Wakuu,
Hiki ndio kinachoendelea mtaani kipindi hiki! Wakati wa maandamano wananchi walishuhudia wapendwa wao wakipigwa risasi na polisi na kuona miili ikizagaa mtaani wengine mpaka siku tatu...
Hawa watu kwenye hizi picha ni Polisi na TISS.
Hawa ndo walikuwa wanapita mitaani na kuwaminia risasi ndugu zetu, hawa watu wameuwa maelfu ya Watanzania.
Ukizoom sura zao zinaonekana...
Msanii wa Bongofleva, Dkt. Claudia Lubao (PhD) maarufu kama Dr. Chemical ametupa lawama wa wasanii kushindwa kusimama na wananchi kutokana na matukio ya Mauaji yaliyotokea kuanzia Oktoba 29 wakati...
Tanzania tumefanya uchaguzi tarehe 29 October kuna mambo yalitokea siku hiyo ya tarehe 29
Vyombo za habari kama Al jazeera, wamekua wanashikia bango sana ya kilichotokea tarehe 29 reaction yetu...
• Malecela, Dk. Salim, Prof. Mwandosya wajeruhiwa
na Mwandishi Wetu
NAFASI ya kuwania kiti cha urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) hivi sasa inaonekana kuzusha balaa yenye kuogopwa...
Kesi namba 26287/2025 iliyofunguliwa dhidi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini na wenzake ikitaka kufikishwa mahamani kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara John...
Uchaguzi umeibiwa aiseee,,,!! yaani wameiba uchaguzi mpaka najiuliza Hawa watu Wana mioyo Gani walahi?
Wananchi wamewakataa kwa kutopiga kura lakini bado nayo hiyo ikawa fursa Kwa wahuni...
Hili ni Jimbo la Chamazi Dar es Salaam, mgombea ubunge kupitia chama ACT alipigwa duwaa baada ya kumkuta msimamizi wa uchaguzi katika kituo mojawapo akiwa anatiki kwa wagombea wa CCM.
Makada wa CCM hawawezi kuunga mkono muelekeo wa uongozi wa sasa na mauwaji yaliyofanyika hata bunge halitaunga mkono chini chini wote wanalia machozi.
mimi sio nabii ila ninajua kinachoendelea.
Kuna msako mkubwa wa kuwakamata viongozi wote wa CHADEMA kuanzia kwenye matawi mpaka ngazi za kitaifa.
Kuna orders za kuwakamata vijana wote ambao hawaiungi mkono CCM.
Hawa wote watateswa na...
Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania, Padri Chesco Msaga, ameongoza ibada maalum ya kuwaombea wote waliopoteza maisha katika ghasia zilizotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025...
Kesho Heche atapandishwa mahakamani kwa tuhuma za Kutenda Ugaidi kesi ambayo haina dhamana na ataunganishwa na watu wengine, Hapo kwenye watu Wengine yawezekana pia Lissu akaunganishwa kwenye hiyo...
🧭 Muktadha wa Dunia: Cold War (1950s–1980s)
Baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia, dunia iligawanyika katika kambi mbili kubwa:
Kambi ya Magharibi 🇺🇸 – inayoongozwa na Marekani na Uingereza (mfumo...
It is a dark history in our country kuwapoteza ndugu zetu, poleni saaaana Watanzania wenzangu.
Back to the topic G55 walijitoa Chadema na Kila siku walikuwa wanaitisha ma press conference...
Nikinukuu maneno ya Rais, kuwa "vurugu na uvunjifu wa amani huishia kupimana nguvu na uwezo wa kujihami, ila mazungumzo huzaa mshikamano. Sasa tuchague lenye manufaa kwetu, kwani usalama wa Taifa...
https://youtu.be/XspoH80_PEY?si=lLo0g68b3JeBsIHs
1. Hivi kulikuwa na ulazima gani kuondoa uhai wa maelfu ya vijana ili kuhalalisha utawala na Urais wa Samia na CCM yake huku akiwa tayari ana...
Waziri wa Ardhi mh Jerry Slaa amesema kuna Wanasiasa wanaona Sifa kujiita Watoto wa Maskini Lakini yeye siyo Maskini baba yake alikuwa Rubani na hadi leo anakula hela ya Urithi.
Mh Slaa ametuma...
Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Chesco Msaga, C.PP.S, leo Novemba 7, 2025 katika Ibada ya kuwaombea marehemu na majeruhi wote waliopata madhara katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.