Nasema hivii this time nyie wenye magari ya UTEKAJI mtafaham wajeshi wa kazi maalum uwezo wao kimedani! hao wala hawafanyi kazi kwa maelekezao ya CDF, nawaaambieni hamtaamini nyie watekaji...
A new dawn is ahead of us. A new chapter is going to unfold. A new beginning is going to commence. A new Tanzania is going to be born. A country full of possibilities is going to emerge. A country...
Kwa TANZANIA hii mie najua wanaokuja kuteka watu ni wahuni kutoka TISS maana sheria mpya chini ya SAMIA inawaruhusu kufanya hizi aibu.
Polisi utaratibu unaeleweka lazima akija aje kwa Mjumbe...
Hili neno MAPINDUZI linawapa sana joto chama cha mapinduzi. Kwao kuliitumia ni sawa. Wengine kulitumia ni kiashiria cha uhaini. Mnaonaje mbadili jina la chama chenu ili neno hilo liweze...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida afisa mmoja wa polisi Tarime mkoani Mara ameshambuliwa na nyuki hadi kupoteza maisha akiwa kwenye mgahawa wa chakula mjini Tarime, tukio hilo lilitokea siku ya...
Kwa mara ya pili, Taasisi ya Uchunguzi wa Uhalifu ya Marekani, FBI, imemuarifu Mange Kimambi kwamba amepangwa kuuawa, kwa mujibu wa taarifa za kiinteligensia ilizozipata FBI.
Yamesemwa leo na...
Nadhani hamjambo wapendwa.
Wakuu naandika ujumbe huu ambao unenihuzunisha sana, Kuna taarifa za chini chini kuwa Samia bado ana ndoto za kuiongoza Tanganyika. Kuna majadiliano yanaendelea...
Nimeshangaa kuona kwenye Tv Mbunge wa Tabora mjini akikagua Zahanati jimboni kwake.
Amefoka kama mbwa kukuta uchafu na dawa zilizokwisha muda wake.
Swali ni kuwa anakagua kama nani? Nini maana...
Doria ya nini? Hakuna majibu. Nasikia Hekkopta za kijeshi zinafanya doria miji mikubwa kama Arusha na mingineyo.
Kwa nini wasinunue helkopta kama hizi ili kuzima moto kwenye majanga makub2a kama...
Watanzania wanajielewa vizuri sana na siyo wajinga kamwe. Kila mtu ameshukuru Mungu kwani mabaya yote yaliyokuwa wakiwazia mashetani yameshindwa mbali sana na amani imetawala.
Watanzania...
WAkuu kuna yule OCD wa Chunya aliyeelekeza kuwa bodaboda na Bajaj wasiuziwe mafuta zaidi ya lita mbili kisha polisi wenzie kuja kumakana na kuanzisha uchunguzi. Je, wamefikia wapi?
Mana jambo...
Leo nimemsikia Gerson Msigwa akiwa kwenye chombo Cha habari kimoja wapo anadai Mh RAIS Samia ameishatoa bilioni 200 kwenda kwa vijana
Anachotakiwakutambua kuwa Serikali za awamu zote zimekuwa...
JWTZ ilikuwa ikiheshimiwa sana kabla ya 2018 kurudi nyuma.
2018 JWTZ wakaambiwa wakabebe korosho Mtwara. Watanzania tukashangaa na kujiuliza kwanini wanaancha kazi ya msingi na kufanywa kuwa...
Wanaukumbi.
Wanaharakati na mamluki wa mabeberu wanashabikia watu watoke majumbani kwao wakaandamane kwa kuwa kukaa ndani watauwawa!
Wanakwenda mbali zaidi na kusema waliouwawa kwenye vurugu za...
===============================================
CHALAMILA STOP THAT!? NASISI HATUTABAKI KIMYA TENA INATOSHA SASA...
Mkumbusheni Albert Chalamila yeye ni mmoja wa wahalifu waliochochea vyombo vya...
Hii sio vita ya vijana peke yao, tarehe 29 waliopitia mateso zaidi ni nyie kina Mama ambao uhai na ndoto za watoto wenu ulikwapuliwa kwa ukatili mkubwa sana. Ukatili huu ukiongozwa na mwanamke...
Siyo kawaida yao, safari hii hatusikii cha nywinywi wala nywinywinywi. kila mtu anaagiza kukwepa responsibility. Samia kaogopa hata kujitokeza kwenye TV kulihutubia taifa anatuma tu watu wamsemee...
GENEVA - Disemba 05, 2025
Serikali ya Tanzania imehimizwa kudumisha uhuru wa kimsingi kabla ya maandamano yaliyopangwa ya Siku ya Uhuru tarehe 9 Disemba.
Msemaji wa Kamishna Mkuu wa Umoja wa...
Katika hali halisi ya maisha hatuwezi watu wote kualingana namna tunavyoendesha maisha yetu. Vivyo hivyo hata mataifa hayawezi kufanana kiuchumi. Vigezo vya upimaji wa uchumi si tu namna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.