Wakuu nikeshangazwa na Samia Kutumia jukwaa la Leo kuubagaza ukristo hadharani,
Hotuba yake ya Leo mwanzo mwisho kaubagaza ukristo,je ukristo ni tishio kwa Mamlaka ya Samia?
Je kwanini wakati...
GT
Sijui ni akili gani ccm huwa wanatumia kufikiri.
1. Nchi haina viwanda
2. Tuna import almost everything
3. Technology yetu ni sifuri.
4. Magari yote hayo wanatembelea ni imported
5. Hata...
Wakati nchi nyingine wananchi wanapigania uchumi Tanzania tumeingia kwenye janga la kupigania HAKI . Wapigania haki wamepata nguvu sana na haitaisha wanapigana na machawa na wana mitandao ambao...
Kutoka kwenye ukurasa wa X wa Twaha Mwaipaya ametoa taarifa inayomuhusu Muhadhiri wa SUA kukamatwa na polisi
Leo jumanne tarehe 2/12/2025 Police Mkoa wa Morogoro wamemkamata Muhadhiri wa Chuo...
"Mimi sina chama chochote cha siasa na wala sijihusishi na siasa kwa namna yoyote ile ni mwananchi wa Tanzania" Alisema mfanyabiashara Niffer Jovin baada ya kuachiwa huru dhidi ya kesi yake ya...
Tumeshajua wale mashehe waliopanga kukata watu vichwa waliruhusiwa nani
Lakini kwani dini yake inaruhusu wizi wa kura
Kwani DINI yake inaruhusu utekaji
Kwani DINI yake ndo inaruhusu kuua
Kwani...
Naona machawa wa serikali dhalimu wakijipanga ili waje na porojo zao humu hiyo tarehe 6 mwezi huu kwa lengo kututuoa kwenye reli kuelekea 9D.
Cc chiembe choice variable Tlaatlaah johnthebaptist...
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Mzee Joseph Butiku, amesema matukio ya vurugu, uharibifu wa mali na vifo vilivyoripotiwa wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano maalum ulioandaliwa na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam, uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha...
Miaka yote nilifikiri suala la kufanya shughuli za kisiasa hapa nchini ni takwa la kikatiba kumbe ni ruhusa ya Rais.
Amesema mwenyewe huko kwenye mkutano na wazee wa Dar es Salaam.
Watu mbalimbali duniani wanasema hawaamini kama Tanzania ingefikia hatua hii ya kutisha na mauwaji yanayoendelea hovyo.
Wanahoji je nchi haina jeshi, inamaana jeshi lililo uwa watanzania ni hili...
..sikiliza tamko hapo chini na tuhuma kwamba AG wa kipindi cha Rais Magufuli, Prof. Kilangi, aliwahi kuwa Padri.
https://www.youtube.com/watch?v=RhbFPe8Z3yU
Leo nimemsikia Rais Samia akihutubia wazee ila katoa siri nzito na ambayo nilikuwa naifikiria sana hivyo hivyo .
1. Nakumbuka Samia huyu huyu ndo alienda kumtembea lisu Nairobi kama utu, pia...
Askofu Benson Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook anasema;
UDINI UNAWEZA KUWA HUU.
Suala la udini katika taifa letu ni mgumu kuuthibitisha. Unachoweza ni kuonyesha au kuona dalili. Ukiona...
Katika hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyoitoa leo Disemba 2, 2025 katika mkutano wake na wazee wa mkoa wa Dar es Salaam, Samia Suluhu Hassan emeonyesh wazi kuwa kilichotokea...
Onyo na matishio vya jeshi la Polisi linashangaza., kuhuzunisha hata kutia shaka mbali na kukera,
Naona kama wanahaha na kutisha jambo ambalo linazidi kupandisha Watanganyika hasira.
Wamegoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.