Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akihutubia taifa katika Mkutano na wazee wa Dar es Salaam leo Desemba 2, 2025 amesema vijana wengi waliandamana bila kujua haki...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa vijana waliokuwa mstari wa mbele katika maandamano hawakuwa na sababu ya kuingia barabarani, akibainisha kuwa...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ina maendeleo hivyo amewaomba Watanzania kuendelea kuitunza amani nchini na utulivu wa kisiasa na kwamba Watu wasilazimishe vyombo vya...
Rais Samia ameyaongea hayo leo Disemba 2, 2025 wakati akiongea na Wazee wa Dar es Salaam akiongelea yaliyotokea siku ya Uchaguzi na yanayoendelea mitandaoni na mitaani akisema matukio hayo...
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema matukio yaliyotokea kuanzia Oktoba 29, 2025 na kuendelea yalikuwa matukio ya kutengenezwa ambayo yalikuwa na lengo la kuangusha dola ya nchi yetu.
Ameyasema...
Kosa vyote ila usikose akili.
Machawa wa Mbogamboga wamepewa propaganda za kupush na wanazipush kwa fujo sana bila kujua matokeo yake.
Wamepewa propaganda ya kupush kuwa walioandamana ni wahuni...
Chama hiki kilidai kufungua kesi kupiga matokeo ya uchaguzi katika majimbo 25 ya uwakilishi Zanzibar na kikitarajiwa kupiga pia yale ya Ubunge.
Huku pia kikiweka pose kuingia kwenye kuunda...
Sifahamu kama aliyoyasema leo kwenye mkutano wa wazee wa dar ameandikiwa ama ameyatoa kichwani mwake?
Kwa vyovyote vile inaonekana aliyafanyia mazoezi ya siku kadhaa kabla ya kuzungumza.
Kwa...
Huyu mama kwanini mauaji aliyoyafanya yeye bado anaendelea kuwasingia watu wa nje? Akiendelea kushupaza shingo hii nchi haitakaa itulie. Ndani ya hotuba moja hiyohiyo mara akubali alichokifanya...
Rais Samia amesepa, Tanzania inapigwa na kulembewa mawe kwa vile Mungu alivyotuumba kuwa nchi yenye utajiri na rasilimali nyingi.
Ameongeza kuwa Maumbile yetu na utajiri wetu visisababishe...
Nimechungulia kwenye kusanyiko la Wazee wa Dar es Salaam nimejionea maajabu!
Maajabu yote haya ni dhahri Shahri kwamba ni kiboko kilichotolewa na Gen-Z pamoja na kwamba wamewaua lakini WAMEJUA...
Rais Samia akihutubia Taifa leo desemba , 2025 katika Mkutano na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam uliofanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa ya Mwl. Julius Nyerere JNICC amesmea kuwa
Sifa ya utamaduni...
Akizungumza na wazee wa mkoa wa Dar es Salaam Dec 2, 2025 Rais Samia ameeleza kuwa watu walioingia barabarana walikuwa na lengo la kuiondoa dola madarakani na tukio hilo lilikuwa ni la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.