Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu salamu , na poleni na tunayopitia kama wananchi watanzania ,Mungu yupo kazini. Husika na mada tajwa juu , Moja kabla ya yoyote ikumbukwe watz wengi tupo kwenye majonzi makubwa ya...
3 Reactions
12 Replies
498 Views
Na Dkt. Geus Mbadika Nyaisanga Dar es Salaam, Tanzania Uchaguzi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliofanyika tarehe 29 Oktoba 2025 uliandika ukurasa mwingine muhimu katika safari ya...
12 Reactions
65 Replies
2K Views
Bakari Shingo, mbunge wa Ukonga kupitia ACT-Wazalendo, akizungumza na wanabodaboda katika kata ya Ukonga, amewahakikishia kuwa hawatashiriki maandamano Desemba 9, akisisitiza kuwa amani yetu ni...
5 Reactions
35 Replies
889 Views
Jaribu kufanyia Utafiti utaelewa Hata Nchi ya jirani ya Zanzibar ni mfano mzuri Rais akiwa mwislamu basi Vijana wao huwa na fursa ya kuingia madarakani tofauti na Wagalatia Nadhani huu ni...
23 Reactions
111 Replies
4K Views
Kama mifumo yetu ni dhaifu kiasi hiki basi maadui zetu siku wakiamua kutufanyia ubaya ni dakika tuu Kabil analeta mafunuo ya kutisha Sana.. Anatufunulia uchi wa nchi tunauona mpaka ndani.. Kuna...
24 Reactions
67 Replies
3K Views
Vijana wa KMKM wakati wanawamiminia risasi watanganyika walidhani maafa hayatowakuta. Sasa hivi Zanzibar wanalia kilio Cha kusaga meno, hakuna watalii kabisa. Hotels, fukwe ziko empty kabisa...
25 Reactions
64 Replies
3K Views
Ain’t no way. Ain’t no fcuking way! Napinga kabisa kwa nguvu zangu zote na kwa dhati kabisa kufanya maridhiano na wauaji wa makusudi. Hakuna cha kusameheana wala kuombana msamaha. As far as I’m...
39 Reactions
52 Replies
2K Views
Anajiita Rais wa wanyonge ambaye ni muadilifu, Mcha Mungu na Mpenda wanyonge ambaye kajawa na hofu ya kushitakiwa kwa mema anayoyafanya kwa wanyonge wake na kuamua kujitungia sheria ya...
20 Reactions
39 Replies
4K Views
Wakuu Nimekutana na video hizi mbili za watangazaji wenye nguvu ya ushawishi kwenye upande wa burudani hapa Tanzania, wakieleza hali ngumu wanayoipitia wasanii wa Tanzania hadi kufikia hatua ya...
14 Reactions
39 Replies
2K Views
GT Hawa jamaa watumishi wakati mwingine siyo wa kubeza hata kidogo. Sasa ni mwendo wa kuruka na kukanyagana. Yamerudi yaleyale
11 Reactions
22 Replies
735 Views
Ndugu zetu Askari, najua wengi wenu mnatamani kuona Mambo ya Guniea na Madagascar yanafanyika, ila kwa sababu kadhaa na mobilization inakuwa ngumu, hivyo basi niwatake hakikisheni mnachukua Risasi...
13 Reactions
19 Replies
1K Views
Haitachekesha! Wanajambo Lao kabla ya D9. Twajua hawalindwi na malaika. Redcross nao wasema watasaidia kulipa kisasi. Zingatieni hutuba ya Agustino. Imalisheni ulinzi wenyu. Huko mabarabarani...
33 Reactions
123 Replies
7K Views
Watawala watalia Kwa uchungu sana kuanzia kesho na kuendelea mnamuona kama chizi au anamkwara ila kuanzia kesho watawala mtaumia sana jiandaeni zamu yenu ya maumivu imefika endeleeni kumuona chizi
43 Reactions
85 Replies
5K Views
Wataalumu wa uchumi wa chama cha mapinduzi wamependekeza ianzishwe harambee ili wafanyabiashara wenye mapenzi na chama watakuwa wanachanga bilioni 100 kila mwezi. Lengo la kukusanya pesa hizo ni...
22 Reactions
75 Replies
2K Views
Hili Nchi sijui kama itakuja kutulia. Hapo naamini maneno ya prof Lumumba wa Kenya aliyesema" In the history of any country if there's been death it will never be the same again" Gen Z wakiamua...
9 Reactions
31 Replies
1K Views
Mwanaharakati wa haki za jamii mitandaoni Maria Sarungi amewaonya wamiliki wa mitandao ya Simu kutokubali kutumika na serikali kuminya haki wananchi kutumia internet maana safari hii kuelekea D9...
2 Reactions
6 Replies
446 Views
Kupanda bodaboda, kula kwa mama ntilie ugali dagaa na maigizo mengine ni chini hata ya matarajio ya aliyekuteua. Ishu za hivyo waachie wanasiasa wasio wabunifu waliozoea uongo. Wewe kufanya mbanga...
11 Reactions
34 Replies
905 Views
Back
Top Bottom