Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 17,482
- 20,434
Nimechungulia kwenye kusanyiko la Wazee wa Dar es Salaam nimejionea maajabu!
Maajabu yote haya ni dhahri Shahri kwamba ni kiboko kilichotolewa na Gen-Z pamoja na kwamba wamewaua lakini WAMEJUA kuiadabisha nchi.
Hivi kweli kabisa leo hii CCM kimekuwa Chama cha kujificha? Mkutano mzima ukipata watu 100 wenye miguo ya kijani niite umbwa!
Chama cha Mapinduzi kinaelekea kufa! Gen-Z msirudi nyuma shikeni hapo hapo! Ajabu jingine ni hii kutoka kuombewa na madhehebu makubwa hadi kuombewa na machawa! Pia sijamwona mzee Kikwete, Huyu ni wazi kwamba aibu sasa hivi inamtafuna!