Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huo ndio ushauri wangu kwa huyu Mama kwani hata historia inaonyesha hivyo. Wananchi wakifanikiwa kutioka wengi na wakaakua kukuza, watau wachache wa mwanzo baadae wataweka silaha chini na...
3 Reactions
6 Replies
336 Views
Kwa vile alishateua baraza la mawaziri na kuwaapisha angewaacha kila mmoja ashughulike na kuongea kwa namna anavyoweza kwa yaliyotokea Octoba 29 kwa kadiri ya wizara yake ilivyoguswa ingetosha kwa...
0 Reactions
1 Replies
114 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika mkutano uliofanyika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC)...
0 Reactions
2 Replies
302 Views
#D9 tutafukua makaburi ya kondo kujilidhisha taarifa ya CNN kama ni kweli tutampelekea samia ikulu. #D9 ni wakati sahihi na tukiwa wengi sana kufukua pale kondo
3 Reactions
12 Replies
341 Views
Kama kweli haya yaliyotokea 29Oktoba hayawahusu basi VAENI NGUO ZA KIJANI zile piteni tu kwa amani kabisa mitaani mkiwa mnatembea kifua mbele! Kama mnaamini hamkuzika watoto au wajukuu kutokana...
1 Reactions
6 Replies
273 Views
Duniani kote, taasisi ni mahali pa kujenga watu, kuunda fikra, kutengeneza ndoto, na kuibua vizazi vinavyokuja kubeba uchumi. Lakini kambi ni mahali pa kuamrishwa, kukaa kimya, kutii bila kuuliza...
2 Reactions
0 Replies
179 Views
Hayo mambo ya Kuandamana Kwa mabango na wahuni wanakuja na machine za moto kuuwa Watanganyika, hilo halipo na wazalendo hawataliruhusu Hakuna haja ya kusubiria 9D Muda wa Maneno imekwisha Sasa...
17 Reactions
35 Replies
2K Views
Nimsikiliza Samia kwa umakini mkubwa lakini naomba nimwambie kuwa amemwaga petrol kwenye Moto. Tanzania sio kisiwa Tanzania haina uwezo wa kuzalisha na kujiuzia na kujitegemea Kama ilivyo Urusi...
11 Reactions
16 Replies
840 Views
Ustadhi huyu anasema wakatoliki wao wanataka vyeo vikubwa viwe vya wakatoliki, hata Baraza la Mawaziri lililoteuliwa na Rais Samia, waislam ni wachache kama robo, baraza limejaa wakristo ambao...
2 Reactions
5 Replies
271 Views
When a leader struggles with ego and low self-awareness, it becomes a sign of weakness, not strength. Mama Samia, the rising criticism from many corners reflects a growing disconnect between...
6 Reactions
2 Replies
264 Views
Mkoani Lindi wanachi waliorudisha pikipiki na baiskeli za Samia wamekamatwa na polisi, wamepelekwa kituo cha polisi lindi mjini. Kwahiyo kurudisha pikipiki za ccm na baiskeli ndio kosa kwa mujibu...
55 Reactions
106 Replies
4K Views
Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mohammed Chande Othman ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu(Oktoba 29, 2025) leo...
5 Reactions
108 Replies
3K Views
Tanzania ina Serikali Korofi, Onevu kwa wananchi wake. Wanaaongea wao tu. Sisi tukiongea hatua kali zinachukuliwa. Mtaua wangapi? Watawala wanataka waongee wao tu. Mwanchi akiongea anatafutwa...
4 Reactions
3 Replies
269 Views
Ukweli: Mama Samia ataondoka TEC itakuwepo mnapoteza muda kulaumu ukweli. lakini TEC imekuwepo toka miaka ya 60's na itakuwepo akiondoka na hawezi kufanya lolote huo ndiyo ukweli. Serikali...
6 Reactions
4 Replies
270 Views
GT Leo tarehe 1 Dec watu wanashusha nodo kama hawana akili nzuri yote haya ni kufanya counter attack ya hotuba ya kesho. Nadhani waandaaji wa hotuba ya Samia wanakazi ya kufanya maana matamko ni...
44 Reactions
55 Replies
3K Views
Mama Samia tatizo sio Tanzania ni wewe binafsi! kesi ni zako , lawama ni kwako sio nchi!!. Serikali yako ndiyo inateka, imeuwa vijana, ina ufisadi mkubwa, inaiba kura kwa Watanzania. Usilaumu...
7 Reactions
5 Replies
280 Views
Shuhudia Wananchi Jijini Dar es salaam wakipinga kwa umoja kushiriki maandamano yanayotajwa kupangwa Disemba 9 mwaka huu na kama inavyosambazwa hapa mitandaoni ambapo tunashuhudia viasharia...
1 Reactions
7 Replies
336 Views
Sisi wapenda amani yetu haya hapa: https://youtu.be/xAT7JC7WHwE?si=bFUzvnPFGj7vY30G
1 Reactions
5 Replies
252 Views
https://youtu.be/VS3BHKMqbu4?si=GoJgDZwYpmbx7N6M
0 Reactions
0 Replies
124 Views
Mtume Muhammad (S.A.W) alikuwa kiongozi mwenye hekima kubwa, na alisimamia migogoro kwa ustadi wa hali ya juu. Hakupendelea vurugu, bali alitegemea mazungumzo, usuluhishi, uadilifu, subira na...
0 Reactions
2 Replies
249 Views
Back
Top Bottom