Zungu achaguliwa kuwa Naibu Spika wa Bunge kwa 98.33% ya Kura

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Mgombea pekee wa nafasi ya Unaibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu (Mbunge wa Ilala) amepata 98.33% ya Kura zilizopigwa

Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema kati ya Wabunge 301 waliopiga Kura, 296 wamepiga Kura za Ndiyo, 3 wamepiga Kura ya Hapana na Kura mbili zimeharibika

Mara baada ya kuchaguliwa Zungu aliapishwa na Dkt. Tulia Ackson Bungeni

CAE6F5E8-33B0-4DD2-B930-210E50BAB900.jpeg
D3AD6C90-8D78-4CFC-BD4C-089249F5D691.jpeg
1D1AAE13-6D66-4658-930E-61DB554B5B22.jpeg
 
Tanzania ni nchi ya ajabu sana...ule ucahguzi ama vikao vya chama kuchaguana.

Kwanza tuambieni yule aliyesema maria alikuwa mke wa Yesu mmempeleka wapi ?
 
Mgombea pekee wa nafasi ya Unaibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu (Mbunge wa Ilala) amepata 98.33% ya Kura zilizopigwa

Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema kati ya Wabunge 301 waliopiga Kura, 296 wamepiga Kura za Ndiyo, 3 wamepiga Kura ya Hapana na Kura mbili zimeharibika

Mara baada ya kuchaguliwa Zungu aliapishwa na Dkt. Tulia Ackson Bungeni

View attachment 2116248View attachment 2116249View attachment 2116250
Hongera yake Mr Zungu
 
Hello family,
👇👇👇
Kuna watu mazuzu sana nchii hivi huyu Zungu wa kiti Cha unaibu spika ni Nani hasa na hiyo jeuri na dharau ya demokrasia katika nchi hii na taasisi zake anaitoa wapi.

Inakuwaje tuna naibu speaker wa aina hii ni upumbavu gani unajengeka nchi hii na kwa nini iwe hivi.

Kwa nini tuna mapopoma ya aina yake ndani ya taasisi nyeti namna ile.

Why
How

ntarudi kujibia comments

Wadiz
 
Back
Top Bottom