Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Watu wote wanaopinga kile kilichosemwa na na Father ni maqdui wakubwa wa nchi wenye nia ya kuficha uchafu wote uliofanywa na serikali. Yaani kwa lugha rahisi unaweza ukasema wanaopinga...
6 Reactions
5 Replies
242 Views
GT CDF... Kutuma jeshi kwenye mission dhaifu ni kulidhalilisha jeshi na kuonesha mapungufu ya sekta ya ulinzi nchini Kutuma jeshi kwenye kuzuia maandamano na wanaandamanaji wenye mawe ni udhaifu...
5 Reactions
4 Replies
356 Views
Uwepo wa kesi nyingi za uongo za serikali kwa watanzania inapaswa kuwa sababu nyengine kuu ya kuandamana huu ni uchizi Hatuwezi kuongozwa na vilaza na watu wanao waza upuuzi upuuzi tu muda wote...
1 Reactions
1 Replies
141 Views
Kwa kweli sitaongea mengi kuhusu jambo hili, ila itoshe kusema kuwa Dr. Emmanuel Nchimbi ni mtu mwenye bahati sana katika maisha yake na historia yake inaonesha nafasi nyingi kubwa za kiuongozi...
1 Reactions
9 Replies
505 Views
Mheshimiwa Rais, ninatambua mpango huu ULIKUWA na nia nzuri, nia thabiti na njema ya kuwapeleka vijana wetu jkt kwa mujibu wa SHERIA na huko wamefunzwa ukakamavu na uzalendo kwa nchi yao...
3 Reactions
7 Replies
460 Views
1. Tume ya Nyalali 2. Tume ya Bomani ya Ardhi 3. LRCT – Mapendekezo ya Katiba 4. Tume ya Haki za Binadamu – Kisanga 5. Tume ya Sheria Kandamizi – Kisanga 6. Tume ya Uchaguzi – Ramadhani...
0 Reactions
5 Replies
218 Views
TEC na watu wote wapumbavu walitaka jeshi la polisi liache vijana huru kuanzia ile tarehe 29 September mpaka pale ambapo ofisi zote za umma Dar es salaam zingekuwa majivu. Walitaka polisi...
4 Reactions
15 Replies
488 Views
Imenisikitisha sana kuisikia clip ile inayomuenesha akisema hakuna haja ya kuhesabu watu waliouwawa 29 October, kwani kufanya hivyo ni kuwahesabu watu kama vile tunahesabu vitu. Nasema...
1 Reactions
4 Replies
191 Views
Yale mnayopitia sasa, ndiyo hayo hayo wananchi walikuwa wanapitia kipindi ninyi mnawaambia "Vijana fanyeni kazi punguzeni kulalamika".
4 Reactions
3 Replies
275 Views
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, amesema kikao chake na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, kilichofanyika...
25 Reactions
63 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kuwa Rais Samia siku ya kesho Jumanne ataongea na wazee wa Dar es salaam lakini atatumia mkutano huo kulihutubia taifa. Amesema ''Kutokana na Mkoa...
10 Reactions
142 Replies
4K Views
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) kupitia kwa Rais wa TEC Askofu Wolfgang Pisa limetoa tafakuri ya pamoja ya Maaskofu wa Kanisa hilo, kufuatia tafakari na sala walizofanya kwa takribani...
2 Reactions
1 Replies
316 Views
Wananchi, wanachama na viongozi wa Chadema wakisali sala ya kuiombea Taifa iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika ukumbi wa Mahakama ya Kisutu.
26 Reactions
115 Replies
7K Views
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt. Benson Bagonza, amesema Taifa lililoungana lina uwezo wa kupambana na Umoja wa Ulaya (EU), Benki ya...
1 Reactions
4 Replies
320 Views
Mipango yako tunajua hujaisitisha. Kule kujishusha kwako tunajua ulikuwa mtego lakini mtego mabua usioweza kumkamata hata panya. Nakukumbusha tuu baada ya huu uchaguzi kituo kinachofuata ni wewe...
4 Reactions
57 Replies
2K Views
"Unajua ukitenda haki amani itakuwepo, utake usitake. Lakini usipotenda haki amani hutaipata. Haki ya namna gani? Haki ni vitu vile vya msingi ambavyo binadamu yeyote angependa kupata lakini sio...
0 Reactions
0 Replies
132 Views
Hehee kuna vingine vijanja janja. Leo nilkuwa na Bashite hehee! Yeye ajikausha ili wamsahau. Mayi. Nani akusahau muuaji weee. Wajikausha hee. Redcross wasema hakuna atakayesalimika. Sijui walahi...
3 Reactions
11 Replies
691 Views
Damage control ni neno linalotumika kumaanisha juhudi zinazofanywa ili kupunguza madhara, kudhibiti hali mbaya, au kuokoa taswira/nafasi baada ya jambo baya kutokea. Baada ya mauaji ya halaiki...
8 Reactions
14 Replies
632 Views
Mtake msitake, walio andamana ni vijana na walikuwa na mahitaji Yao Tunakubali umeunda tume kweli nchi hii hatuna wawakilishi wa vijana wangekuwa kwenye tume hiyo Ili wazungumze nasi? Ebu...
1 Reactions
4 Replies
277 Views
Wimbo maalum kwa ajili ya wasanii wetu wana mambo mengi ya kujifunza kutokana na tukio lilitokea.
1 Reactions
0 Replies
160 Views
Back
Top Bottom