Wakuu,
Tujikumbushe kidogo wakati Rais Samia akiwa Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika ufunguzi wa Kampeni kitaifa uliofanyika Jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Kawe...
Alisema ameandika kiapo kwenda kwa rais wa ICC chenye kurasa 168.
Alisema walituma barua kwenye mashirika ya ndege kuwaambia wasije huku kutakuwa na maandamano yasiyo na kikomo. Mashirika gani...
Mawakili wetu na wanaharakati hawajapoa.
Wameenda Mahakama Kuu kupinga Tume iliyoteuliwa na Rais Samia kufanya Uchunguzi wa Matukio.
Wananchi watatu wakiongozwa na dada Rose Mwakitwange na...
Naona kila mmoja wa polisi anatoa vitisho kama vya 29.10.
Kwahiyo mnajiandaa na genocide nyingine?
Cc Larry Madowo elekeza satellite zote Tanzania nzima for uncontroverted evidence
Huyu hata wiki tatu hana ofisini.
Anajifanya kuwamiss majirani zake, michezo hii.
Kuna muda anajaribu kujifanya kama Banza Stone lakini hafit kwenye maigizo yake.
Mwambieni abadili script...
Nimeona polisi wakikamata watu kwa kosa la kuhamasisha maandamano. Nimeona Waziri wa Mapolisi wakikemea maandamano.
Watu hawa waieleze dunia maandamano ni kosa kwa sheria ipi? Halafu acheni...
Pamoja na kuwa Mkatoliki kindakindaki - hata kwa greda sichomoki; sijajifunga tu kwenye Biblia; hata Koran huwa naipitia!
Sasa kwenye Surat Al Baqara kuanzia kwenye aya ya 30 soma mpaka 40, kuna...
1.Magoli ya mama
2.Wasanii mpaka kuona wananchi na mashabiki zao kuwa ulikuwa waziri was wapi.
3.Mapikipiki,baiskeri,pesa za machawa na Kila waliotaka kupoza tumbo Kwa biriyani na bia ya kichwa...
Natamani niweke Orodha ndefu lakini hebu tuishi na hii kwanza..
Kuna wazee ambao tulidhani wangekuwa "dawa" hapo mwanzo lakini ghafla heshima yao waliyojitengenezea imepukutika kama barafu kwenye...
Hicho kipindi mlichokiweka usiku huu cha kipima joto mtawaokota wasiojitambua.
Hakuna vita yoyote ya kiuchumi, bali ni Rais na chama chake cha ccm kulazimisha kukaa madarakani kwa shuruti...
Tulizoea kuwasikia machawa wakisema Samia katoa hiki, katoa kile kana kwamba ilikuwa ni fedha yake na si yetu. Baada ya kubao kugeuka, sasa wanaramba matapishi.
Wanatuhadaa kuwa pesa ni yetu...
Wakuu,
Mnakumbuka kauli ya baadhi ya wasanii wa Bongo Fleva waliohimiza vijana wafanye kazi badala ya kulalamika? Katika video ile walionekana wasanii Diamond, Jux na Ommy Dimpoz wakitoa ujumbe...
Kutoka kwenye ukurasa rasmi wa DC Mwijaku, ameshiriki kipande cha video akisindikiza na maneno haya katika sehemu ya maelezo: “Vile Umoja wa Ulaya utakapopigwa kwa vihele hele vyao. We are Africa...
Habari Picha: Winfrida Charles Malembeka, ni graduate wa Chuo Kikuu cha Mzumbe
amehitimu masomo yake Novemba 2025.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji linapenda kutoa ufafanuzi juu ya...
Document ya kiswahili lakini imejaa maneno ya kiingereza; na ikumbukwe huyu Waziri alihojiwa na BBC kiingereza kibovu kama cha nywinywinywi
Document ya Wizara lakini menyewe yanadai ni...
GT
Wanaojua nguvu ya umma wanaheshima sana.l raia, Serikali ni watu na watu wakiamua.huna cha kufanya.
M029 ilibaki kidogo tu mbuyu udondoke mpaka sasa.mamlaka zipo paralysed hawajui wafanye...
Baadhi ya wanawake wameomba waomba maandamano ya Disemba 9 yasitishwe wakiohofia madhara yanayoweza kutokea. Wakilinganisha na yale yaliyotokea October 29 na baada ya hapo.
Wananchi hao wameeleza...
Maprofesa na madaktari ni watu wenye Elimu kubwa baada ya kufanya tafiti mbalimbali.
Pili ni watu ambao wanasimamia kile wanachoamini maana wamekifanyia utafiti
Tatu ni watu wanaolenga kusaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.