo yalifanyika umma ukihitaji reform...
8 Reactions
4 Replies
382 Views
Kuna tetesi kuwa watu wanazuiwa kuchukua miili ya ndugu zao ili kwenda kuizika. Na kuna uvumi kuwa waliouwawa wanazikwa usiku ili kuficha ushahidi. Kama hii ni kweli . Hili jambo sio jema
0 Reactions
1 Replies
204 Views
Kulikuwa na kimvua leo huku nilipo, likaja gari la serikali namba STN (lipo kama Hiace), vioo tinted likapaki karibu na tulipojificha mvua isitunyeshee. Aisee mara baada ya gari kupaki watu wote...
0 Reactions
0 Replies
213 Views
Pumzikeni Kwa Amani vijana wote mliotangulia mbele ya haki. Hakika vita mmeipiga na mwendo mmeumaliza..R.I.P ALL
0 Reactions
0 Replies
151 Views
Kwanza: Nashangaa kuona watu wanashadadia post za Mange Kimambi huku akilini mwao wakijua kabisa Kamwe slogan ya no reform no election haitakaa ifanikiwe itabaki kwenye page za mange kimambi tu...
5 Reactions
71 Replies
2K Views
Baadhi ya wananchi wakiwapelekea Polisi maiti ya waandamanaji waliopigwa risasi wakati wa maandamano yaliyokuwa yakiendelea huku wakisema mmeua chukuweni.
6 Reactions
27 Replies
1K Views
Pamoja na matumizi ya mabavu katika kuhakikisha CCM inasalia madarakani, Nchi hii haijawahi kushuhudia uchaguzi uliosuswa na kuleta unyonge katika mioyo ya watanzania kama uchaguzi huu wa mwaka...
2 Reactions
3 Replies
225 Views
Back
Top Bottom