Tunaishi katika dunia iliyojaa unafiki na kila aina ya mabaya, yaani kweli hawa wanaojiita wazee hawajui kama uchaguzi haukuwa wa uhuru na haki?
Hawajui kama kila siku watu wanapotea na kutekwa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema maelekezo yote yaliyotolewa na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan siku ya hotuba yake baada ya kuapishwa yametekelezwa na yanaendelea...
Mambo mazito Yanayosubiri Majibu
Baada ya kutangazwa katika vyombo vya habari kuwa Rais Samia Suluhu Hassan atazungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam na kuliutubia Taifa, mijadala mikubwa...
Mwenyekiti wa Baraza la wazee mkoa wa Dar es Salaam Salum matimbwa amesema kuwa wazee wamefurahishwa na uamauzi wa Rais Samia kuanzisha wizra maalum ya vijana ambao ni nguvu kazi ya Taifa...
"Tusikatae ukweli kwamba vijana waliandamana kwa sababu gani? wanasema sababu ya kwanza ukiuliza vijana wanasema hatuko salama watu wanatekwa, watu wanapotezwa, watu wanauawa, ni zoezi lina zaidi...
Anasema kusema vijana wamenunuliwa ni makosa na kuwakosea sana. Anasema vijana si wajinga kiasi hicho.
Ingawa, anaona kusema wamehamasishwa hilo halina mjadala kwani kulikuwa na uhamasishaji...
Je, maagizo yatakayotolewa leo kwa wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam wakazungumze na watoto wao na wajukuu wao waachane na D9, ya Kwamba wanatumika vibaya na kulipwa mabeberu, njia hii itasaidia...
Kikao cha rais wa jamhuri wa Muungano wa Tanzania na wazee wa Dodoma. Makamu wa rais ameshafika, Bado anasubiriwa Rais. Kwa sasa band ya jeshi ndo inaburudisha. Kikao hiki kinafanyika katika...
Naona hoja ya msingi inakwepwa na Kitima anaenda kuongelea output. Swali kama hili analiogopa kama ukoma. Hakuna mwandishi yeyote wa habari amewahi kumuuliza na akalijibu kwa usahihi.
Nataka...
Sijajua masuala mazito yahusuyo hatima ya nchi yetu kupitia mchakato wa Katiba mpya kuzungumzwa kwa "wazee wa CCM wa Dar es Salaam!" Najua baadhi yenu mtasema kuwa Rais alikuwa anaongea kwa Taifa...
"Katika kuonesha hilo mnaloliita maridhiano, lazima kwanza kutikiri watu waliuawa na risasi za moto na nani? Swali hilo likijibiwa ndiyo hapo tutahitaji tume huru ya uchunguzi ambayo haihusiki na...
Friends and Our Enemies,
Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza serikali yetu tukufu chini ya amiri jeshi wetu MKuu Daktari Samia Suluhu Hassan kwa kusimam imara katika kuilinda amani ya nchi hii...
Kwenu kilaza mkuu AG na vilaza wengine mliojazana kwenye Serikali isiyo halali ya Samia na CCM.
Nyaraka zilizowasilishwa ICC zimeeleza wazi Serikali ya Samia na CCM inafanya enforced dissaperance...
Kifungu cha 89 2(a) cha kanuni ya adhabu kimeweka wazi kabisa kuwa kutishia kuua ni kosa na mtu anapaswa kufungwa mwaka mmoja.
Mbona huyu sheikh amepewa kadi ya njano na huku amefanya makosa...
Aljazeera wako radhi mwandishi wa habari awepo site na akwepe bomu lakini sio kurusha habari nje ya hapo
Aliekua mkurugenzi wa bbc TIM DAVIE pamoja na msaidizi wake walijiuzulu baada ya kashfa...
Tanzania bwana, viongozi kila siku wanaimba nchi yetu kuna uhuruwa vyombo vya habari na hakuna gazeti la Bongo lililoandika kuhusu aliyoongea fr Dkt. Kitima jana na Msigwa kila siku anakesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.