Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa Masikitiko makubwa ninatoa taarifa ya Kifo cha Mzee Makwaia wa Kuhenga (Pichani) ambaye alikuwa akiendesha kipindi maarufu cha "Je, Tutafika? (Shall we Make it?) katika runinga ya Channel Ten...
22 Reactions
42 Replies
2K Views
Mwanasiasa wa Tanzania si rahisi kkuachia Madaraka Makubwa. Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango, na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Walikuwa hawana Upinzani ndani ya Serikali ya CCM. Viongozi hawa...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Neno langu la Disemba 9 naombeni bakieni nyumbani, mimi sitaki kuvunjiwa moyo tena sipendi kuona vijana wangu muwawe. Nipo upande wenu Gen Z wa Tanzania tena sana ila njia za mabadiliko bora ni...
4 Reactions
17 Replies
915 Views
Anayefahamu kilichomkuta huyu mtu atujuze. Tangu ajiapishe baada ya uchaguzi hajasafiri mpaka sasa, na sio jambo la kawaida kabisa. Nini kimemfanya akose appetite ya kuzurula huko nje, kama...
23 Reactions
48 Replies
2K Views
Mashehe wasikose kwenye hiyo tume maana Taifa linahitaji uzoefu, utaalamu na Hikma yao. Asanteni
1 Reactions
11 Replies
385 Views
Mjumbe Maalum wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Jakaya Mrisho Kikwete amehitimisha ziara yake kwa kukutana na Rais wa Burkina Faso, Captain Ibrahim Traoré. Mkutano huo ulifanyika jijini...
1 Reactions
52 Replies
3K Views
Haya ni matukio 10 yaliyowahi kutokea na kutikisa nchi tangu.Hayo ndo matukio ambayo sio rahisi kufutika na kusahaulika vichwani mwa watanzania walio wengi. yapo kwa mpangilio kuanzia namba 10...
17 Reactions
38 Replies
1K Views
Mhashamu Dr Askofu Mkuu KKKT Alex Malasusa (PhD) . Pongezi kwa kupambania Tanzania na Kanisa lako
0 Reactions
17 Replies
609 Views
#BREAKING: UN CALLS FOR LIFTING OF PROTEST BAN IN TANZANIA AHEAD OF DECEMBER 9 The Tanzanian government has been urged to uphold fundamental freedoms ahead of planned Independence Day protests on...
18 Reactions
30 Replies
1K Views
Kumekuwa na kauli za Viongozi wa Kiserekali na Taasisi zake ambazo zimekuwa ni za upande moja au upendeleo Kwa minajili ya kutishia au kuzuia raia kutumia Uhuru wao wa kidemokrasia. Mojawapo wa...
1 Reactions
2 Replies
273 Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud T. Kombo (Mb.) amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Uswisi nchini, Mhe. Nicole Providoli yaliyofanyika katika ofisi...
0 Reactions
2 Replies
338 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewatia mbaroni watu 116 wanaodaiwa kuratibu mipango ya kufanya maandamano yasiyo rasmi tarehe 9 Desemba mwaka huu, tukio linalotajwa kuwa na viashiria vya...
0 Reactions
23 Replies
998 Views
Hey wana JF, leo nataka tuongee ukweli mchungu kuhusu hali ya ajira kwa vijana na hizi system zenye kutufanya waogope zaidi kuliko ilivyo sasa. Serikali ya Tanzania imekuwa inajifanya kila kitu...
4 Reactions
14 Replies
365 Views
Hivi mnajua siyo lazima ifanyike "Physical Demonstrations" ndiyo tuyaite maandamano! Maandamano yapo ya aina nyingi ikiwemo "Non Physical Demonstrations" mfano hii "Civil Disobedience"...
3 Reactions
28 Replies
1K Views
Wanatakangaza amani huku wameficha mapanga.. Maridhiano which? What? Vijana which? Soka sio kijana? Mdude sio kijana? Pole pole sio kijana? Makanisa ya Gwajima hayana vijana? Maridhiano which...
12 Reactions
18 Replies
530 Views
Nakumbuka kulikuwa kuna watoto wasumbufu sana huo mtaa,kila ukiwazuia wasifanye hiki wao wanafanya yaan hata ukiwafukuza wanarudi Sasa kuna wakati walidandia gari kwa nyuma wakati na...
12 Reactions
18 Replies
614 Views
Hili lilishawahi kufanyika huko nyuma wakati Mahakama ya Mauaji ya Kimbari ya Yugoslavia ilipotoa amri za kuwakamata Washtakiwa waliohusika na Mauaji ya Kimbari kwenye vita ya Yugoslavia. Baraza...
25 Reactions
91 Replies
2K Views
Yaani Comedian kama Baba Levo anaingia Bungeni kwenda kufanya maamuzi makubwa kwa ajili ya taifa letu! Zitto Kabwe pamoja na kujifanya mnafiki mwenye udini na anayejali tumbo lake wamekataa kumpa...
2 Reactions
4 Replies
275 Views
Askofu Dr Malasusa amesema pakitokea mitikisiko nchini anayepata taabu ni Waziri mkuu Askofu Dr Malasusa amesema hayo wakati akimshukuru Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kati aliyekuwa mlezi wa...
2 Reactions
12 Replies
923 Views
Jana usiku sikulala mapema kwa kuwa nilikuwa naperuzu humu hadi saa nane usiku. Asubuhi nilienda kanisana kama kawaida yangu. Sasa kwa sababu sikupata usingizi mzuri usiku nikaanza kusinzia...
7 Reactions
17 Replies
505 Views
Back
Top Bottom