Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwanasiasa Peter Daffi amesema maandamano yasiyo na kibali hayawezi kuruhusiwa na serikali, akisisitiza kuwa hatua hiyo inaweza kuifanya dunia kushangaa kwa nini Watanzania wanashindwa kukaa...
1 Reactions
5 Replies
218 Views
Mtavunjiwa heshima bure kwa ajili ya uroho wa kula na kunya! 1. Utekaji 2. Uuaji 3. Ufisadi 4. Kuiba uchaguzi 5. etc hivi havimvunjii mwalimu heshima. Bure kabisa mabichwa mazee makubwa hamna kitu
6 Reactions
10 Replies
411 Views
Kaburi la CCM linasema tarehe ya kuzaliwa ni 05/02/1977 na tarehe ya kifo ni 29/10/2025. Leo 08/12/2025 ilikuwa 40 ya kuadhimisha kifo cha CCM. CCM imeishia kule kule vyama vingine vya aina yake...
1 Reactions
0 Replies
133 Views
Kwangu Mimi kuandamana siyo jambo kubwa na la hatari kuliko watu kutekwa na kuuawa na watu wasiojulikana. Sielewi ni kwa nini wakati watu wanatekwa na kuuawa hakukuwa na harakati kama hizi za...
19 Reactions
30 Replies
603 Views
Nimekuwa nikimfatilia huyu bwana Chalamila mwenye kichwa kinachofanana na senene wa Bukoba akijinadi hadharani na kutuaminisha kuwa ni mwema na hahusiki juu ya mauaji ya maelfu ya watanganyika...
16 Reactions
20 Replies
673 Views
BWANA akamwambia Musa, Ingia wewe kwa Farao; kwa kuwa mimi nimeufanya moyo wake mzito, nipate kuzionyesha ishara zangu hizi kati yao. Kashauriwa karibu na kila mtu, wape watu wako Haki...
0 Reactions
2 Replies
173 Views
GT Labda mimi siyo mfuatiliaji. 1. Hivi hawa hawana mambo mengine yakuongea 2. Unaita press kusema kwamba unaunga mkono hotuba? 3. Huu ni uchawa na ukilaza uliopitiliza sijawahi kuona 4...
2 Reactions
1 Replies
184 Views
Kwa kufuatilia madai ya waandamanaji baadhi yamatakwa hayawezi kutimizwa Kama vile suala la kuonba serikali ya mseto au kurudiwa uchaguzi.Swali najiuliza Kama hayatimizwi mwisho wake ni upi? Je...
0 Reactions
2 Replies
143 Views
Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam walimiminika katika supermarket kubwa siku ya Jumapili, wengi wakiharakisha kununua mahitaji ya msingi kuelekea tarehe 9 Desemba, hali iliyosababisha misururu...
5 Reactions
47 Replies
1K Views
Wakuu, Kila siku nasema humu, China is an evil empire Nimetoka kuona hapa kuna mataifa 17 ya kimagharibi yametoa tamko kupinga yanayoendelea nchini Shout out kwa Umoja wa Ulaya, Uingereza...
12 Reactions
27 Replies
819 Views
1. French Revolution (1789–1799) – Ufaransa Faida zake: Iliangusha utawala wa kifalme wa kidikteta.Ilileta haki za kiraia, uhuru wa watu, na misingi ya demokrasia.Ilianza mfumo wa serikali ya...
2 Reactions
4 Replies
310 Views
Samia kapiga kijembe taasisi za kimataifa kuwa maridhiano yatafanywa kwa taratibu za Kitanzania, na sio kutokana na presha zao. Leo Samia anachoma tu! ==== Rais Samia amesema kwakuwa watanzania...
2 Reactions
53 Replies
1K Views
Asalamaa aleikuh Bwana yesu asifiwe Natumai wote ni wazima kuelekea siku ya ukomboz ambayo ni kesho Ningependa kuwausia machache wala si mengi kama waraka wenu kwenye Kesho ni siki kubwa ya...
1 Reactions
2 Replies
213 Views
Nilitarajia chama hiki cha MAPINDUZI kutokuwa na mashaka na Mapinduzi kwani ndiyo asili ya chama hiki. Inakuwaje panic mode imekuwa activated kwa kiwango kikubwa namna hii? Mna povu sana kwa...
1 Reactions
1 Replies
183 Views
Kumbe nyinyi ndip mlikuwa "watu wasiojulikana" Leo mnakiri kila anayepaziwa sauti kuwa mnaye wala hajatekwa. Mimi naona kama mwanzo mzuri kama mtu ana makosa mkamateni kwa kufuata sheria. Kesho...
7 Reactions
10 Replies
519 Views
Brother, Haya mambo yana mwisho, na wakati mwingine si mzuri kama hesabu zenu zilivyo. Tambua kuwa pamoja na kuwa mambo yanafanywa sirini lakini kuna waliochoka wanaamua kumwaga mboga.
9 Reactions
16 Replies
538 Views
"Ndugu wananchi Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anapenda kuwatakia wananchi wote heri ya Sikukuu ya Uhuru wa Tanzania Bara inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 9 Desemba...
5 Reactions
74 Replies
3K Views
Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Mwanza, John Nzilanyingi akizungumza na vijana wa jimbo hilo amesema hakuna maandamano yatakayofanyika Disemba 9, 2025. "Tarehe 9 hakuna maandamano, Natamani tutume...
0 Reactions
8 Replies
329 Views
GT Mambo ni moto hatutaki mchezo mchezo
3 Reactions
0 Replies
159 Views
Ripoti ya mashirika ya haki za binadamu inaonyesha kuwa ukandamizaji wa vyombo vya siasa, wapinzani na waandishi wa habari umeongezeka. Watu wanashtakiwa, kukamatwa bila masharti, kuondolewa uhuru...
2 Reactions
2 Replies
234 Views
Back
Top Bottom