Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Inaweza kuonekana kama mzaha lakini amini nawaambieni mpaka leo tarehe 28 September 2020 watanzania wameishaamua ni nani awe Rais wao. Kwa hiyo mizengwe vitisho na maneno matamu ya wagombea wetu...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Nashangaa sana makamanda wenzangu mnamshambulia Wilson Mahera wa NEC kwa kitendo cha kumuita Mgombea wetu kwa kamati ya madili ya taifa. Je, hamjui kuwa NEC inasimamia uchaguzi ili Watanzania...
7 Reactions
59 Replies
4K Views
Twajiuliza, wapinzani hawawezi kweli lipia hata mubashara moja!? Au ndo wamekatazwa kurusha mikutano ya wapinzani mbashara TV zote? Sasa kulikuwa mubashara wakati wa ufunguzi wa kampeni. Lakini...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Wapwa Mgombea Urais wa CCM akiwa njiani kwenye kampeni zake zinazoendelea leo huko Dodoma, amewaambia Wananchi wamchague, maana amepanga Dodoma iwe jiji kubwa kuliko majiji mengine yote, na ndio...
0 Reactions
3 Replies
838 Views
Habari za wakati huu; Tunapoelekea kufanya uamuzi iwapo John Magufuli anafaa kupewa miaka mitano hebu tuitazame historia yake katika masuala ya Jinsi na Jinsia hasa mtazamo na misimamo yake kwa...
0 Reactions
4 Replies
762 Views
Wakuu, Kampeni za uchaguzi zinaendelea na kwasababu ya mabadiliko makubwa ya kiushawishi ya Tundu Lissu yanayomfanya ajipatie mashabiki kwa kasi ambayo wengi (ikiwemo mimi) hatukutegemea, nimeona...
41 Reactions
87 Replies
8K Views
Naomba niki diclare kuwa mm Sina chama chochote isipokuwa kumuita mgombea uraisi wa Tanzania ni "msukule" hapa naona umekosea. Km umeamua kusema ukweli Basi usitukane
17 Reactions
138 Replies
12K Views
Nimepitia baadhi ya machapisho kadhaa yakimzungumzia Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Ibara ya 74 (7) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977: Kwa madhumuni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally ametoa onyo kali kwa wale wote wanaopita kukusanya shadada za kupigia kura kwa visingizio vya kutoa mikopo kwa wananchi. Ameyasema hayo...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. Kampeni zikiendelea, mgombea wa CCM ameonyesha alivyodhamiria kuiboresha nchi vilivyo hata kuwa na barabara bora kabisa: Hata...
2 Reactions
42 Replies
5K Views
Kama ilivyo ada na kawaida kwa vyama vya siasa kuandaa Ilani yao ya uchaguzi yenye vipaumbele na sera wanazoenda kutekeleza baada ya kushinda uchaguzi na kuunda serikali, Chama Cha Mapinduzi...
1 Reactions
0 Replies
804 Views
Mwenyekiti wa Ngome ya Wazee ya ACT-Wazalendo, Yassin Mohammed amesema, mwenyezi Mungu atawaadhibu watakaoshiriki wizi wa kura kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Sisi watanzania wazalendo hatujawahi kuona siasa za namna hii. Siasa za kufokeana fokeana badala ya kunadi sera zenu. Siasa za kuita waandishi wa habari na kufokafoka kwa mambo ambayo hayana mbele...
11 Reactions
41 Replies
4K Views
Kwa mwenye taarifa please tufahamishane wengine huwa tunafuatilia mikutano ya wagombea wote hasa wagombea wa vyama vikuu vya CCM, CHADEMA na ACT-Wazalendo. Lissu yuko Geita.
9 Reactions
53 Replies
6K Views
Matumizi ya sheria inayohusu masuala ya uhujumu uchumi yamekuwa mabaya sana awamu ya Tano. Kati ya watu walioteswa na sheria hizi kandamizi ni viongozi wa kisiasa wenye mtizamo chanya dhidi ya...
4 Reactions
8 Replies
911 Views
Lissu akihutubia wananchi wa Manispaa ya Bukoba amedai Rais Magufuli amepora kiasi cha hekari elfu 25 maeneo ya Kihanga wilayani Karagwe mkoani Kagera. Magufuli tunaomba ujitokeze ujibu hoja hii...
49 Reactions
275 Replies
27K Views
No doubt Ngome ya kisiasa ya raisi Magufuli ya Kanda ya Ziwa imetikiswa sana na mashambulizi ya kampeni ya Lissu Hii kanda ndiyo iliyokuwa muhimu sana kumsaidia Magufuli kubalance nguvu za...
39 Reactions
47 Replies
6K Views
Wapiga kura zaidi ya 60% ni hawa vijana wa kizazi kipya ambao wana namna wanavyoelewana kwa " lugha " yao. Naamini UVCCM kuna vijana wengi wenye uelewa na uwezo mkubwa wa kuchambua sera kama...
4 Reactions
53 Replies
5K Views
Kuna Video clip inazunguka mitandaoni ikimuonyesha Dkt. M.Mwanjelwa na wajumbe wakipeana hongo. Kama itathibitishwa itakuwa imemmaliza kabisa kisiasa huyu Mama ikizingatiwa amekuwa Naibu Waziri...
16 Reactions
126 Replies
16K Views
Yule Mgombea wa Urais anayeongoza kura za maoni Mh Tundu Lissu leo tena anaendelea kukutana na wananchi kwa lengo la kuwaomba kura , ambapo leo atahutubia baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Mwanza na...
8 Reactions
61 Replies
8K Views
Back
Top Bottom