PostGE2025 RC Chacha: Desemba 9 hakuna mtu atazuliwa kutembea mtaani

PostGE2025 RC Chacha: Desemba 9 hakuna mtu atazuliwa kutembea mtaani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo Chacha, amewatuliza wakazi wa mkoa huo kufuatia taarifa za madai ya njama za makundi kutaka kufanya vurugu kama zile za kipindi cha uchaguzi.

Amesema wananchi waendelee na shughuli zao kawaida, kwani hakuna shughuli itakayositishwa na vyombo vya usalama vimejipanga kikamilifu kulinda raia na mali zao.
 
Back
Top Bottom