Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Msaada wa Kimataifa ni kwa Manufaa ya Wananchi, Siyo Serikali Peke Yake Kusitisha misaada hakumuumizi kiongozi yeyote katika ofisi ya juu, bali kunawaathiri watoto wanaohitaji chanjo, lishe na...
-3 Reactions
114 Replies
3K Views
Akizungumza leo Novemba 27, 2025 Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Amani Golugwa amesema Serikali ya Tanzania inahitaji kujitathmini kueleza ukweli na siyo propaganda...
3 Reactions
14 Replies
456 Views
Kuna hulka moja kuhusu uongo! Ukirudiwa mara nyingi huzoeleka na kuwa ukweli wa kulazimishwa! Taratibu zote za uchaguzi mkuu zilizokiukwa kwa kiwango cha juu sana, zinaondoa uhalali wote na...
20 Reactions
27 Replies
541 Views
• BOT haijatoa taarifa Rasmi kama mifumo yake imeingiliwa (Ikiwa watakataa kubali atatoa fundisho) • Amefanya mazungumzo na kiongozi wa DP world , chairman wao na CEO WAO • Amemuambia chairman wa...
30 Reactions
69 Replies
5K Views
Ndugu zangu Watanzania, Ningependa kuwaambia ya kuwa kaeni Makini sana na habari na taarifa zinazotolewa na CNN ya Marekani. Kwa kuwa ni chombo ambacho kimekuwa kikitumika kufanya propaganda na...
-10 Reactions
130 Replies
3K Views
Nimekuwa nikifuatilia tukio la kutekwa na kupotezwa kwa Mwanaharakati na Kada wa Chadema Bwana Mdude Nyangali. Kusema kweli kilichonifurahisha na kunishangaza ni mwitikio wa kipekee sana wa...
36 Reactions
197 Replies
9K Views
Ukitaka ku-book tiketi ya Dar- Moro au Dom mtandaoni tiketi hamna ila ukienda stesheni unapata tiketi kwa kuongeza 5,000/- kwa mkatishaji tiketi. Nimepanda treni ya Dar- Moro mabehewa yapo nusu...
34 Reactions
128 Replies
4K Views
Mazishi ya aliyekuwa Wakili mtetezi wa watuhumiwa wa maandamano wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29 mwaka huu, Beatus Linda, yamefanyika jana katika makazi ya familia yao eneo la Nyamhongolo, Wilaya...
3 Reactions
7 Replies
382 Views
Watanganyika wenzangu, naomba kufahamishwa kuhusu uanajeshi wa huyu mwamba aliyetoa masaa 24. Huyu mjeda ni mwanajeshi wa nchi gani na yupo wapi kwa sasa? By the way nayasubiria kwa hamu masaa...
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Kamwe vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama visimuonee haya mleta vurugu yyte nchini, Dunia inatuangalia na kutathimini UBORA wa Majeshi yetu. Sasa si muda wa kuwachekea Hawa vibaka na panya road...
5 Reactions
94 Replies
2K Views
VIDEO: Gwajima aliwahi yatabiri haya yanayotokea sasa
0 Reactions
0 Replies
159 Views
Hakuna mtu aliyetarajia hivi. Mwaka 2021 tulipompokea Samuya tulidhani tumepata Mama , aliyeahidi kufungua nafasi ya kisiasa. Leo, miaka minne tu baadaye, vijana wetu wengi wamepotezwa hawaonekani...
3 Reactions
11 Replies
268 Views
Mtu hawezi kuwa na kiburi na kufanya ufisadi na mauwaji ya halaiki kama hana support ya wakuu wa majeshi kwenye nchi.. Kama mabadiliko yatatokea yatakuja nje ya mfumo wa kifasadi na wakuu wa...
4 Reactions
6 Replies
333 Views
DeletedMember281674
Kilio changu na kupeleka kwa wakuu wa vyombo tunashindwa Nini? Mbona Zimbabwe waliweza kumuweka pembeni Mzee Mugabe. Tanzania ni kubwa sana kuliko kumlinda mtu Mmoja tukafikishana kununua mkate...
7 Reactions
17 Replies
686 Views
Huyu ni mmojawapo kati ya watu waliolishauri taifa kabla ya maafa kutokea. kulikuwa na namna zote za kusuluhisha jambo linalokabili taifa letu kwa sasa Hatukuwa na haja ya kufika hapa tulipo, kwa...
4 Reactions
3 Replies
245 Views
Hivi ni kweli kabisa? Inadhaniwa watu zaidi ya ten thousand wamekufa, ni kwa ajiri tu ya watu wachache waendelee kuwa na vyeo vyao? Na sasa nchi yetu imetengwa na kufungiwa misaada n.k, bado ni...
3 Reactions
3 Replies
213 Views
Vyombo vyote vya ndani havijaripoti habari za bunge la ulaya hata hivyo wananchi, na vyombo vya kimataifa na jirani vimeripoti habari hizo. Je, serikali ya Tanzania inaendeleza ukandamizaji na...
19 Reactions
34 Replies
1K Views
Askofu Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook. WAZEE HUKUMBUKA NA KUTAFAKARI 1. Lilikuja Azimio la Arusha: Yaliyofichwa Yakafukuliwa. Tukawa ndugu bila kuwa sawa lakini tukawa wamoja. Maskini...
20 Reactions
37 Replies
1K Views
……… Kwa manufaa yake wenyewe siyo Umma Britanicca
3 Reactions
9 Replies
583 Views
Watangazaji wa Clouds FM wa kipindi cha Power Breakfast wakifanya maombi baada ya Bunge la Ulaya kusitisha misaada kwa Serikali ya Tanzania kutokana na madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu. Pia...
8 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom