Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Yaani unajua Kuna watu wanataka kuponza wenzao huku wao wakiwa chumbani wamejificha huko ulaya. ivHi mtu kama mange alietuaminisha jeshi uchwara lipo na sisi anatuambia tutoke Kwa amani yeye...
10 Reactions
44 Replies
2K Views
Moja ya kitu ninacho kijutia katika maisha yangu ni kupost na kuhamasisha maandamano kwa mimi nilivyojuaga watu wanashika mabango barabarani na sikujuwa kama ilivyotokea, ndio maana niliitisha...
3 Reactions
13 Replies
581 Views
Habari iliyonifikia hivi punde, Kupitia ukurasa wa Gerson Msigwa, Instagram Marehemu Hannah Mayige (waliokaa, wa kwanza kulia), Mimi na watumishi wenzangu wa TBC Kituo cha Songea tulimuita Mama...
6 Reactions
32 Replies
1K Views
Mabadiliko ni makubwa sanaa tuliona mwez mmoja kabla ya 29oktoba watu walifanya mazoez ya pamoja viongoz walitoa matamsh makali na ya kutisha huku sura zao zikionesha dhamira ya kweli ya kuzuia...
38 Reactions
80 Replies
3K Views
Huyu jamaa tokea Mo29 sijawahi kumwona au kumsikia! Mkimuona mpeni salama za Gen.z wanamsalimia sana
2 Reactions
4 Replies
321 Views
Bongo hakupoi mpaka kieleweke Tamko liko very clear na linasomeka na kujitosheleza lenyewe #Tutaelewana tu Soma pia: PostGE2025 Kuelekea D9: GenZ watoa Tahadhari ya kiusalama kwa wageni na...
11 Reactions
18 Replies
1K Views
Katibu mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, John Mnyika kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa X, amesema Askari wa magereza wamemzuia kuingia Gereza la Ukonga kumuona mwenyekiti wa...
4 Reactions
14 Replies
539 Views
Wanadodi Nimesikia nia ya kuandaa mdahalo wa wagombea uenyekiti Chadema. Huu ni uzi wa swali la ushauri wa bure kwa Chadema, Je wakubali au wasikubali mdahalo wa wagombea Uenyekiti wa Chadema...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Waungwana nime washa tv naona live mdahalo wagombea ni wa nne tu, chadema cuf, udp tlp mgombea wa chadema anonekana muelewa zaidi swali la kwanza wanamikakati gani kwa akinamama, vijana,na walemavu
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Wakuu si jambo jema kumtabiria kifo binadamu mwenzako ila wakati mwingine lazima tuwe realistic kidogo.Mbunge wa Arumeru Mashariki Jeremiah Solomon Sumari wakati wowote anaweza kuungana na...
4 Reactions
58 Replies
6K Views
Kila ngazi itapandwa. Hakuna cha Nywinywi sio. Mwaua watu kama mbwa koko mwasema tusilete nywinywi. Mwaua baba zetu mwatuita wahaini tukisema. Hehee! Mwafunga mitandao ili dunia isijue. Hehee...
4 Reactions
15 Replies
641 Views
Wakati ambao ziara ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana Mh. Joel Nanauka ikiendelea mkoani Mbeya, vijana wamepata nafasi ya kutoa maoni yao na kuanisha changamoto zao...
9 Reactions
17 Replies
1K Views
Nassari aifagilia serikali ya awamu ya tano Sunday , 18th Dec , 2016 Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki, Mheshimiwa Joshua Nassari amepongeza na kusifu jitihada kubwa zianazofanywa na Serikali...
4 Reactions
123 Replies
19K Views
Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wake wa Tanzania Bara John...
1 Reactions
2 Replies
262 Views
Nipo mkoani Arusha aliko Mh MWIGURU mchemba waziri mkuu kutoka chama Cha ccm. Leo akiwa mkoani Arusha ameendeleza kauli zake ambazo ZINAZIDI kulitia taifa letu MATATIZO na ENDAPO hatojisafisha...
5 Reactions
20 Replies
643 Views
Kwa muda mrefu tumekuwa tukishuhudia pengo linalozidi kupanuka kati ya Serikali Kuu na wananchi wa kawaida. Pengo hili halijatokea kwa bahati mbaya—limejengwa taratibu kutokana na kukosekana kwa...
2 Reactions
24 Replies
606 Views
Ndugu zangu, eti ''Nassari kaonewa na spika kuvuliwa ubunge'' sawa, hapohapo na CHADEMA wanasema hawatamdhamini kutetea ubunge wake. Viroja zaidi ni pale Chadema wanaposema hawana mpango wa...
5 Reactions
78 Replies
6K Views
𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗔𝗞𝗔𝗚𝗨𝗔 𝗨𝗛𝗔𝗥𝗜𝗕𝗜𝗙𝗨 𝗪𝗔 𝗞𝗜𝗧𝗨𝗢 𝗖𝗛𝗔 𝗣𝗢𝗟𝗜𝗦𝗜 𝗞𝗜𝗞𝗔𝗧𝗜𝗧𝗜 WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Novemba 30, 2025, amekagua Kituo cha Polisi Kikatiti ambacho kiliharibiwa kutokana na vurugu...
1 Reactions
8 Replies
296 Views
𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗞𝗨𝗞𝗔𝗚𝗨𝗔 𝗨𝗛𝗔𝗥𝗜𝗕𝗜𝗙𝗨 𝗨𝗟𝗜𝗢𝗦𝗔𝗕𝗔𝗕𝗜𝗦𝗛𝗪𝗔 𝗡𝗔 𝗩𝗨𝗥𝗨𝗚𝗨 𝗭𝗔 𝗢𝗞𝗧𝗢𝗕𝗔 𝟮𝟵 𝗠𝗞𝗢𝗔𝗡𝗜 𝗔𝗥𝗨𝗦𝗛𝗔 WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kwa ajili...
0 Reactions
9 Replies
370 Views
Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari anadaiwa kuvuliwa ubunge kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kushindwa kuhudhuria mikutano mitatu ya bunge, jambo ambalo ni kinyume na sheria na taratibu za...
33 Reactions
833 Replies
128K Views
Back
Top Bottom