PhD mbili za Nchimbi Emmanuel ni halali? High level ya uchakachuaji Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PhD mbili za Nchimbi Emmanuel ni halali? High level ya uchakachuaji Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nyamagaro, Dec 5, 2011.

 1. n

  nyamagaro JF-Expert Member

  #1
  Dec 5, 2011
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 385
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  wakuu wa kazi, juzi mzumbe walikaririwa na vyombo vya habari wakimtunuka nchimbi phd. Ieleweke kuwa kwa muda mrefu huyu jamaa amekuwa akiitwa doctor kumbe hana phd. Kama hali imefikia hivi hatuoni kuwa Tanzania tumefika kubaya? Mtu anajiita dr wakati he doesnt have such qualification. Na hata kama mzumbe wamempa hii phd tuambiwe amesoma saa ngapi?

  hiyo thesis imefanywa na nani kwa sababu ndi ngumu sana kubalance between masomo na siasa, especially being a minister. I am doubting universities zetu hizi, zinachangia kuzalisha wasomi feki. The top most three in fake phd are UDOM, UDSM and MZUMBE. Hii ni embarassment kwa jamii ya wasomi kutoa degree zisizofanyiwa kazi.

  Hatuwezi kufika huko tunakotaka kama hali yetu ndiyo hii. maana tumefikia upumbavu wa hali ya juu kwa kujidanganya kuwa tuna wasomi kumbe sifa haziendani na kisomo cha mtu. Huu ni ufisadi wa aina ya pekee. Wanasiasa wanaweza kupata phd ki rahais hivi!
   
 2. r

  rwazi JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama Baba Riziwani kashajipatia tatu za uhakika,Yeye alipta za uchakachuaji pamoja na ufisadi. kwakweli hii ni halali yake amefanya kazi kubwa tangu achukue nchi mpaka uchaguzi mkuu.Sasa nani atawanyima akina nchimbi hizo phd wakati wanajua baba Rizi anachukuaje na wenyewe ndiyo wanashiriki kumfanyia mpango
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Dec 5, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Dr. Dr. Nchimbi
  Dr. Dr. Dr. Kikwete
   
 4. FIDIVIN

  FIDIVIN Senior Member

  #4
  Dec 5, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi watu mmekosa kazi kila siku ni kuropoka tu, UDOM hawajatoa phd hata moja we umeanza kuita feki, UDSM haya twambie ufeki wao uko wapi? Na wewe umepata wapi uwezo wa kutambua phd feki na genuin?
  Vijana mbona mmejiingiza kwenye majungu ambayo hayatawasaidia? Nchimbi wewe huwezi kushindana nae phd kashapewa unapoteza muda wako na ela yako kuandika pumba humu.
  Vijana chapeni kazi acha majungu
   
 5. T

  Tiote Senior Member

  #5
  Dec 5, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Get serious! Huu mjadala ni muhimu sana halafu wewe unaleta utani usio na maana. Suala la Rais kupewa honorary degree ni la kawaida na wala yeye hajawahi kuji-proclaim kwamba ni doctor. Huyu bwana mdogo Nchimbi amdhihirisha wazi kwamba alikuwa fisadi wa elimu pale ilipojisalimisha Mzumbe baada ya kushtukiwa na Msemakweli.

  Whether hiyo thesis kaandika yeye, it is obvious kwamba kwa hulka yake ya kifisadi, ametoa mkwanja na kuandikiwa kila kitu. Jamaa hata kujieleza maneno saba kwa kiingereza ni issue!
   
 6. sumasuma

  sumasuma JF-Expert Member

  #6
  Dec 5, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 331
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  degree fake zinatolewa ili, wakuu wa vyuo ,wanatoa shukuran kwa viongozi waliowaweka nafasi hizo.
   
 7. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #7
  Dec 5, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtoa hoja ana mtazamo wa jumla sana inaonekana tatizo ninnchimbi kuwa mwanasiasa,mbona magufuli aliweza kumaliza Phd na tukashangilia na kumsifia?kama Nchimbi ameweza kubalance majukumu na kukamilisha Thesis yake anastahili kupongezwa na sio kubezwa tatizo wa Tz wengi kutwa kucha porojo tu na umbea watu wanapiga shule wakihitimu mnasena shahada feke present basi yako real tuione kama mfano,we talk much than what we act wake TZ
   
 8. S

  Shembago JF-Expert Member

  #8
  Dec 5, 2011
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilikuwepo mzumbe siku hiyo,nami nilipigwa na butwaa,Ila nilijua kasafisha ile feki ya kwanza ambayo Msemakweli aliwaweka wazi mafisadi wote wa Elimu.

  Nadhani na wengine wote waliotajwa na Msemakweli waanze process ya kusafisha hizo PHD zao feki.

  Hivi kuitwa Dr,wakati gorofani hamna kitu kuna faida gani? halafu ukicheki wote ni magamba yanayokimbilia Ukuu wa Nchi 2015! shame on them!!
   
 9. F

  Fisadi Mtoto JF-Expert Member

  #9
  Dec 5, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 639
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwanza nashangazwa na vigezo vya vipimo vyako.....Nchimbi hawezi kuongea kiingereza...umejuaje hujasema na wewe umekuwa TOEFL siku hizi.Unasema ameandikiwa,lakini unajua kuna viva voce hapa ambayo mwanafunzi anakaa mbele ya panel inayohusisha walimu toka vyuo mbalimbali na kujidefend ili apate?alikuilipa wewe umfanyie?.....mwenzio anasema kuwa Msemakweli alimuumbua ndio akaenda shule tena...huu ni uongo msemakweli katoa kitabu chake mwaka 2009 na nchimbi kaanza phd yake mwaka 2006.alimuogopaje bila kitabu kuwepo.....chuki mbaya sana magufuli alipopata phd wote mlipongeza now kwa kuwa ni nchimbi unaibuka....imetoka hio u can't reverse kamanda
   
 10. T

  Tiote Senior Member

  #10
  Dec 5, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Magufuli never proclaimed himself as a Phd holder before he was awarded the Phd. Huyu b.w.e.g.e alidanganya watu kwamba ana Phd kumbe muongo mkubwa kabisa.
   
 11. T

  Tiote Senior Member

  #11
  Dec 5, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vema. Umemtetea. Tuambie phd yake ya kwanza aliipata lini na baada ya kusoma chuo gani? Was is wise kutafuta phd ya pili baada ya kupata ya kwanza?
   
 12. F

  Fisadi Mtoto JF-Expert Member

  #12
  Dec 5, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 639
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Alidanganya wapi kima wewe,alikuwa nayo na bado anayo tatizo alikuwa kwenye college ambayo haitambuliwi tanzania.....hata phd za udsm hazitambuliwi na oxford na ndio kawaida,sasa hata useme nini amepata tayari na ameregister nyingine cape town university.haahahaha
   
 13. Matango

  Matango JF-Expert Member

  #13
  Dec 5, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  phd ya kwanza ni ya open university
   
 14. K

  Kiluvya2011 JF-Expert Member

  #14
  Dec 5, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 215
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hahahahaa, nchimbiii weeee......ka phd katamu eeee......
   
 15. F

  Fisadi Mtoto JF-Expert Member

  #15
  Dec 5, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 639
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sio ya pili amaregister ya tatu captown iniversity.....tumtakie kheri
   
 16. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #16
  Dec 5, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Nani anaweza kutupatia matokeo ya kidato cha pili ya Dr Nchimbi?
   
 17. F

  Fisadi Mtoto JF-Expert Member

  #17
  Dec 5, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 639
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Alifauru
   
 18. Lyceum

  Lyceum JF-Expert Member

  #18
  Dec 5, 2011
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 80
  Wakati mwingine tusiwe watu wa kulalama tuu. Kama Nchimbi alikuwa na Phd Iliyokuwa na mashaka sio kizuizi cha kupata PhD nyingine. Tujadili mambo ya msingi; hata kama hatumpendi tukubali kuwa amepata PhD tena kutoka katika chuo kinachoheshimika. Vinginevyo vihoja vyepesi vinavohusu watu kama hivi ni aibu tupu. Nadhani mtoa mada unakosea sana kuleta umbea humu
   
 19. F

  Fisadi Mtoto JF-Expert Member

  #19
  Dec 5, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 639
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kuna mtu kauliza darasa la pili alikuwa wangapi?......uko sahihi nakuunga mkono kabisa.
   
 20. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #20
  Dec 5, 2011
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Kwani unafikiri thesis huandikwa kwa muda gani? Hawezi kukaa nyumbani usiku ukafanya? Kwa hili nakubaliana Na PHD yake he derseve I was there alipokuwa akipresent. Mbona mnaongelea Viongozi tu kuhusu ufeki wao shule zao? How about Vijana wanaotoka vyuoni do they deserve that? Mbona vichwa vyao havipo sawa.
   
Loading...