𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨: 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 𝗡𝗜 𝗠𝗔𝗟𝗜 𝗬𝗘𝗧𝗨 𝗦𝗢𝗧𝗘, 𝗦𝗜 𝗠𝗔𝗟𝗜 𝗬𝗔 𝗦𝗘𝗥𝗜𝗞𝗔𝗟𝗜 𝗪𝗔𝗟𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗠𝗔 𝗖𝗛𝗔 𝗦𝗜𝗔𝗦𝗔
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania ni mali ya Watanzania wote wala si ya Serikali au chama cha...
Utangulizi:
"Ili kushinda inatakiwa uwe 16 au 60thin than the combustible dust" Hii ilikua ni code ya kimaono nilishindwa kung'amua ipi ni ipi yaani kati ya sixtythin than the combustible dust na...
Mwongozo wa sheria zetu upo wazi kabisa:
1) Ukishirikiana au kumsaidia yeyote kufanya uhalifu, na wewe unakuwa ni sehemu ya uhalifu, na ukifahamika, unastahili kushtakiwa.
2. Nchi yetu imeishi...
Serikali iliyoshinda kwa 98% inatembea mitaani na ulinzi mkali tena baada ya doria kali inazidi hadi ulinzi wa trump aliyeshinda kwa asilimia ndogo.
Tukutane #D9 wakati ambao watakimbia hii nchi...
Kuna swali najiuliza daily maze… hivi tuko na wasomi wangapi kwenye hii nchi? Yani unaweza kuangalia youth wa Bongo, watu wamesoma mbaya, wako sharp, wako ready kufanya kazi, lakini guess what...
Nijenge msingi kwanza! Rais Obama aliwahi kusema Africa inahitaji Strong institution tu kujikomboa. Kwa maneno mengine Taasis imara hususan za Dola.
Nije kwenye mada. Ukiwasikiliza Wahenga na...
Ndugu zangu Watanzania,
Soma
Serikali ya Tanzania imetoa ufafanuzi kuhusu azimio lililopitishwa na Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) Novemba 26, 2025, ambalo lilizungumzia madai ya ukiukwaji wa haki...
Antony Lusekelo maarufu kama Mzee waupako afunguka mazito baadhi ya waumini wake kupoteza maisha kwenye maandamano ya October 29.
"Niwape pole sana watanzania hakuna mtu ambaye hajaguswa na jambo...
Inashangaza sana mawaziri wetu wameamua kuwa masikini, wanakili hawanakitu.
Huu uongo ni mbaya kuliko mambo yote muliowahi kufanya huko nyumba.
Afu kwa bahati mbaya, kwa Sasa kila kitu kiko...
MO29 tulikuwa na matumaini makubwa kuwa jeshi lipo upande wetu wananchi na tuliaminishwa hivyo, badala yake likawa linashuhudia wananchi wakipigwa risasi na polisi MBELE YA MACHO YAO bila msaada...
𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗠𝗞𝗨𝗨 𝗔𝗞𝗔𝗚𝗨𝗔 𝗨𝗛𝗔𝗥𝗜𝗕𝗜𝗙𝗨 𝗞𝗜𝗧𝗨𝗢 𝗖𝗛𝗔 𝗠𝗔𝗙𝗨𝗧𝗔 𝗖𝗛𝗔 𝗧𝗢𝗧𝗔𝗟
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Novemba 30, 2025, amekagua Kituo cha Mafuta cha Total kilichopo Maji ya Chai, ambacho kiliharibiwa...
Hivi hizi POROJO za Mwigulu ni kwasababu anajua Watanzania ni WAJINGA na wataami au hawana jinsi watakubaliana naye TU
Au HAJUI kwamba Watanzania sio WAJINGA tena na WANAJUA wanachokipambania?
SERIKALI YATANGAZA MIKAKATI 8 YA KUVUTIA UWEKEZAJI, IKIELEKEZA KIPAUMBELE KWA VIJANA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo, ametangaza mikakati nane (8)...
GT
Huu ujinga wakuanza.kuwasikiliza vijana baada ya mateso na mauaji hatuutaki. Wasitupotezee mda.
Kwanza kabla ya mambo yote tunataka kujua kaburi la halaiki lipo wapi? Hatutaki majibu mepesi ya...
Bunge la ulaya laijadili Tanzania leo , lasema kama uchaguzi utafanyika na baadhi ya washiriki kuzuiliwa kushiriki kwa sababu za kisisa , eu wasitoe hata kumi kati dolla milioni 8 walizo omba...
Hehee! Mayii! Wajua kwa akili za wabunge haramu wanajua wapo kihalali na Jambo lilishapita. Hehee! Lapitaje. Jueni hizo posho zenyu zimejaa damu za ndugu zetu. Familia zenyu mwapeleka pesa za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.