PostGE2025 Swali; Je, ACT Wazalendo Zanzibar kufungua kesi kupiga matokeo ya uchaguzi 2025 ni mkakati maalum kutoka nje ya chama?

PostGE2025 Swali; Je, ACT Wazalendo Zanzibar kufungua kesi kupiga matokeo ya uchaguzi 2025 ni mkakati maalum kutoka nje ya chama?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Neutral Man ZT

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2025
Posts
293
Reaction score
515
Chama hiki kilidai kufungua kesi kupiga matokeo ya uchaguzi katika majimbo 25 ya uwakilishi Zanzibar na kikitarajiwa kupiga pia yale ya Ubunge.

Huku pia kikiweka pose kuingia kwenye kuunda serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar.

Swali, je ni mpango maalum baina yao na kundi la Gasom & Zikamziki maji yakiwa ya shingo huku Kanyingata wawatumie ACT kama miongoni mwa kete zao?
 
Back
Top Bottom