Jana mida ya saa tisa hivi mchana. Wapasua matofali wetu wakawa wanafanya doria na lihelikopta lao moja kuukuu limechoka choka hivi. Wanapita kwa chini chini mpaka wanaonekana makomandoo wao...
Nauliza tu kwa amani.
TEC ina combine wasomi haswa. Au tunaweza kusema TEC ni nyumbani kwa makachero, wanaweza kuwaimgiza watu mkatumukia agenda zao bila ninyi wenyewe kujijua.
2001 yalitokea...
Japo ni watanzania wengi wametekwa na kupotezwa hata kupoteza maisha, hakuna walio maarufu kama vile Mdude Nyagali, Ben Saanane, Koka na zaidi ya wote balozi Humphrey Polepole.
Tokana na...
Tanzania haikuwa na reform wala uchaguzi.
No reform no election kwa namna hivyo imefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana.
Mliokuwa mnauliza itatekelezwa vipi sasa jibu ni Watanzania wenyewe...
Leo tarehe 02 December nimeota Viongozi watatu wakijiuzulu nyadhifa zao
Pili, kuhusu utekaji na mauaji hili nimeota halitatolewa maelezo. Maana yake Hana taarifa kuhusiana na hilo, hajui kama...
Mwanamajumuiya wa Afrika kutoka Kenya, Prof. Patrick Lumumba, amesema hatua za awali alizoziona kutoka kwa Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassana ikiwamo kumuelekeza Mkurugenzi wa Mashtaka...
Ndugu Samia Hassan Suluhu leo kama taatifa ilivyo anaongea na Makada wa CCM Kule Dar, na kama kawaida leo alikuwa aje na zile swaga zao za kila siku, za Walilipawa, Kwanini wachome nchi, Walitoka...
Hata kabla ya Uchaguzi, Bunge la Umoja wa Ulaya lilikuzungumzia sana namna unavyoteka na kupoteza watu.
Ulivyo na kiburi uliwapuuza. Ukazidi kuwateka, kuwafira, kuwaua na kuwafungulia kesi za...
Ogopa sana mtu mpole na mkimya, anapoamua kujibu huwa haangalii hasara iliyo mbele yake.
Wakati Prof. Kabudi akiwa bado na akili aliwahi kusema; "Ninawaogopa sana watanganyika kuliko wazanzibari...
Kenyan politician Uhuru Kenyatta was charged by the ICC with orchestrating crimes against humanity in 2007-08 during violence that followed disputed presidential elections in 2007.
He appeared...
Habari Wakuu.
Kwasasa kumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusu nani/namna/hali/uelekeo wa nchi yetu ya Tanzania.
Mimi Fact Only nauliza kwa uzuri kabisa ni nani Watanzania mnaamini/mnaona...
Nasema hivi kwa ukilaza wa CCM wataua uchumi hivi hivi.
Utalii unapumulia machine maana hakuna mtu wa kuja kwenye nchi inayonuka damu hivi.
Sasa kampuni kubwa za ndege zinazokuja Tanzania...
Kichwa cha habari kiko wazi. Japo mengi yameandaliwa, yanasemwa, hata kutabiri, serikali ya sasa isiyochaguliwa na wananchi haina uwezo wa kupona kwa ukatili na uzembe ilivyofanya.
Dawa au jibu...
JF
Sijui kuhusu mitaa yenu, ila mitaa mingi nliyopita kunatokota sana. Watu wana machungu na hasira sana.
Kama wanadhani watu wameanza kusahau, wajue ardhi bado ni ya moto sana.
Haki huinua...
Wanabodi
Makala yangu gazeti la Mwananchi la leo
Bunge la 12, linatarajiwa kuvunjwa hivi karibuni, hii ni makala ya kuwaomba Watanzania tusiruhusu tena Bunge lisilo na kambi rasmi ya upinzani...
Hamjambo wote!
Tayari misukosuko imemtosha, tunaita ndio mambo ya siasa hayo. Tunaiomba serikali kabla ya septemba 7 iweze kumuachia Tundu Lisu.
Hatusemi baada ya hapo ile Muku na yule...
Hivi ndiyo muhubiri anasema
"Kila kitu kina majira yake, kila jambo duniani lina wakati wake: Wakati wa kuzaliwa na wakati wa kufa; wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna kilichopandwa; wakati wa...
Kuna kajamaaa kalisema kuanzia tarehe 1 miamala itakuwa haifanyi kazi
Alisema hamehack system ya BOT na yeye ndo anaweza kublock. Mbona mpaka leo kimya ?
Ndo tujue Watanganyika tunadanganyana sana
Kiongozi wa upinzani nchini Cameroon, Anicet Ekane (74), amefariki dunia akiwa rumande siku ya Jumatatu, baada ya kukamatwa kufuatia maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Oktoba.
Ekane...
Sizungushi. Kichwa cha habari kiko wazi. Hivyo, ndiyo itakavyokuwa.
Hivyo, watanganyika wanaotumika na kuuza uhuru na utu wao, waache mara moja.
Mtaachwa na Tanganyika yenu na watu wake kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.