Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa amemwagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kufanya uchunguzi na kuwasilisha ripoti kuhusu mashine iliyoharibiwa kwa uzembe wa baadhi ya watumishi wa katika Taasisi ya...
Mange alikuwa anafowadiwa matukio mengi kwasababu alipatikana whatsap.
karibia kila mtu mwenye smartphone kajiunga whatsapp, wachache wapo instagram, wachache zaidi wapo X.
Wenzake kina Hilda...
Minong'ono ni mingi .. Na uzushi pia.. Yanatetwa mengi kimyakimya lakini inawezekana pia ni sehemu ya bongo movies.. Mnatengenezewa series.. Bandika bandua..
Lakini kama ikiwa ni kweli kwa kweli...
Kwa miongo kadhaa, Tanzania imejengwa na kutambulika kama moja ya shule bora za diplomasia barani Afrika. Kuanzia harakati za ukombozi wa nchi za Kusini mwa Afrika, ushiriki thabiti katika Umoja...
Kabla ya maandamano yaliyopangwa kwa Siku ya Uhuru tarehe 9 Disemba, Ofisi ya Haki za Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa inavikumbusha tena vikosi vya usalama lazima viepuke kutumia nguvu kutawanya...
Kijana wa hovyo akinaswa huwa naburudika sana.
Kijana ambaye akili zake zote amemkabidhi Mange Kimambi hana faida. Ni mharibifu wa tunu za Taifa.
Mkaandamane tu msihofu kwakuwa mnatimiza haki...
Waziri wa Mambo ya ndani, George Simbachawene amesema maandamano ambayo yamepangwa kufanyika kesho siyo maandamano bali ni Mapinduzi.
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo kwenye ofisi za Wizara...
Kila anayevuta kamba anaangalia eneo lake ili ale kwa kutulia ikiwa ndefu.
Mwingine anakwambia 'hujui hasara za kiuchumi Jeshi kuchukua nchi, yaani blah blah ni nyingi sana.
Wajeda wenye akili...
Mzee wangu Jakaya Kikwete naomba nikwambie wewe pamoja na wengine mmelikosea taifa na kwa lolote litakuja tokea historia itahukumu.
Wewe ni Rais pekee ulie baki ktk marais wa Jamuhuri ya muungano...
Vitambulisho vya nini wakati mmesema hakuna matishio ya amani?
Ila Tanzania tulipofika sasa ni huzuni!
=================
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amewakumbusha...
Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amesema maandamano yasiyo ya kikomo yaliyopangwa kufanyika kuanzia kesho December 09,2025 hayana kibali na ni haramu huku akisema kama yale ya October...
Dkt. Hamis Masoud, Mkurugenzi wa kituo cha usaidizi wa kisheria (ELAF), leo tarehe 8 Desemba 2025, ametoa raia kwa viongozi waliopewa mamlaka ya kulinda raia na mali zao kujiuzulu wenyewe kutokana...
Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amesema uamuzi wa kuzima mtandao wa internet ni chaguo la mwisho kabisa pale ambapo hali ya kiusalama inakwa mbaya ambapo amesema hadi kufikia sasa...
MKIIJUIA POLITICAL GAME PLAN, HAMTAMSHAMBULIA CHALAMILA KWA MATAMSHI YAKE DHIDI YA PADRI KITIMA AU MASHEIKH DHIDI YA EMMANUEL NCHIMBI.
Na Mwl John Pambalu.
Hivi ukienda porini kuwinda swala...
GTs,
Vijana na watu wote waliovamia kwenye magodown na kuchukua vitu walifuatwa majumbani na kupigwa ili wataje na wakitaja walikuwa wanawaua wanaenda kwa mwingine hivyo hivyo. Vijana wengi na...
"Kesho ni siku ambayo Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan aliitangaza hakutakuwa na sherehe lakini hatutarajii kesho kuna watu watathubutu kuvunja sheria kwa kufanya matendo ambayo yanavunja amani.
"Na...
Mstaafu Jakaya Kikwete akiwa Qatar kwenye Mkutano unaofahamika kama Doha Forum alizungumzia masuala anuai yanayohusu vijana ikiwemo elimu, uchumi, na mustakabali wa Afrika.
Baada ya mkutano huo...
KWA NINI MAANDAMANO OCTOBER 29 YALIFELI?
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Kwanza nitoe pole kwa yote yaliyotokea. Waliathiriwa na kuathirika kwa kuuawa, kujeruhiwa na kuharibiwa biashara zao...
Nani anamiliki Internet3? For an expert in modern communication technology ie.digital communication Seems a silly question, but take your time to think about it!
Dictatorial governments normally...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.