Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuanzia #D9 Wananchi tunapaswa kugoma kulipa kodi hatuwezi kufadhili wauwaji na mafisadi wanunue siraha kutuuwa kwa kodi zetu. Tunalipaje kodi ili zituletee maendeleo kama mnauwa watu. Kataa...
9 Reactions
24 Replies
650 Views
Aliyekuwa Diwani mteule wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Shiwinga, Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, Lusekelo Mwalukomo amefariki dunia baada ya kunywa maji ya betri. Tukio hilo lilitokea jana...
15 Reactions
47 Replies
2K Views
AI ambayo imesingiziwa Imekataa kuhusika kutengeneza hii video na imesisitiza video hii ni HALISI. Sasa wanaoisingizia AI waje watuambie miili ya ndugu ipo wapi tunataka kuzika ndugu zetu sio...
4 Reactions
8 Replies
423 Views
Yaani zinatajwa kila kitu ila hakuna kutaja idadi, ilitajwa idadi ya waliokufa kwwnye mv bukoba, ajali train kule Dodoma idadi ilitajwa, japokuwa na yenyewe namba zilipikwa, leo kutaja idadi ya...
5 Reactions
34 Replies
1K Views
habari ndio hiyo | Tarishi Hauwawi Sakata la vyeti feki launguruma kila mahali Tanzania! Filed under: habari ndio hiyo — tarishi @ 10:44 pm Naomba ieleweke kuwa kuna makundi mawili hapa...
7 Reactions
45 Replies
11K Views
Kunazidi kuchangamka 😂
21 Reactions
26 Replies
2K Views
Nchi hii Ina Katiba ,japo ni Katiba MBOVU isofaa, bado ni Katiba ambavyo inaliongoza Taifa. Yeyote ambaye anaonekana ni mvunjifu wa Sheria , Kwa Mujibu wa Katiba, Kuna maelekezo yametolewa namba...
17 Reactions
95 Replies
4K Views
Wakuu wa kazi, juzi Chuo Kikuu cha Mzumbe walikaririwa na vyombo vya habari wakimtunuka Emmanuel Nchimbi PhD. Ieleweke kuwa kwa muda mrefu huyu jamaa amekuwa akiitwa Daktari kumbe hana PhD. Kama...
3 Reactions
83 Replies
11K Views
Mawaziri sita wanaswa na vyeti feki Vyeti vyao vya elimu vyadaiwa vina utata Yumo Mkuu wa Mkoa na wabunge watatu Orodha yawasilishwa kwa Spika wa Bunge Dk. Mary Nagu Waziri wa Viwanda...
0 Reactions
140 Replies
31K Views
Naomba watanzania wenzangu mnisaidie jambo moja kila siku nikiamka kwenye mitandao nakutana na mijadala mbalimbali inayomkosoa Januari Makamba lakini mpaka sasa najiuliza Makamba amewafanyia nini...
3 Reactions
49 Replies
3K Views
Mimi naomba tu nchi wafadhali na mashirika ya fedha duniani, waungane wasitishe mikopo na misaada kwa asilimia 100 kama ambavyo umoja wa ulaya teyari umeonyesha mfano. Uchumi uvurugike...
18 Reactions
22 Replies
635 Views
Tarehe 29.10.2025 siku ya Jumatano ni siku muhimu sana katika Taifa letu, ambapo Watanzania watatekeleza haki yao ya kikatiba ya kupiga kura kwa ajili ya kuchagua Viongozi watakao waongoza katika...
5 Reactions
47 Replies
1K Views
Wana ukumbi very soon tunaenda kushuhudia yale ya Zimbabwe verry soon. Kama unaweza hifadhi pesa kwa USD hata ikibidi Ksh, Mfano nawaza kuanza kuhifadhi kwa Ksh kuanzia sasa make niko jirani nao
3 Reactions
4 Replies
386 Views
Baada ya mkeka wa EU kutiki na jambo la ICC kuwa linaendelea vizuri sana. Kifuatacho sasa ni kwa Wafadhili wengine wakubwa wote wa Tanzania. Kuanzia Marekani, Benki ya Dunia, IMF, Global Fund...
13 Reactions
28 Replies
1K Views
Alichosema Kanali Polepole leo kwa maoni yangu ni kuwa ametangaza kuanza matendo ya Kigaidi dhidi ya wote waliohusika kumteka ndugu yake. Akiachwa akaanza atapata wa kumuunga mkono. Tuwe makini...
4 Reactions
6 Replies
373 Views
Nimesikiliza kwa umakini na wivu mkubwa ujumbe wa mwisho toka kwa afande kanali , ndugu Augustino polepole. Huyu ni mtu ambae ni wazi Hana Tena cha kupoteza. Nafikiri ni ndugu ambae aliapa...
32 Reactions
65 Replies
3K Views
Bwana Lissu almaarufu kibaraka kwenye Kampeni zake ukiachilia mbali kuchafua wagombea wenzake pamoja na Rais ila mojawapo ya ajenda yake kuu aliyowapigia fix Wajumbe wa Chadema ni kwamba kama...
10 Reactions
169 Replies
6K Views
Tundu Lissu amesema Dr. Slaa ndiye alimleta Edward Lowassa CHADEMA ndiye aliyeanzanisha hilo wazo, ndiye aliyeongoza timu zote za majadiliano za CHADEMA kujadiliana na timu ya Lowassa. Soma Pia...
7 Reactions
58 Replies
3K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Chama Mapinduzi (CCM) Bara, Mzee Stephen Wasira amesema, vyama vingi vya siasa ulimwenguni vina utamaduni wa kuwaongezea muda viongozi ambao wanafanya vizuri kwenye...
0 Reactions
4 Replies
494 Views
Rais Samia amekiri kusikia kelele na matusi ya watanzania juu ya sera zake na uongozi wake. Lakini amesema ameamua kujifanya kuwa kama "chura kiziwi" mpaka dhamira yake na lengo lake la...
33 Reactions
122 Replies
8K Views
Back
Top Bottom