Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukimya wa kushangaza umeikumba Afrika kufuatia uchaguzi wenye utata uliomrejesha Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa Tanzania, baada ya kutangazwa mshindi kwa karibu asilimia 98 ya kura. Kwa...
3 Reactions
6 Replies
463 Views
Miye nasema sijui! Mayai yetu wao wameyatumbua kwa risasi. Washazoea kuchezea mayai yetu. Siye fukara hatuwezi kujichanga kununua hata bunduki ya laki saba siye. Siye hata tukipewa bunduki...
2 Reactions
1 Replies
267 Views
Nimetoa miezi 18 lakini muda ni mfupi zaidi naomba save huu ujumbe halafu tutaona sitatoa deals sana
14 Reactions
29 Replies
2K Views
Kuanzia leo baada ya huu uchafuzi Hakuna tena Mtanzania atakaye chukuliwa poa . Iwe kwenye huduma au siasa au chochote. Kuanzia Leo uchawa utakoma Uhuni utaisha urasimu na ufisadi utapungua...
25 Reactions
66 Replies
3K Views
Mchambuzi wa masuala ya kiusalama George Musamali akiwa katika Mahojiano na Shirika la Habari BBC alijibu swali hili, Je dalili za vurugu zilikuwepo mapema au habari za kiintelijensia zilipuuzwa...
0 Reactions
1 Replies
235 Views
TAARIFA KWA UMΜΑ Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Kimesikitishwa na matukio ya mauaji na uvunjifu wa haki za binadamu wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 29 Oktoba...
1 Reactions
7 Replies
490 Views
Zipo taarifa kuwa huenda kanisa katoliki nchini likajitenga mbali na shughuli zozote za kiserikali katika taarifa nilizopewa ni kwamba kanisa hilo kupitia Bazara lake la maaskofu wako mbioni kutoa...
1 Reactions
2 Replies
352 Views
Kwamba familia za Kikwete, Mwinyi, Rais Samia na wengineo ndio wanafaidi keki ya taifa. Huku majority wanahangaika hata kupata ugali dagaa. Leo hii wanasema waandamanaji ni vibaka. Ufisadi...
1 Reactions
1 Replies
207 Views
Friends and Our Enemies, 'How you do anything,is how you do everything'..Dante... Kongole nyingi sana kwako Madam President Samia kwa kusimama imara wewe kama Amiri Jeshi Mkuu na Jeshi pamoja na...
2 Reactions
2 Replies
191 Views
Jamaa Leo wamewasha mtandao lakini pia zimeanza kutiririka meseji kutoka jeshi la Polisi la kuwaasa watu kuepuka kutuma picha au video mtandaoni zenye kuweza kuzua taharuki. Je, hii si ishara...
5 Reactions
11 Replies
481 Views
Wao wanasema kapata kura milion 31 na ushee ambazo sawa na asilimia 98, Kiuhalisia huyu Mama hata kura milion 10 hazijafika,kwa hiyo tukimpendelea tukasema kapata kura milion 10 itakuwa sawa na...
2 Reactions
10 Replies
453 Views
Ningependa kuzungumzia kwa kirefu lengo la kichwa cha mada hii; lakini hiyo siyo dhumuni la haya machache nitakayo yaweka hapa. Mashujaa, waTanzania wote, hasa vijana mliojitokeza maeneo yote ya...
6 Reactions
22 Replies
905 Views
Baada ya kuchambua video ya leo ya Samia nimeona kwa macho yangu kuwa alipo tangaziwa na kupewa cheti sio Jengo/Ofisi za Tume Dodoma, kwa maana nyingine Juhudi zetu za watu kwenda maeneo ya tume...
0 Reactions
1 Replies
273 Views
Kwa matukio yaliyotokea siku za karibu kuna maswali imebidi nijiulize Mwafrika ni rational human being What if wanaotubagua wako sahii kwa asilimia mia mkuu content ya character zetu ni ya ajabu...
2 Reactions
1 Replies
265 Views
Nyongeza ajili ya wanaotaka USHAHIDI. Nilifanikiwa ku-zoom namba za gari na sura zao
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Naleta hoja kwamba Vyombo vya Kiusalama vimeshindwa kutuhakikishia ulinzi na usalama. Hatuoni haja ya kuanza kumiliki silaha za moto tuweze kujilinda sisi kama RAIA? Yaliyotokea ni wazi yana...
12 Reactions
25 Replies
1K Views
Kwa alivyofunga bao la kisigino, napendekeza, kwa usalama wake, Samia aapishiwe ima Kampala au Nairobi.
4 Reactions
20 Replies
709 Views
*Amebainisha kuwa matokeo ya mwaka huu yanaonesha wazi dhamira ya wananchi ya kusonga mbele kwa umoja na maendeleo. Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
2 Reactions
22 Replies
850 Views
Kwa ushahidi wa video na picha zinazoibuliwa sasa juu ya mauaji ya kutisha yanayofanywa na Polisi, na kama alivyopata kuwahi kusema Dada wa Taifa Mange Kimambi, ni sahihi kuamini kuwa ni kweli...
4 Reactions
12 Replies
581 Views
"Wasanii wengi wanakimbilia chama tawala; wasanii wengi ni waoga. Wasanii wengi hawapendi bughudha; wasanii wengi wanapenda vitu vya mteremko, vitu rahisi rahisi; hawapendi ‘fighting’". Clayton...
2 Reactions
3 Replies
344 Views
Back
Top Bottom