Sijaona hotuba ya kuponya nchi zaidi ya kiburi, jeuri na ulevi wa madaraka kutoka kwa Rais Samia. Huyu mama sijui amekuja kuwaje. Amedhihirisha ukatili alionao, huyu hatufai kabisa, vinginevyo...
PRESS RELEASE
‼️UTARATIBU WA SERIKALI YA MPITO‼️
Tumetafakari kwa umakini na tumeazimia ✊🏽
👉🏽 Sisi Wananchi wa Tanzania tunasisitiza kwamba hakukuwa na uchaguzi uliofanyika nchini Tanzania...
Huyu Ndugu Samia sijajua nani alimshaur8 amteua Mwigulu Nchemba, Huyu Mwigulu hana tofauti sana na Makonda kwenye swala la Uropokaji, kupenda Sifa na kuto jua au kuto pangilia maneni ya kuongea...
hawa watu ni shida, na wala hatukupaswa kuungana nao kabisa, angalia jinsi walivyowaua wapinzani wao huko Zanzibar, damu damu, damu.
https://www.youtube.com/watch?v=Ss-lfLLzV-k
Moja ya tuhuma zinazosambaa ni kwamba majeruhi wa maandamano ya MO29 walikuwa wanapelekwa hospitali wakiwa hai na waliowaleta wakawa wanawataka wahudumu wasiwahudumie majeruhi bali wawapeleke moja...
Mjibu kwa ufasaha, one point after another. Bila jaziba, dharau wala mipasho kama alivyotumia yeye. Consult wataalamu wa kila uwanja wa weledi. BILA KUCHELEWA as the saying goes:
Strike the Iron...
(1)Unazani maandamano yatafanikiwa tena au ni heri kupambana kwa njia nyingine
(3)Inaenda kutawaliwa kwa mkono wa chuma
(2) Amani yetu tuliyojivunia inatoweka na unaenda kutokea uasi ndani ya...
Waarabu siasa zao siyo za kubembelezana, wakianzisha chama cha siasa kinakuwa na military wing.
Angalia Kule Syria, Tizama HAMAS, Tizama Hezbollah, na sasa HOUTHI kule Yemen.
Wao wanaingia...
"Tulifanya kikao hapa tuliwashauri serikali tarehe 30 mwezi wa nne usiku wake ambapo waliamua kuniua mimi, ndiyo tulipitisha yale maazimio na uzuri yamekabidhiwa serikalini mwezi wa nane tarehe...
Father kitima bado yupo na mawazo ya kizamani sana, bado yupo na mawazo ya Ujerumani kuitawala dunia. mbinu zenu zote za kuangusha mataifa kupitia dini zinajulikana zote. Vita vya kwanza vya dunia...
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, amesema;
"Unaposema tusitetee Uhai wa Mtu, Mdude haonekani mpaka sasa hivi, alikuwa anachambua mambo ya Siasa ya...
Safari hii hakuna kubembelezana.
Kitakachowakuta watia fujo tarehe 9 kitafunga mjadala
Hakuna tena mtu atathubutu kufanya maandamano ya uasi miaka 40 mbele.
Wazazi (Gen Z) watawasimulia watoto...
Binafsi nadeclare interest ni Mkatoliki pia sijawahi na kiukweli nimeumizwa na yale yaliyotokea 29/10.
Hapa katikati kulikuwa na fukuto kubwa la kidini baada ya kauli na waraka wa TEC. Siku...
"Kama msimamo wa Samia Suluhu Hassan ndio huu aliousema juzi, maana yake ni kwamba tujiandae kwa mapambano makali na magumu mbeleni. Huyu mama ni Magufuli wa kike, kwa hii kauli yake kuhusiana na...
Wanaharakati uchwara waliwajaza mihemko vijana kwamba waende kufanya fujo, mwishowe wameishia kupoteza maisha na wakina maria wamebaki wakila maisha, ewe kijana maisha yako ni ya muhimu sana kwa...
Najiuliza Tanganyika ilipata uhuru wake kwa njia ya amani, iweje leo hii uhuru wa Tanganyika unalindwa kwa kumwaga damu?
Je, waliofanya fujo walistahili kuuawa? Ndio maana ya fanya fujo uone? Je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.