Bila huu muungano mgongano tungekuwa na shetani kati yetu? Japo bado yupo njaa Kikwete, tusingekuwa na hii ghasia kusema ule ukweli. Tuvunjilie mbali huu uzwazwa tuone watakwenda wapi. Natamani...
alikuwa raisi wa kwanza ya malawi mwanamke alichukuwa pia uraisi kama makamu baada ya raisi aliyekuwepo kufariki, uchaguzi ulipofika alishindwa akaachia bila ya mauaji wala majeshi ingwaje alikuwa...
Kwa yanayoendelea nchini, mauaji ya wazi kwa raia na vitendo vya utekaji bila Rais kukemea - ni kweli Magufuli alikufa kifo cha kawaida?
Yaani, inatafakarisha sana:
1) Aliyetutangazia kifo cha...
Nawajukisha tu ukitumia whatapp pekee ndiyo hawawezi kukurekodi lakini ukiongea na simu ya kawaida Tanzania hasa kwa simu ya nje wanakurekodi . Kuweki makini kuongea siasa kwa simu za kawaida...
Nimesikiliza kwa ukaribu sana ile audio iliyovuja nimejiuliza yafuatayo?
1. Faida au hasara ya kuvuja ni nini ? Kwanza watu wakijua kuwa hata madoctor na wanajeshi wameshikwa itawafanya wengine...
GT
Kinachoendelea ni maajabu ndugu zangu hakuna mtu kapiga kura nina shuhuda zifuatazo.
1. Dar tabata mawakala wamekimbia vituo.sa4 asubuhi hakukuwa na uchaguzi
2 Singida kituo kimoja...
Wananchi wana hasira nyingi na nyinyi mnachukuliwa kama alama ya uovu wa serikali. Wengi wenu ni vijana wadogo mnaopewa maelekezo na maafande na mnafuata. Mna nafasi moja tu..tu ajua wapo askari...
Uchaguzi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiwa unatarajiwa kufanyika kesho, Oktoba 29, 2025, ikumbukwe Tume ya Uchaguzi ilipuliza kipyenga cha kuanza kampeni za wagombea wa urais...
Wanabodi
Hauchi, hauchi, hatimaye kumekucha, leo ndio leo, ile siku ya siku tuliyoisubiri sana kwa miaka 5.
Ninachokifanya hapa ni kuwapatia tena jf, ile the jf advantage of being the first to...
Narudia kusema, huwa ni hatari sana Watu wajinga kupewa Mamlaka, ni hatari Mnoo !!.
Akaunti ya Profesa Shivji ya mtandao wa X imefutwa siku chache baada ya kutoa maoni kuwa mateso yanayotolewa na...
Moja kwa moja.
Katika harakati zote za maandamano bongo hakuna maandamano ambayo yanajoto , hamasa , vuguvugu na muamko mkubwa kama hii ya safari hii , pamoja na hayo sioni kabisa kufanikiwa...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Njombe. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Tanga. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Rukwa. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Manyara. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Ruvuma. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa...
Habarini Wakuu,
Aisee Maandamano ya Arusha kutokea Sakina, Mianzini, Ilboru, na Sanawari kuelekea Clock Tower umezima kabisa zoezi la upigaji kura na kusababisha uharibifu wa mali
Vijana wametoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.