stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 39,382
- 39,581
Aljazeera wako radhi mwandishi wa habari awepo site na akwepe bomu lakini sio kurusha habari nje ya hapo
Aliekua mkurugenzi wa bbc TIM DAVIE pamoja na msaidizi wake walijiuzulu baada ya kashfa nzito ya kusambaza taarifa za uongo, kujiuzulu huzu kunaambatana na faini ya $1B ambayo trump ametaka kulipwa kwa kumchafua
Bbc na pacha wake cnn wanashtumiwa kila mara kwa kueneza taarifa za uongo na kukuza habari zaidi ya kilichotokea
Kwa upande wa 2, aljazeera ndo anaebaki kwa taarifa za uhakika na uhalisia, wanajua sana kuwajibika mara nyingi sna tumewaona waandishi wao wakiwa front kwenye vita wakiripoti uhalisia, hali hii ni tafauti sana na bbc pamoja na cnn wanaopenda kuripoti taarifa ikiwezekana hata wakaongezea na AI